International Forum

News and Stories from rest of the World
Mamlaka ya afya ya Afrika Kusini ilisema Ijumaa kamba takriban dozi 100,000 za chanjo ya Pfizer ya COVID-19 ziko katika hatari ya kuharibiwa ifikapo mwishoni mwa mwezi huu kutokana na watu...
1 Reactions
4 Replies
825 Views
Colonel Douglas Macgregor, afisa mstaafu wa jeshi la Marekani amevunja ukimya kwa kusema kuwa Marekani ina nafasi ya kuepusha vita na Putin (Russia). Jambo la kwanza wanalopaswa kufanya Wamarekani...
17 Reactions
58 Replies
5K Views
Baada ya Bunge kupitisha Sheria inayoruhusu Mamlaka kuwafunga hadi miaka 15 watu walioshtakiwa kwa kusambaza makusudi taarifa feki, Mashirika mbalimbali yametangaza kusitisha kuripoti Urusi. BBC...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Inapendeza sana kutambua na kujua Rais Hodari (Brave heart) ana damu ya uteule inayosambaa kwenye Mishipa yake. Ndo maana ana vinasaba kama vya mfalme Daudi. Baada ya kutambua Volodymyr...
9 Reactions
49 Replies
3K Views
Kinachoendela hivi sasa kati ya urusi na Ukraine katika ile miji ya donbas ni hatari kwa africa. Urusi imeitambua miji ya Donetsk na Luhansk kama nchi huru zinazojitegemea, haya maeneo...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Moscow haina nia mbaya kuelekea nchi zinazopakana, rais anadai Majirani wa Urusi wanapaswa kuacha ‘kuchochea mivutano isiyo ya lazima’ na badala yake wajikite katika kujenga upya uhusiano na...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Good morning, my readers; today I will discuss the life of a legend who once lived in our world and made a difference. I'll also include photographs of this fascinating legend on this page. I'll...
8 Reactions
27 Replies
5K Views
Wananchi wa Finland wametaka nchi yao ijiunge na NATO ili kujihakikishia usalama zaidi lakini Putin amewapiga mkwara wasithubutu. Finland inashare mpaka na Russia Source: BBC
0 Reactions
5 Replies
660 Views
Nchi za Magharibi zinazopanda "machafuko na uharibifu" kote ulimwenguni zilisababisha hali nchini Ukraine, afisa mkuu wa Urusi amesema Operesheni inayoendelea nchini Ukraine imefichua lengo kuu la...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
The World Health Assembly has kick started a global process to draft and negotiate a convention, agreement or other international instrument under the World Health Organization [WHO] Constitution...
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Rais wa Urusi ametangaza hatua za msaada wa kifedha kwa wanajeshi na kutoa sasisho juu ya hali ya sasa ya mzozo wa kijeshi Familia za wanajeshi wa Urusi waliofariki wakiwa kazini nchini Ukraine...
14 Reactions
33 Replies
3K Views
Viktor Orban alitoa mahojiano juu ya uhusiano na EU na vikwazo dhidi ya Urusi Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orban alisema Ijumaa asubuhi kwamba alihisi hawezi kutegemea kambi ya Magharibi...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
Bunge la Ulaya limepitisha ombi la Ukraine la kujiunga na jumuiya hiyo kwa kura 637 za 'ndiyo' 13 za 'hapana' huku wajumbe 26 wakiamua kutopiga kura. Siku ya Jumanne, nchi nane wanachama wa EU...
10 Reactions
44 Replies
4K Views
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amemteua Adriano Afonso Maleiane kuwa Waziri Mkuu mpya wa taifa hilo ikiwa ni muda mfupi baada ya kumfukuza kazi aliyekuwa akishika nafasi hiyo, Carlos Agostinho do...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajeshi wa Urusi wameukamata mji mmoja muhimu wa bandari wa Ukraine na kuuzingira mwingine kama sehemu ya juhudi za kuitenganisha nchi hiyo na Pwani yake. Jeshi la Urusi limesema limechukua...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Picha: Kushoto Rais wa Marekani Joe Biden. Kulia rais wa Urusi Vladmir Putin Rais wa Marekani Joe Biden ameapa kufunga bomba muhimu la gesi la Urusi kuelekea Ujerumani iwapo Moscow itaivamia...
9 Reactions
108 Replies
9K Views
Albert Ouedraogo (52) ametangazwa kuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo kwa kipindi cha Mpito. Uteuzi wake unakuja siku chache baada ya Jeshi chini ya Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba kuidhinishwa...
1 Reactions
3 Replies
919 Views
Moscow pia imeishutumu Washington kwa kuanzisha vita vya habari kuhusu mzozo wa Ukraine Wabunge wa Urusi wameidhinisha sheria ambayo inaweza kuwaweka watu korokoroni kwa hadi miaka 15 iwapo...
1 Reactions
4 Replies
652 Views
Israel imekataa maombi ya kujikaririkariri ya rais wa Ukraine, Ze Comedian Zelensky, kuipatia nchi yake silaha ili kupambana na majeshi ya Russia. Rais huyo kaomba shehena ya silaha hizo...
7 Reactions
50 Replies
5K Views
Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu...
8 Reactions
313 Replies
18K Views
Back
Top Bottom