Ndivyo nilivyosoma kupitia ukurasa wa CNN asubuhi hii, Biden amevunja record ya ajira kwa 6.6 million added kuliko marais wote waliowahi kushika madaraka marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja toka...
Ukraini imeamua sasa kufundisha wananchi wake na kuongeza jeshi la akiba hata na lisilo na akiba.kwa ajili lolote litakalo tokea na mzozo huu baina mbili kati ya ukraini na vikosi vya Urusi.
Wanajeshi 24 wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa pamoja na mfanyakazi mmoja raia wa umoja huo waliuawa katika mashambulizi ya kuwalenga mnamo mwaka 2021 hii ikiwa ni kulingana na ripoti ya...
Urusi imesema leo kuwa itajibu kwa njia sawa kama Ujerumani itaumaliza mzozo kuhusu vyombo vyao vya habari, lakini itauongeza mvutano huo hata zaidi kama Berlin itaamua kufanya hivyo.
Urusi...
PUTIN ASIFIA UHUSIANO WA KARIBU WA URUSI, CHINA
Rais wa Urusi, Vladmir Putin, leo ameyasifu mahusiano ya karibu ya nchi yake na China, katika mkutano na mwenzake wa China, Xi Jinping, kabla ya...
Mara ya kwanza, alikuwa akizungumzia suala la uhamiaji nchini Marekani
Mara ya pili, aliwazuia wafuasi wake wasimzomee mfuasi wa Trump aliyekuja kumpinga
Evaluate your battles carefully...
The Canadian Truckers’ Association Declaration
We, the Truckers Of America, declare that whereas:
The “killer virus” is a mild flu
The Covid “vaccine” is a gene-modification treatment...
The most virulent HIV variant known to science has been discovered in the Netherlands, according to researchers who said it provided a valuable insight into the way viruses such as the one behind...
Shirika la habari la AFP linaripoti kwamba kiongozi wa kundi lenye msimamo mkali raia wa Tanzania anayehusika kuongoza mashambulizi ameuwawa nchini Msumbiji kwa mujibu wa tangazo la polisi la...
Hatimaye mwaka mpya wa jadi wa China ambao ni mwaka wa chuimilia umefika! Mwaka huu umeanza kwa kishindo, matumaini na macho ya dunia yakielekezwa China. Kwa mara nyingine tena Beijing ni mwenyeji...
Mamia ya wavulana wametoweka kwenye Gereza la Kikurdi nchini Syria ambalo linawazuia wapiganaji wa Kundi linalojiita Dola la Kiislamu - IS na familia zao.
Hii ni baada ya wanajeshi wa Kikurdi...
Kuna tetesi za jeshi kumshikilia Rais na Waziri Mkuu wa Guinea-Bisau katika Mji Mkuu Bissau.
NB: Ni hivi karibuni jeshi liliipindua serikali ya nchi jirani ya Guinea-Conacry na sasa Guinea-Bissau...
Takriban watu 3000 wanaowadhalilisha watoto kingono wamekuwa wakiendesha maovu yao ndani ya kanisa katoliki nchini Ufaransa tangu mwaka 1950, hii ikiwa ni kwa mujibu wa mkuu wa tume huru...
Hafla ya ufunguzi wa Michezo ya 24 ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing imefanyika leo kwenye Uwanja wa Michezo wa taifa wa Beijing. Rais Xi Jinping wa China atatangaza kufunguliwa kwa...
Riyadh yaomba msaada wa silaha wa Marekani ili kukabiliana na mashambulizi ya jeshi la Yemen
Oct 29, 2021 03:47 UTC
[https://media]
Ripoti imefichua kuwa Saudi Arabia imeiomba Marekani iipatie...
Kadinali mmoja wa Ujerumani ametoa rai kwa Kanisa Katoliki kuondoa kigezo cha useja kwa mapadri wa Kanisa hilo.
Katika mahojiano na gazeti la Ujerumani la Sueddeutsche Zeitung, askofu mkuu...
Vyombo vya Habari vya serikali nchini Korea Kaskazini vimetoa picha zinazosema kuwa zilichukuliwa kutokana na majaribio ya kombora lake kubwa zaidi kutoka mwaka 2017.
Picha hizo zinaonesha sehemu...
Jeshi la Burkina Faso limetangaza kurejesha katiba, wiki moja baada ya kutwaa mamlaka katika taifa la ukanda wa Sahel. Tangazo hilo limetolewa katikati mwa mazungumzo baina yake na wapatanishi wa...
Wakimbizi zaidi ya 50 wameuawa usiku wakuamkia leo Jumatano katika kijiji cha Ngujona wilayani Djugu katika mkoa wa Ituri. Yamefanyika wakati juhudi zinaendelea za kuwahamasisha waasi...
Kampuni ya nchini Ujerumani ya teknolojia ya biolojia - BioNTech pamoja na mshirika wake wa kimarekani, Pfizer, wameomba kibali cha dharura nchini Marekani, cha matumizi ya chanjo dhidi ya virusi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.