Kampuni ya Apple imesitisha kuuza simu za iPhone na bidhaa zake nyingine nchini Urusi na kujiunga na Kampuni nyingine mbalimbali ambazo zimetangaza kujiondoa Urusi baada ya kuivamia kijeshi...
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewatoa kwenye nafasi zao Mawaziri sita wakiwemo Waziri wa Fedha na Waziri wa Rasilimali za Madini na Nishati. Ni Mabadiliko makubwa ya pili kufanywa katika Baraza...
“MATAIFA MAKUBWA HUWA HAYANA SIMILE”
24/02/2022
Ni nani asiyejuwa kinachoendelea nyuma ya pazia la mapinduzi ya kila siku yasiokwisha Afrika ya Magharibi?
Wangapi wamesahau kikosi cha jeshi la...
Pamoja na jitihada kubwa za makusudi zinazofanywa na Ukraine, NATO na US kudogesha idadi ya wanajeshi wa Ukraine waliouawa na majeshi ya Russia nchini Ukraine, Waziri Mkuu wa Bulgaria kaamua...
Marekani imeonya kuwa Urusi inaweza kuivamia kijeshi Ukraine muda wowote. Mshauri wa masuala ya usalama wa Marekani, Jake Sullivan amesema uvamizi huo unaweza ukaanza kwa makombora na mashambulizi...
Je, vikosi vya Urusi vinajiandaa vita nchini Ukraine?
Ni miaka saba tu iliyopita wakati Urusi ilipomega sehemu ya Ukraine na kuwaunga mkono waasi walioanzisha mzozo sehemu kubwa na mashariki...
Wadukuzi wa Killnet wanadai kuhusika na shambulio hilo lililoondoa tovuti ya Anonymous na Zelensky
Kundi la wadukuzi wanaodaiwa kuunga mkono Urusi wanaojiita Killnet wameondoa tovuti...
Kiukweli utamu wa madaraka ukizidi sana unaweza kufanya vituko.
Wapo wengi tuliowaona hata hapa nchini kwetu.
Kujisahau kupo ila kujisahau zaidi pale unapopata madaraka na kujikuta kila kitu ni...
Hali imebadilika katika uwanja wa mapambano Euro wamefunga anga lao kwa ndege aina yeyote ya Russia. Marekani anaenda kutangaza jambo zito kwa dunia usiku wa leo.
Russia ameviambia vikosi vyake...
Mbaharia mmoja wa Ukraine amekiri kujaribu kuizamisha boti inayomilikiwa na mkuu wa kampuni ya silaha ya serikali ya Urusi, kwa lengo la kulipiza kisasi kwa uvamizi wa Ukraine.
Boti hiyo yenye...
Taifa la Ukraine limeondoa Visa na taratibu zote za kuingia nchini humo kwa wapiganaji wa kigeni watakaojisajili kwa ajili ya kwenda kuipigania Ukraine kwenye vita yake dhidi ya Russia.
Watafiti...
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC Karim Khan, amesema jana kuwa mahakama hiyo itaanzisha uchunguzi kuhusu uwezekano wa uhalifu wa kivita unaofanywa na Urusi nchini...
Mamlaka Nchini Ukraine zinasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi wapatao 70 kwenye Kitengo cha Kijeshi huko Okhtyrka, Mji ulioko kati ya Kharkiv na Kyiv.
Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu...
Kupitia waziri mkuu wake, Pakistan ambayo ni mdaiwa imetangaza kuiwekea vikwazo vya kiuchumi Urusi kwa kutolipa madeni wanayodaiwa ambayo ni zaidi ya dola za kimarekani bilioni moja. Hiki kikwazo...
State of the union ni hotuba yenye uzito mkubw ambayo hutolewa na raisi wa marekani mara moja kwa mwaka kuhusu ya hali ya kitaifa.
Jana yalitokea mambo ya kushangaza kwenye hii hotuba, Joe Biden...
Zaidi ya wajumbe 140 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, leo Machi Mosi, 2022 walitoka nje ya ukumbi baada ya kukataa kusikiliza hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei...
Maelfu ya raia wa Ukraine wamevuka mipaka kuingia katika mataifa jirani katika upande wa Magharibi kutafuta usalama, wakati Urusi ikishambulia mji mkuu wa nchi hiyo pamoja na miji mingine kwa...
Kila mtu anajua kinachoendelea pale Ukraine hakuna media duniani isiyo ongelea hii vita Lakini ukweli ni kwamba Hii vita imejaa propaganda na kwenye Hili Nchi za magharibi zimefanikiwa sana...
Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich
Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich anatarajiwa kushawishiwa kukubali kuiuza klabu hiyo, ikielezwa kuna ofa tatu zitatolewa wiki hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.