Wanadiplomasia walioko Afrika Magharibi wameiambia Reuters kuhusu kushikiliwa kwa Rais wa Burkina Faso, Roch Kabore katika kambi ya jeshi iliyoko Ougadougou
Taarifa ya kushikiliwa kwa Rais Kabore...
Hii ndo maana sahihi ya Muongoza njia. Hatimaye Serikali ya Ghana imemuiga Mama asiye na maneno mengi bali matendo mengi, asiye na mbwembwe za kujitangaza hovyo na promo za kijinga anayependa vitu...
Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya corona
Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya coronaImage caption: Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya corona...
Paul-Henri Sandaogo Damiba: Kanali wa jeshi aliyeongoza mapinduzi Burkina Faso
CHANZO CHA PICHA, ANADOLU AGENCY: Wanajeshi walioongoza mapinduzi Burkina Faso
Paul-Henri Sandaogo Damiba ndio...
Jumuiya ya Kimataifa yahimizwa kuruhusu misaada iliyositishwa kuepusha Familia kuuza Watoto ili kupata Chakula. Imeelezwa, zaidi ya nusu ya watu katika Taifa hilo wanakabiliwa na njaa
Mamilioni...
Rais wa zamani wa Nchi hiyo, Blaise Compaoré (1987-2014), anakabiliwa na mashtaka ya mauaji ya aliyekuwa Rais kuanzia mwaka 1983 hadi 1987, Thomas Sankara.
Sankara aliuawa katika mapinduzi...
Serikali imeridhia kuondolewa Hali ya Dharura ya miezi sita iliyowekwa Novemba 2021 baada ya Vikosi kutoka Tigray kusema vilikuwa vinaelekea Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa
Mwezi Desemba...
Wakuu hiki ninachokiona YouTube na nyie mmeshakiona?
Mbona inaoneka urusi kapeleka jeshi kubwa sana na vifaa karibu vya aina yote mpakani mwa ukraine akdai anawalinda raia waliopo eastern ukraine...
https://www.dailystar.co.uk/news/world-news/british-airways-cancels-flights-over-25997452
British Airways has cancelled several flights to the US amid fears 5G cellular antennas near some...
Korea Kusini imerekodi maambukizi zaidi ya 13,000 kwa mara ya kwanza, huku Mamlaka zikionya Kirusi cha Corona aina ya Omicron kinaweza kuchangia hadi 90% ya maambukizi mapya katika wiki zijazo...
Maandamano hayo yanakuja baada ya Waandishi wa Habari watatu kuuawa tangu kuanza mwaka 2022. #Mexico inatajwa kuwa miongoni mwa Mataifa hatari zaidi duniani kwa Wanahabari
Maandamano yamechochewa...
Hivi karibuni, China imeweka hatua mpya katika kuzisaidia nchi za Afrika kuendeleza mageuzi ya kidijitali. Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Zambia ya MTN imeshirikiana na Huawei ya China kuzindua...
Mbali na kusema Rais Roch Kabore amepinduliwa Jeshi Nchini humo pia limesema Bunge limevunjwa na Mipaka ya Taifa hilo imefungwa.
Uamuzi huo umesainiwa na Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba...
Wizara ya Afya ya Israel imesema watu wa umri wa miaka 60 na kuendelea waliopata chanjo ya nne wameonesha kuwa na kinga kuliko waliopata chanjo tatu.
Watu waliopata chanjo tatu wameonekana...
Wajumbe wa Taliban wanakutana na maafisa wa nchi za magharibi nchini Norway kwa ajili ya mazungumzo ya kwanza Ulaya tangu kundi hilo lichukue udhibiti wa nchi ya Afghanstan.
Mazungumzo hayo...
Rais Lazarus Chakwera amevunja Baraza la Mawaziri kutokana na kashfa za rushwa za Mawaziri watatu akiwemo waziri wa Nishati aliyetuhumiwa kufaidi kwenye mikataba ya uingizaji mafuta
Rais Chakwera...
Habar wana JF
Ningependa kujua kwa undani kwanini Siasa za ujamaa huwa zinakwama mbele ya Siasa za Kibepari tatizo nini au viongozi huwa wanakosea wapi....maana hata china baada ya kubadili...
Kituo cha Kuzuia na Kudhibiti Magonjwa (CDC) Barani Afrika kimetaka Chanjo za COVID-19 zinazotolewa kuwa na muda wa matumizi kati ya miezi mitatu hadi sita ili Mataifa yaweze kupanga usambazaji...
Picha: Mchungaji Curtis Keith Bankston
Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao.
Maafisa wa polisi wanasema Curtis Keith Bankston...
Serikali Nchini Cameroon imesema takriban watu 16 wamefariki dunia kwenye Klabu iliyopo Mji Mkuu wa Taifa hilo, Yaounde kufuatia ajali ya moto iliyosababishwa na fataki
Kwa Mujibu wa Wizara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.