Africa is on the verge of a transformative period, fueled by technological advances in artificial intelligence (AI) and a renewed commitment to democratic government. As the continent works...
Rais wa Angola atoa msamaha kwa makumi ya wafungwa, akiwemo mtoto wa mtangulizi wake
27 Desemba 2024
Picha maktaba:. João Lourenço, rais wa Angola. Picha ya faili: Cia Pak/ONU
José Filomeno Dos...
Kufuatia kuidhinishwa kwa mipango ya utendaji kazi na Mkuu wa Majeshi Mkuu, Waziri wa Ulinzi na Waziri Mkuu, ndege za kivita za IAF zilifanya mashambulizi ya kiintelejensia dhidi ya malengo ya...
Wadau wa JF habari?Hivi karibuni kumetokea kimbunga CHIDO katika bahari ya hindi na kuathiri maeneo mbalimbali ikiwemo kaskazini mwa msumbiji,Malawi,Zimbabwe na kisiwa cha Mayotte..katika...
Watu wengi wamejidanganya Sana eti Marekani anaiba mafuta Uarabuni bila kujua Marekani ni kinara wa Uzalishaji wa crude oil duniani
USA anazalisha pipa million 21 kwa siku na kumuacha Saudi...
Serikali mpya ya Syria imetangaza Krismasi kuwa sikukuu ya umma.
Ofisi za Serikali zitafungwa tarehe 25 na 26 Desemba ya kila mwaka.
Cc. Ritz
Cc. FaizaFoxy...
Niaje niaje baada ya mdau mmoja hapa jukwaani kupost orodha ya matajiri nikajaribu na mimi kupitia katika ile top 20.
Marekani kaingiza watu 14 yaaani ilibakia kidogo wawe ni marekani tupu 1-20...
'Made in China 2025' ukipenda iite MIC25
Huu ni mpango kabambe wa serikali ya China wa miaka 10 (2015-2025). Ambapo China imepanga kufikia 2025 ijitegemee kabisa katika teknolojia za hali ya juu...
Shirika la kitaifa la ndege la Sri Lanka limelaumu uwepo wa panya kwenye ndege kwa kusitisha safari za ndege kwa siku tatu.
Panya huyo aliyejificha bila kupatikana kwa siku tatu, alionekana...
Waziri Mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh, ambaye alitawala nchi hiyo ya Kusini mwa Asia kwa mihula miwili na kuikomboa uchumi wake katika kipindi cha awali kama waziri wa fedha, amefariki...
Nimesoma sehemu ila sina uhakika kama ni kweli
A US-made F-16 aircraft was shot down in the Zaporizhia region as it was preparing to launch a missile strike, Russian News Agency, Tass, reported...
Ndege ya Shirika la Ndege la Azerbaijan iliyokuwa imebeba watu 67 imeanguka karibu na mji wa Aktau nchini Kazakhstan leo na kusababisha vifo vya watu 38 waliokuwa ndani, kwa mujibu wa Mamlaka za...
Taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya Urusi vimeeleza kuwa kuna dalili kuwa ndege ya abria ya Azerbaijan iliyoanguka ndani ya nchi ya Kazakhstan, ikielekea nchini Urusi, imedunguliwa na...
Muda si mrefu Uchumi wa USA unafika 30 trillion USD.
Uchumi wa USA ni mkubwa Sana. Ni rahisi kuitawala dunia kwa huo uchumi
Mchina ana safari ndefu Sana.
Ana watu 1.4 billion na uchumi bado ni...
Ripoti za awali zinaonyesha mashambulizi makali ya mizinga ya Saudia yakilenga Saada, eneo linalodhibitiwa na Ansar Allah kaskazini magharibi mwa Yemen.
Sambamba na hilo, ripoti zinaonyesha...
Jumbe za Trump kwa panama kuhusu Panama Canal
Majibu ya serikali ya Panama kupitia Rais wao.
Huyu bwana jambo lengine nililo gundua kutoka kwake China inanyima usingizi sana maana kila mara...
Bila Marekani, Saudi Arabia isingekuwa kama ilivyo. Ingeishageuka Afghanistan zamani.
Je ni halali taifa 'takatifu' kulindwa na taifa chafu kama Marekani? Wanangu wenye kujua nisaidieni.
Wakuu,
Kuna video za wahamiaji na vijana kutoka Palestina nimekutana nazo mtandaoni leo zimenipa maswali sana kuhusu hatma ya mgogoro huo unaendelea huko Middle East.
Kuna umbali wa takriban Km...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.