Wizara ya afya nchini Kazakhstan imesema, watu 164 wakiwemo watoto watatu wameuwawa tangu yalipoanza machafuko yaliyotokana na maandamano nchini humo zaidi ya wiki moja iliyopita.
Kati ya 164...
Rais Ebrahim Raisi amesema aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump anapaswa kuwajibishwa kwa nafasi yake katika mauaji ya Jenerali Qassem Soleimani yaliyotokea miaka miwili iliyopita, au Iran...
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya hivi karibuni alipohudhuria hafla ya kumalizika kwa mradi wa bandari ya mafuta ya Mombasa uliojengwa na kampuni ya China pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang...
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa amemfuta kazi Waziri wa Usalama wa Nchi hiyo, Owen Ncube kwa kufanya vitendo visivyofaa kama Kiongozi wa Serikali.
Ofisi ya Rais ilitangaza hatua hiyo Januari...
10 Predictions of What the World Will Look Like in 2022.
When people think about the future, they often imagine a bleak and dark place. But what if we could imagine a brighter world? One where...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Visa Milioni 9.5 vimeripotiwa ulimwenguni Wiki iliyopita, ikiwa ni ongezeko la 71%.
Japokuwa Kirusi cha Omicron kimeonekana kutosababisha makali kama Delta...
Bei ya mafuta duniani yaongezeka kufuatia machafuko Kazakhstan,
Machafuko katika nchi ambayo ni mwanachama wa kundi la Opec+ ya Kazakhstan yamesabisha bei ya mafuta kuongezeka wakati wawekezaji...
MWANASHERIA AMSHITAKI MKEWE KWA KUMZALIA WATOTO WENYE SURA MBAYA, NA HAKIMU AMWAGIZA MKE KULIPA FIDIA.
Gazeti la mtandaoni la KINEDA limeripoti habari yenye msisimko wa kipekee, ambapo...
Wanajeshi wa Uswisi wametakiwa kutumia mtandao wa Threema(Mtandao wa Uswisi) kwa kuwasiliana kiofisi na kibinafsi ili kuwa na ulinzi wa taarifa zao.
Mitandao ya WhatsApp, Telegram na Signal...
Viongozi wa kisiasa wa Somalia Jumapili wamesema kwamba wamefikia makubaliano ya kukamilisha uchaguzi wa bunge kufikia Februari 25 baada ya kucheleshwa kwa muda na kutishia udhabiti wa taifa hilo...
Rais Kassym-Jomart Tokayev amekubali Serikali kujiuzulu kufuatia maandamano yaliyotokana na ongezeko la bei za mafuta. Ametangaza Hali ya Dharura kwa muda wa wiki mbili katika baadhi ya maeneo...
Maandamano yaliyoanza kutokana na ongezeko la bei ya mafuta yameendelea hata baada ya Serikali kusitisha bei mpya zilizosababisha ghasia hizo zinazotajwa kuwa mbaya zaidi tangu Taifa hilo kupata...
Mpigania uhuru wa Angola Jonas M.Savimbi ,kesho siku ya jumamosi tarehe 1.6.2019 atafanyiwa mazishi rasmi ya kitaifa,baada ya kuzikwa bila kufuatwa kwa itifaki mara baada ya kuuliwa hapo tarehe...
Vikosi vya usalama vya Sudan vimewafyatulia risasi waandamanaji watatu, na kufyatua gesi ya kutoa machozi Alhamisi wakati umati wa waandamanaji lipuofurika katika mji mkuu wa Khartoum.
Hali hiyo...
Serikali itayatambua Magenge ya Kihalifu ambayo yamekuwa yakihusishwa na utekaji nyara wa Wanafunzi kama Makundi ya Kigaidi, hatua inayotazamiwa kuimarisha Hali ya Usalama
Ghasia zimekuwa...
Na Pili Mwinyi
Mwanzoni mwa mwezi Disemba 2021 serikali ya Marekani ilitangaza kususia Michezo ya Olimpki ya Majira ya Baridi ya Beijing ya mwaka 2022, kwa kile walichodai kwamba wanapinga...
Ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa la kukabiliana na dharura inasema zaidi ya watu milioni sita katika maeneo kame ya mashariki na kusini mwa Ethiopia watahitaji msaada wa kuyaokoa maisha...
Mwanzoni mwa mwaka mpya, Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi ambaye pia ni mjumbe wa taifa wa China ametembelea nchi tatu za Afrika, ambazo ni Eritrea, Kenya na Comoro.
Huu ni mwaka wa 32...
Marekani na Umoja wa Ulaya wameuonya utawala wa kijeshi nchini Sudan, kutofanya uamuzi wa upande mmoja juu ya uteuzi wa waziri mkuu mpya baada ya kiongozi wa kiraia Abdallah Hamdok kujiuzulu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.