International Forum

News and Stories from rest of the World
Katika vita hii inayoendelea kati ya Russia na Ukrain, moja ya influencer wakubwa wa mgogoro huu ni US, na kampan yake kwa kigezo watamlinda mdau wao Ukrain/Zelensky. US kwa kuona mbali ukuaji wa...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Dhahiro Ali mwenye umri wa miaka 25, ni mama wa watoto watatu. Alikimbilia Marekani akitokea Somalia, nchi ambayo imekumbwa na vita kwa miaka mingi. Hadi sasa ameishi nchini Marekani kwa miaka...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa...
3 Reactions
78 Replies
5K Views
Vladimir Putin poses a bigger threat than ISIS and is more dangerous than Joseph Stalin, according to former defense secretary Bob Ainsworth. The senior Labour MP in Britain qualified his claims...
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Afisa mkuu wa tisa wa Urusi ameripotiwa kuuawa nchini Ukraine, na kuwa wa hivi punde zaidi katika idadi ya maafisa wa ngazi za juu wa Urusi kuuawa tangu vita kuanza siku 46 zilizopita. Kulingana...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Send an electronic message to the President Before sending a message to the President via electronic form, make sure you read the following information. 1. Messages sent in electronic form to the...
0 Reactions
0 Replies
560 Views
Hali ya usalama Ukraine inazidi kuimarika. Ilikuwa mkuu wa umoja wa Ulaya kutembelea Kyiv, Ukraine na sasa Boris Johnson naye katia timu huko: Nani angethubutu kuweka mguu Kyiv kama kitisho...
18 Reactions
118 Replies
6K Views
Ule msemo kwamba Putin anatamani sana kuirudisha Urusi kwenye enzi za ubabe wa Kikomunisti wakati yeye akiwa KGB unaelekea kweli baada ya kupitisha sheria inayokataza mtu yeyote kufanya au kuongea...
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Rais wa Urusi, Vladimir Put ameitaka Serikali yake kuchukua jukumu la kuudhibiti muziki wa kufoka foka(Rap) Agizo hili limetolewa ikiwa ni wakati ambao matamasha mengi ya muziki huo yalisitishwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mahakama ya Juu nchini Urusi imekubali ombi la serikali kuorodhesha kanisa la Mashahidi wa Yehova, kwa Kiingereza Jehovah's Witnesses, kama kudi la kidini lililoharamishwa, na kuliorodhesha kuwa...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Rais wa Urusi, Vladimir Putin amefungua mjadala wa Bunge kufanya mabadiliko ya katiba yanayoweza kumruhusu kukaa madarakani mpaka mwaka 2036. Hata hivyo katika hotuba yake amesema, angependa...
1 Reactions
106 Replies
10K Views
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameongoza kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi, akimshinda kwa tofauti kubwa kuliko ilivyotarajiwa mpinzani wake, Marine Le Pen na hivyo watakutana katika duru ya...
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Idhaa ya kiswahili ya DW inaripoti kuwa nchi jirani na Urusi wanayochangia mpaka ya Finland ipo mbioni kujiunga na Jumuiya ya lujihami ya nchi za Magharibi NATO. Nchi hiyo imekuwa haifungamani na...
15 Reactions
79 Replies
4K Views
Watu wawili wametiwa mbaroni wakihusishwa na tukio la kumpiga kofi Rais wa Ufaransa, Emmanuel macron alipokuwa katika ziara rasmi Kusini mwa Taifa hilo. Katika video inayosambaa mitandaoni, mtu...
9 Reactions
70 Replies
8K Views
Hii vita ni ya Magharibi dhidi ya Russia. Mzozo ulianza kitambo sana hasa kwa tabia ya urussi kupinga na kuingilia oparrations za USA au NATO. Tuchukulie VIETNAM na SYRIA kama mfano Tabia ya...
16 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa pipa milioni 1 za mafuta zitatolewa kutoka kwa hifadhi ya mafuta ya taifa hilo kila siku kwa kipindi cha miezi sita ili kusaidia kupunguza bei ya mafuta...
2 Reactions
7 Replies
754 Views
Nimekuwa nisoma visa vingi sana ndani ya BBC Swahili, mashuhuda wakihojiwa moja kwa moja tena kukiwa na ushahidi wa wa kimazingira ili kuepuka wafuasi wa Putin kusema ni propaganda. Soma visa hivi...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Wito wa Seneta Lindsey Graham wa njama ya kumuua rais wa Urusi "haukubaliki na unachukiza," balozi wa Urusi nchini Marekani alisema. Seneta wa chama cha Republican Lindsey Graham alisihi siku ya...
3 Reactions
88 Replies
7K Views
Bunge nchini Pakistan limepiga Kura ya kumuondoa Madarakani Waziri Mkuu IMRAN KHAN baada ya kura ya kutokuwa na imani naye kupitishwa kwa wingi mdogo kwenye Bunge Hilo. Bunge Hilo lenye Wabunge...
12 Reactions
94 Replies
4K Views
Waafrika tuamke wenzetu asia amerika latino wanaelewa nini kinaendelea. Ukiangalia vita vya ukraine ni kwamba hapo pamekua tu uwanja wa mapambano. Ni kati ya nchi za kibeberu za marekani na ulaya...
13 Reactions
81 Replies
4K Views
Back
Top Bottom