International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Wadau hamjamboni nyote? Dereva aliua watu wasiopungua wawili alipovamia Kwa kubamiza gari kwenye umati mkubwa wa watu waliokuwa wakisherehekea katika soko la Krismasi katika mji wa Magdeburg...
10 Reactions
73 Replies
2K Views
Jeshi la Anga la Israel(IAF) limefanya mashambulizi makali nchini YEMEN katika mji mkuu wa SANAA. Mashambulizi hayo yameharibu kabisa Vituo vya kuhifadhi mafuta,Maghala ya Silaha,Vituo vya kufua...
23 Reactions
165 Replies
6K Views
Kimbunga Chido kimeua watu 94 nchini Msumbiji tangu kilipotua katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki wiki iliyopita, mamlaka za ndani zimesema. Taasisi ya Kitaifa ya Kudhibiti Hatari na Majanga...
0 Reactions
1 Replies
174 Views
Hezbollah waliwawekea mtego wakaingia wakawaangamiza papo hapo video inaonyesha maiti zikibebwa kwa helkopter ya kijeshi [emoji298]️What happened today morning in South Lebanon? A clash occurred...
5 Reactions
70 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Rasmi Kiongozi Mkuu mpya wa Syria baada ya mazungumzo na WAMAREKANI ijumaa meonyesha ushirikiano mkubwa mkubwa hivyo Serikali tukufu ya Marekani imefuta rasmi ahadi yake...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
ECONOMY: China 18.5 trillion USD (GDP) Japan 4 trillion USD (GDP) Population: China🇨🇳 1.4 billion Japan🇯🇵 123 million Per capita: China: 13000 USD...
10 Reactions
42 Replies
2K Views
Idadi ya vifo kutokana na kukanyagana wakati wa hafla mbili za kutoa misaada ya Krismasi nchini Nigeria imeongezeka kutoka 13 hadi 32, polisi walisema Jumapili. Waathiriwa, wakiwemo watoto...
0 Reactions
3 Replies
219 Views
Wanaume 17, raia wa China wamekamatwa kwa tuhuma za kuendesha mgodi haramu wa dhahabu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, mamlaka ilisema hapo Ijumaa, wakati serikali ikiendelea na msako...
3 Reactions
9 Replies
707 Views
Scores of people were injured and at least two people, including a small child, were killed on Friday after a car ploughed into a crowd of people at a Christmas market in the eastern German town...
3 Reactions
9 Replies
837 Views
Moderator saidia kurekebisha kichwa cha habari tafadhali Wadau hamjamboni nyote? Jamil Hassan almaarufu the butcher au mchinjaji Aliongoza kikosi maalumu Air Force Intelligence kikihusika na...
4 Reactions
8 Replies
651 Views
Imeelezwa kuwa waziri mkuu wa Slovak anajiandaa kufanya ziara wiki ijayo Russia kukutana na Putin kuzungumzia suala la usambazaji wa Gesi nchini kwake. Mkataba wa sasa wa kupeleka Gesi...
2 Reactions
2 Replies
366 Views
Nimefanya utafiti mdogo wa wamashabiki wa vita na migogoro ulimwenguni nikagundua kushuka kwa morari Kwa pro Rashia na Iran,anguko kubwa lilitokea baada ya westi kuichukua Syria mikononi mwa...
10 Reactions
25 Replies
1K Views
Hizi ni kauli za mwisho za binadamu baada ya kuona hamna tena matumaini ya kuendelea na uhai wake pindi anapokumbana na hitilafu au ajali inayompata wa nini kifuatacho
9 Reactions
64 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kumekuchaa Tel Aviv yapigwa na kombora zitoe kutoka Yemen Mfumo wa kuzuia makombora umeshindwa kuzuia kombora hilo ambalo limepiga tel Aviv na kufanya uharibifu mkubwa...
12 Reactions
91 Replies
3K Views
Last month i talked about one of the most carefully guarded of all intelligence secrets,the existence of russian robotoids. As i explained last month,they are the key factor in understanding...
1 Reactions
88 Replies
8K Views
Chezea mtu aliefunzwa kwa kuchochewa chuki na vurugu tangu utoto. Kwamba solution ya jambo lolote ni kuwa a rebel na haki ya kweli ni ile ya itikadi yao mahasusi. Basi tambua kuwa hawa watu hata...
3 Reactions
5 Replies
364 Views
Hizi ni habari motomoto kutoka Kwa makamanda mashujaa wasio na hofu yeyote. Niwatakie sabato njema December 21, 2024 Following the missile attack on Tel Aviv, Houthi official Hezam al-Asad has...
2 Reactions
14 Replies
612 Views
Something big is cooking. The judges canceled Netanyahu’s testimony tomorrow because of a special security event. The Houthis in Yemen are about to find out that they messed with the wrong...
9 Reactions
79 Replies
3K Views
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: =========== December 11, 2024 Tomb of Assad’s father set on fire in Syria hometown Rebel fighters stand next to the burning gravesite of Syria's late...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Putin pia amesema kuwa Urusi iko tayari kwa mazungumzo na maridhiano kuhusu Ukraine, lakini inahitaji upande wa pili uwe tayari pia. Aidha, alionyesha utayari wa kukutana "wakati wowote" na Rais...
5 Reactions
5 Replies
788 Views
Back
Top Bottom