International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Kampuni namba 2 na namba 3 kwa utengenezaji wa magari nchini Japan baada ya Toyota, Honda na Nissan zinafikiria kuunganisha mitaji yao ili kuziunganisha na kuwa kampuni moja. Lengo ni kuwasaidia...
14 Reactions
44 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimeona niwawekee angalao picha yake mumfahamu Anezaliwa 22 May 1979 Nihayo kwaleo, niwatakie siku njema
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Hundreds of demonstrators have taken to the streets in Christian areas of Damascus to protest the burning of a Christmas tree near...
2 Reactions
8 Replies
616 Views
Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani. Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi. Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Mamlaka za Magereza zimesema kama sehemu ya hatua za kuzuia “uwezekano wa uvunjifu wa usalama”, wafungwa/ mahabusu hawataruhusiwa kupokea wageni kwa siku 7, kuanzia usiku wa Krismasi Msemaji wa...
1 Reactions
1 Replies
423 Views
Akiongea mbele ya waandishi wa habari, Zele amekiri kwa mara ya kwanza ya kuwa jeshi lake haliwezi kuyarudisha majimbo na maeneo yake kadhaa yaliyochukuliwa na jeshi la Urusi tangu septemba 2022...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
American hata kubali utasikia ana dai sababu ni friendly 🔥 ni uwongo mtupu zimetunguliwa na Yemen Wengine wanasema ndege.moja.
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Hizi ni baadhi ya nchi zinazo endeshwa kwa misingi ya kikristo na huwezi kuwa kiongozi wa dola ikiwa wewe si mkristo Malta, Armenia, Vatican, England, Denmark, Norway, Iceland nk. Swali langu ni...
53 Reactions
352 Replies
9K Views
Rais Putin anasema anataka kukutana nami haraka iwezekanavyo," Trump alisema katika kongamano huko Arizona. "Kwa hivyo itabidi tusubiri, lakini lazima tukomeshe vita hivi. Vita hivi vinatisha...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Mtoto ka utaka acha apakatwe atulie. Jeshi la Urusi limeanza kuitwanga Ukraine kwa makombora tiifu ya RS 26 linaloweza kusafiri bara moja hadi Jingine bila kuzuiliwa...
9 Reactions
44 Replies
4K Views
Niaje waungwana Baada ya wazungu kufanikiwa kuwaweka watu wao pale mashariki ya kati (Palestina + Israel), Plan ya pili ilikuwa ni kuwasaidia watu hao kujitanua kutoka nchi moja kwenda nchi...
41 Reactions
286 Replies
10K Views
Mtu yeyote atakayejaribu kuligusa taifa takatifu la Saudi Arabia, tutambomoa na kumfuta katika ramani ya dunia. Taifa hili limesaidia watu maskini hususani Afrika na nchi nyingi zinazoendelea kwa...
26 Reactions
479 Replies
71K Views
Waziri Mkuu wa Georgia, Irakli Kobakhidze, atangaza kwamba maafisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani wa nchi hiyo ambao hivi karibuni wamewekewa vikwazo na Marekani na Uingereza, watapewa tuzo ya...
2 Reactions
3 Replies
317 Views
  • Poll Poll
Ripoti ya Hurriyet inadai kuwa Assad alipokea dhamana kutoka kwa Israeli ili kuhakikisha usalama wa njia yake ya kutoroka baada ya kupata taarifa za kijasusi. "Kwa kuzingatia usahihi wa...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Trump says Putin wants meeting to discuss Ukraine war “President Putin said that he wants to meet with me as soon as possible,” says Trump during an address in Arizona Servet Gunerigok...
1 Reactions
3 Replies
251 Views
Walizunguka Walichoma nyumba za maskini vijijini na kuua watu. Jameni muarabu alituachia laana kubwa sana Afrika, popote alipo ateseke kwa moto. ===== Suspected jihadists killed more than 20...
3 Reactions
19 Replies
673 Views
Ndege ya kivita ya Marekani imedunguliwa katika Bahari Nyekundu kwenye tukio linaloonekana kuwa "ufyatuaji wa silaha uliotokea upande wao", jeshi la Marekani limesema. Wafanyakazi wote wa Jeshi...
2 Reactions
7 Replies
931 Views
Papa Francis alaani vikali kinacho iendela huko Gaza na kuilamu Israeli kwa ukatili wanao ufanya dhidi ya watoto. Amesema kinacho fanywa na Israeli sio vita bali ni ukatili dhidi ya watoto...
4 Reactions
30 Replies
676 Views
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, anatarajiwa kuendeleza msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine baada ya kuapishwa tarehe 20 Januari, kwa mujibu wa gazeti la Financial Times Kwa mujibu...
6 Reactions
40 Replies
2K Views
Naona nguvu kubwa inaendelea kutumika kuua raia na kubomoa majengo huko Gaza lkn hakuna taarifa za kupatikana kwa mateka. Je Mossad na IDF wameshindwa kuwaokoa ndugu zao? Au hakukuwa na mateka...
0 Reactions
43 Replies
1K Views
Back
Top Bottom