Wizara ya Afya ya Urusi imetangaza kuwa imegundua chanjo dhidi ya saratani ambayo itatolewa bure kwa wagonjwa na inatarajiwa kuanza kutumika rasmi mwaka 2025.
Andrey Kaprin, Mkuu wa Kituo cha...
Usichangie uzi kama una mihemuko. Katulizeeee ukoo ikishuka njoo na kichwa chenye akili.
Kujua hili lazima tujue serikali hii ya iran iliingiaje madarakani
✅1979 Kundi lenye itikadi kali...
Kilichonishangaza zaidi ni kiwango cha kipato alichokuwa anapata kupitia biashara hiyo ambayo ilikuwa inasimamiwa na kaka yake.
Yaani, alikuwa anapata dola bilioni kumi kwa mwaka, wakati pato la...
Jeshi la Israel, IDF inaruhusu watalii kuona 'kichaka kinachowaka moto' kwenye Mlima Karkom, Je ni nini hiki? - mfafanuzi
Jeshi limesema kuwa litafungua eneo hilo, ambalo kwa kawaida ni eneo la...
By Reporter.
Fresh Dossier: Africa’s deadliest wars getting fueled by UN sanctioned arms companies.
New classified reports and documents from the United Nations Security Council and a company...
By Barack Oduor
ECOSOCC: African Union highest policy making organ gets new leadership amid favouritism claims.
The African Union’s Economic, Social and Cultural Council (ECOSOCC) convened the...
Marcus Fakana, kijana wa miaka 18 kutoka Tottenham, London Kaskazini, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani huko Dubai baada ya kufanya mapenzi na msichana wa London mwenye umri wa miaka...
Nina fuatilia hapa Al Jazeera kuhusu yaliyokuwa yanafanyika kwenye gereza la Sednaya nadhani Assad alikuwa mtu katili Sana. Ndio maana wasyria wameshangilia Sana. Leo halaiki ya watu walifika...
Mahakama mjini Bujumbura imemuhukumu kifungo cha miezi 19 Gerezani Mwandishi wa habari Sandra Muhoza baada ya kukutwa na hatia ya kuvuruga usalama wa nchi na kusambaza taarifa za ukabila...
Haya tena ...........uduuuuuuuduuu ............bado put in tu..............yaaani hapo ndio utajua kuwa Ukraine 🇺🇦 ni balaa sana...............slava Ukraine ..........piga woteeee hao mpaka wakimbie
Hakika kinachoendelea Syria kinatisha, Waarabu wameendelea kutokujua adui yao namba moja ni nani! Ili washughulike nae bado hawajajiuliza vyema na kujibu swali hili ipaswavyo. Je ni Iran, je ni...
Utawala mpya wa Syria ulio chini ya kikundi cha kigaidi cha kiislamu chenye itikadi kali kijulikanacho kama Hayat Tahrir al-Sham (HTS), unaoongozwa na gaidi kiongozi Abu Mohammed al-Jawlani...
Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali.
Hali hiyo imetokana...
Wanaukumbi.
Kiongozi mpya, Al Juliani, anakataa kukabiliana na jeshi la Israel, ambalo liko kilomita 19 mbele ya Damascus.
Ambayo inaonyesha kwa nguvu kuwa ni mpango kati ya Israel na HTS nchini...
Luteni Jenerali wa ngazi ya juu Igor Kirillov ambaye ni Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Nyuklia, Biolojia, Kemikali (NBC) katika Jeshi la Urusi na Msaidizi wake wameuawa katika mlipuko uliotokea...
Kwa wapinzani Iran, kuporomoka kwa utawala wa Bashar al-Assad ni muhimu kwa sababu Syria imekuwa msingi wa kimkakati kwa Iran katika kanda hiyo. Baada ya anguko la Assad huko Syria, je utawala wa...
Rwanda imezindua maabara ya kwanza barani Afrika kwa ajili ya kupima ubora wa kofia za waendesha pikipiki ili kuhakikisha usalama wao. Juhudi hii, ambayo ni sehemu ya Mradi wa ‘Tuwurinde’...
Ukiangalia kwa undani makundi ya waasi yanayopigana dhidi ya utawala wa dikteta Bashir Al-Assad nchini Syria hayatoi matumaini mema kwamba endapo yatafanikiwa kumng'oa Assad siku za usoni za Syria...
Kimbunga Chido kimegharimu maisha ya watu wasiopungua 34 na kusababisha uharibifu mkubwa kote Msumbiji, Shirika la Kitaifa la Usimamizi wa Majanga na Hatari limethibitisha Jumanne. Dhoruba hiyo...
Wadau hamjamboni nyote
Rais Asad amevunja ukimya na kusema hajakimbia Syria na kuwatelekeza watu wake ila warusi ndiyo waliomuhamishia nchini kwao baada ya kambi yao ya kijeshi kushambuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.