Denmark imesema Alhamisi kwamba itaanza kuondoa vikosi vyake nchini Mali baada ya utawala wa kijeshi uliofanya mapinduzi nchini humo mapema wiki hii kuitisha kuondoka kwao likionekana kuwa pigo...
Protestors show their support for the Freedom Convoy of truck drivers who are making their way to Ottawa to protest against COVID-19 vaccine mandates by the Canadian government on Thursday, Jan...
Rais Recep Tayyip Erdogan ametishia kuwa Vyombo vya Habari Nchini humo vitachukuliwa hatua ikiwa vitasambaza maudhui aliyodai yanaharibu Maadili ya Msingi ya Nchi
Rais Erdogan hajaweka wazi...
Kiongozi wa Upinzani kutoka chama cha labour party ameapishwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke Nchini Honduras..
Xiomara Castro,Mwanamke wa mlengo wa kushoto amechukua madaraka ya Nchi hiyo baada ya...
Shirika kubwa zaidi la mahusiano ya umma duniani la Edelman, hivi karibuni limetoa ripoti ya mwaka 2022 ya “Edelman Trust Barometer”, ikionesha kuwa imani ya Wachina kwa serikali yao imefikia 91%...
Kamshina wa Haki wa Umoja wa Ulaya, Didier Reynders amesema anatarajia kuona WhatsApp inafuata Sheria za Umoja wa Ulaya ambazo zinalenga kuwalinda Wateja na Faragha zao
WhatsApp imebakiza mwezi...
Ten of the Deadliest Martial Arts Styles in the World- Don't try this at Home
For centuries mankind has been involved in warfare and violence and as a consequence had to develop weapons and...
Biden alijinasibu na kutoa ahadi kemkemu na kumtupia lawama lukuki Trump
Ndani ya mwaka mmoja wa Biden, vifo vya Covid-19 marekani vimezidi vifo vilivyoripotiwa chini ya Trump, wakati Biden...
UFARANSA: Watu 13 wamekamtwa kwa kutengeneza na kuuza vyeti bandia 62,000 vya #COVID19 jijini Paris na Lyon.
Uchunguzi umebaini kundi hilo la wahalifu lilidukua akaunti ya nesi wa kituo cha Afya...
Kufuatia Mapinduzi ya Kijeshi ya Januari 24, Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imetangaza kusitisha Uanachama wa Burkina Faso, lakini kwa sasa haijaweka vikwazo vyoyote...
Katika hali ya kustaajabisha, nchini Marekani kumetokea wizi wa aina yake; ambapo wezi wabobezi wamefanikiwa kuiba daraja. Nisikuchoshe, jisomee mwenyewe.
======
Police in Akron, Ohio are...
Kundi la Wanajeshi lililomtoa madarakani Rais Roch Kabore limewaonya waliokuwa Mawaziri kutoondoka Mji Mkuu wa Nchi hiyo au kukwamisha mazungumzo kuhusu namna ya kurejesha Utawala wa Kidemokrasia...
Ripoti mpya ya Shirika la Oxfam inasema utajiri wa Mabilionea 10 wakubwa zaidi umeongezeka maradufu wakati wa CoronaVirus. Mapato ya chini ya Mataifa masikini zaidi duniani yalichangia vifo vya...
Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya ya Njaa Kaskazini mwa Nchi hiyo ikielezwa zaidi ya 80% ya Familia hazina uhakika wa chakula, hali inayopelekea Watoto chini ya miaka mitano kuwa na...
Maafisa wa Cameroon wamesema kwamba takriban watu 6 wamekufa baada ya mkanyagano nje ya uwanja mmoja wa mpira kunakofanyikia michuano ya kombe la Afrika la AFCON.
Kwa mujibu wa shirika la Habari...
Mji huo umeondoa marufuku iliyowekwa kudhibiti mizunguko ya mwisho wa wiki, na kuruhusu Migahawa na Masoko kufunguliwa kutokana na maambukizi kupungua.
Hata hivyo, Shule bado zitaendelea kufungwa...
Nimesoma na kuona hizi habari kupitia vyombo vya Habari kama CNN TV, Al-Jazeera, BBC kwamba mzigo wa tatu rasmi umetua KIEV ukitoa ule wa tani 80 wa mara ya pili. Nilisoma humu kuna watu wanadai...
Picha: Luteni Kanali Paul-Henri Damiba
Luteni Kanali Paul-Henri Damiba aliyeongoza Mapinduzi yaliyomtoa Madarakani Rais Roch Kabore ametoa hotuba yake ya kwanza kwa Taifa hilo na kusema Jeshi...
Polisi Canada wameipata miili ya watu wanne akiwemo mtoto mchanga, katika eneo la uwanja mkubwa uliopo kwenye mpaka wa Canada na Marekani.
Watu hao walipatikana wakiwa wamekufa katika theruji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.