Ndio maana mataifa makubwa kama US huwa wanaidharau hii United Nations na mpaka kutishia kuacha kuchangia...
Sasa Kikwete masikini ya Mungu eti anatumwa aka negotiate na Taliban kurejesha watoto...
Wabunge nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamepiga kura kumuondoa madarakani Waziri Mkuu Sylvestre Ilunga Ilukamba
Bwana Ilukamba, ambaye hakuwepo wakati wa kura ya kutokuwa na imani naye...
Mnafahamu kuwa kwa Sasa mgogoro baina ya Ukraine na Urusi ,unaonekana kuwa Kati ya Urusi na Marekani? Yaani sasa hivi ni majibizano kati ya Joe Biden na Vladimir Putin?
Kwanini Marekani kashikia...
Wataalam wa Umoja wa Mataifa wamesema kwenye ripoti yao kwamba Korea ya Kaskazini inaendelea kuiba mamilioni ya dola kutoka katika taasisi za kifedha na makampuni yanayojihusisha na sarafu za...
The Mali Government has officially cut diplomatic ties with France, abandoned French as its official language, and ordered French troops to leave its territory within 72hrs.
The decision was...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Maambukizi vya Virusi vya Corona yamepungua kwa 19% Wiki iliyopita ikielezwa Visa vipya vipatavyo Milioni 16 na Vifo 75,000 viliripotiwa kuanzia Februari 7...
Herry Wirawan (katikati) mkuu wa shule ya wasichana ya Kiislamu aliyepatikana na hatia ya kubaka wanafunzi, akisindikizwa na maafisa wa usalama wakati wa kusikilizwa kwa hukumu katika mahakama ya...
Brazil is a big country in South America that has a lot of people who speak Portuguese. The capital is Brasilia, and the country is called the Federal Republic of Brazil. Beautiful: Brazil is a...
In view of the $30 billion given annually to the FBI, the CIA and other U.S. "intelligence" agencies, why were these agencies completely unaware (or so they say) of this conspiracy before they saw...
Kwa ufupi hiki kilichofanyika ni uhaini kwenye katiba ya marekani na adhabu pekee ni kifo.
Mama Clinton alilipa majasusi waweze kuingilia mifumo ya mawasiliano kipindi cha kampeni kuingilia...
Wachambuzi wa medani za kivita wanasema kati ya mambo ambayo yamechelewesha Russia kuivamia Ukraine ni taarifa za kiintelijesia ilizonazo US zinazohusu mipango ya kuivamia Ukraine.
Taarifa hizi...
Utawala wa kijeshi wa Mali unaobanwa na vikwazo vya uchumi umeshindwa kulipa madeni yake katika soko la fedha la ukanda wa Afrika Magharibi.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa maafisa wa fedha wa...
Urusi na Belarus zinaanza siku 10 za mazoezi ya pamoja ya kijeshi huku kukiwa na hofu inayoendelea ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Belarus ni mshirika wa karibu wa Urusi na ina mpaka mrefu wa...
From Ottawa to Paris to Canberra and across a wide swath of the planet, a massive populist surge has exploded in a direct challenge to the Globalist tyranny centered in Davos with the WEF.
This...
Ama kwa hakika naweza kusema Trump alimudu vingi sana licha ya kuchafuliwa sana na Media kubwa ambazo ni left wing kama cnn, bbc, al jazeera, msnbc, cbs, n.k. lakini Trump aliweza kufanya mambo...
Maafisa wa usalama wa Sudan wamewaua kwa risasi waandamanaji wawili walipokuwa wanajaribu kuwatawanya maelfu ya waadamanaji, kwa kutumia gesi ya kutoa machozi kwenye mji mkuu wa Khartoum pamoja na...
Am not a sadist or a war monger, ila na tamani Urusi iivamie Ukuraini nchi ambao ilio kua himaya yake ili tuweze kuona unafiki wa Wazungu kama wa navo fanya katika nchi za kiarabu na Africa, kwa...
Picha: Rais wa Ujerumani Frank -Walter Steimeier
Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier amechaguliwa tena kutumikia muhula wa pili wa miaka mitano.
Rais huyo maarufu amechaguliwa kwenye...
Gazeti la The Telegraph linaripoti kuwa wabunge 11 wa chama cha Kihafidhina cha Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson wamewasilisha barua za kutokuwa na imani na kiongozi huyo hii leo. Kisheria...
Vladimir Putin, rais Wa Urusi mtaalamu wa mapigano ya judo na jasusi wa zamani wa KGB amedhamiria kuanzisha vita kuu ya tatu ya dunia.
Baada ya muungano wa Soviet Kuvunjika, Urusi ilibaki ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.