International Forum

News and Stories from rest of the World
Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Marekani inasukuma...
0 Reactions
3 Replies
565 Views
Picha: Ramani ya nchi ya Burundi Mashirika mbalimbali ya kiraia nchini Burundi yameisuta jumuiya ya Umoja wa Ulaya kufuatia uamuzi wake wa kurejesha msaada wa kifedha kwa nchi hiyo, yakisema...
0 Reactions
3 Replies
572 Views
Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ilitangaza Jumatano wiki hii kwamba dola Milioni 325 ndio kiasi cha fidia ambacho Uganda inapaswa kuilipa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambayo ilikuwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Picha: Ayatollah Ali Khamenei Kiongozi wa juu kabisa mwenye usemi wa mwisho nchini Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amewatuhumu Rais wa sasa wa Marekani, Joe Biden, na mtangulizi wake, Donald Trump...
3 Reactions
5 Replies
930 Views
Ukraine imetuma ombirasmi kwa serikali ya Ujerumani kwa ajili ya msaada wa "silaha za kujihami", kwa mujibu wa ripoti ya gazeti. Katika barua iliyonukuliwa na Gazeti la Ujerumani la Süddeutsche...
6 Reactions
28 Replies
3K Views
Chama cha Majaji nchini Tunisia kimetowa mwito kusitishwa shughuli zote katika mahakama za nchi hiyo kuanzia kesho Februari 9 na 10 kupinga hatua iliyochukuliwa na Rais Kais Saed ya kulivunja...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jeshi la Israel limesema lilishambulia betri za makombora nchini Syria baada ya kombora la kutungulia ndege kurushwa kuelekea Israel wakati ambapo televisheni ya taifa ya Syria iliripoti kuwa ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Watu sita wamefariki nchini Madagascar baada ya Kimbunga Batsirai kupiga kisiwa hicho kilichopo kwenye bahari ya Hindi. Kisiwa cha Mananjary na miji ya karibu ya imekabiliwa na uharibifu mkubwa...
1 Reactions
5 Replies
886 Views
Wiki iliyopita, waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alitaja masuala ya usalama ya Urusi kuwa "halali", akisema yanapaswa "kuchukuliwa kwa uzito na kushughulikiwa". Siku ya Jumatatu, balozi wa...
4 Reactions
108 Replies
6K Views
China imesema Jumanne kwamba itaalika watazamaji zaidi kwenye michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi inayoendelea mjini Beijing kutokana na fanaka kubwa ya kudhibiti maambukizi ya Corona kwenye...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
In human communication, language is the primary mode of expression. It is composed of words that are utilized in a structured and customary manner and are conveyed through speech, writing, or...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Umoja wa Ulaya (EU) umeondoa Vikwazo vya Kiuchumi dhidi ya Burundi kutokana na mazingira ya Amani ya Kisiasa pamoja na Maendeleo ya Serikali ya Burundi kwenye masuala muhimu ikiwemo Haki Za...
1 Reactions
1 Replies
716 Views
Kule Sudan, Burkina Faso, na kwingineko inaonekana wananchi wakifurahia mapinduzi haramu yanayofanywa na wanajeshi wanaoziondoa serikali za kidemokrasia badala ya kuchukia mapinduzi, hii ni...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Huduma za Msingi za Afya zikiwemo programu za Chanjo na matibabu ya magonjwa kama UKIMWI ziliripotiwa kuathiriwa kwa 92% katika Nchi 129. Utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu athari za...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Taifa hilo limesema litafungua Mipaka yake kwa Wasafiri waliopata chanjo dhidi ya COVID19 kwa mara ya kwanza ndani ya takriban miaka miwili. Waziri Mkuu amesema Mipaka itafunguliwa Februari 21...
0 Reactions
1 Replies
646 Views
Umoja wa Afrika (AU) umelaani wimbi la mapinduzi ya hivi karibuni ambalo limeshuhudia idadi kubwa ambayo haijawahi kushuhudiwa ya nchi wanachama zikisimamishwa kutoka umoja huo. Hayo yamesemwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni habari ambayo imeleta simanzi sana kwa wazazi wake na hata watu waliokuwa wanafatilia habari kuhusu mtoto aliyekuwa anacheza pembeni na maeneo ya kisima kirefu na kudumbukia. Kujulikana kama...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Ni mtoto wa miaka mitano (5); baada ya baba yake kumtafuta kwa masaa kadhaa ndio akagundua kwamba kadumbukia kwenye kisima kilichokuwa kinafanyiwa matengenezo. Video zina maelezo “Do this, send a...
1 Reactions
66 Replies
7K Views
Hali ya Kisiasa Nchini Tunisia imezidi kudorora baada ya Rais Kais Saied kusema anavunja Baraza Kuu la Mahakama, kitendo ambacho kimetajwa kuwa kinyume na Sheria, huku Majaji wakisema hawatokaa...
0 Reactions
3 Replies
965 Views
Back
Top Bottom