Serikali ya Marekani imeanza rasmi kutekeleza agizo la Rais Joe Biden la kuziondowa Ethiopia, Mali na Guinea kutoka makubaliano ya kibiashara kati ya taifa hilo na Afrika kutokana na uvunjwaji wa...
Mwaka 1958, mwaka mmoja baada ya kujipata uhuru, Ghana, nchi ya kwanza ya Afrika kusini mwa Sahara iliyoondokana na utawala wa kikoloni iliitisha mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika. Kwa watu...
Hong Kong imetangaza marufuku ya wiki mbili ya Ndege kutoka Nchi 8 zikiwemo Canada, Marekani, India na Ufaransa kutokana na hofu ya Wimbi la Tano la COVID19 katika Jiji hilo
Mbali na marufuku...
Rais Ramaphosa amethibitisha kifo cha mshindi wa Nobel na miongoni mwa watu muhimu kumaliza ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini, Desmond Tutu katika umri wa miaka 90.
Tutu aligundulika kuwa na...
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona na wamejitenga kwa sasa.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais Bw. Nyusi na mke wake wameamua kujitenga...
Wanaharakati Nchini humo wametangaza maandamano mapya, wakati hali ya Siasa Nchini humo ikiendelea kudorora baada ya Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok kujiuzulu.
Waongozaji wa Kampeni dhidi ya Utawala...
Mwanamke mjamzito nchini Israel ambaye hakupata chanjo ya corona amegundulika kuwa na mchanganyo wa mafua(flu) na corona ambayo yanaitwa 'Flurona'
Mchanganyo wa magonjwa hayo umetajwa kuwa hatari...
Watu wenye umri wa kuanzia miaka 60 wameanza kupewa 'booster' ya pili ambayo inafanya iwe chanjo ya nne ya #COVID19
Misululu ya watu imeonekana katika Vituo vya Afya mjini Tel Aviv ili kupata...
Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu
Mwongozo huo wa Serikali...
The daughter of Archbishop Desmond Tutu, the South Africa Nobel peace prize winner, left the priesthood in the South African Anglican Church after wedding her female partner back in 2016.
Mpho...
Tovuti ya Citizen News imetangaza kufunga shughuli zake kuanzia Januari 04, ikitaja kuzorota kwa mazingira ya Vyombo vya Habari kama sababu.
Hatua hiyo imekuja baada ya Polisi kuvamia Kituo cha...
Brits protested the decision to knight Tony Blair, accusing the former prime minister of being a war criminal
Tony Blair, Former Prime Minister, speaks at the Milken Institute 21st Global...
Kufuatia kifo cha Askofu Mkuu (Mstaafu) Desmond Tutu. Imefahamika mwili wake utachomwa moto na majivu yake kuhifadhiwa kwenye Kanisa Kuu (Cathedral) la St. George's, Capetown.
Raha ya Daima...
Waziri Mkuu wa Sudan, Abdalla Hamdok amejiuzulu baada ya maandamano ya wanaotaka demokrasia kupamba moto nchini humo
Hamdok ambaye aliwahi kuwa Afisa wa Umoja wa Mataifa(UN) alisaini makubaliano...
Inasemekana kwamba Hayati Jovenel Moise alikuwa yuko mbioni kutaja majina ya wauzaji wa dawa za kulevya.
Kabla ya kuawa kwake mwezi was aba, Rais Moise alikuwa akikusanya orodha ya wanasiasa na...
Patients admitted to hospital with COVID-19 can die by euthanasia if doctors decide they might not survive, the New Zealand government has declared.
The Ministry of Health confirmed that a right...
Moto ambao chanzo chake bado hakijafahamika umeunguza jengo la Bunge la Afrika Kusini, ambapo taarifa za awali zinaeleza kuwa moto huo ulianzia kwenye moja ya ofisi ndani ya jengo hilo kisha...
Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed, amesema amesimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Mohammed Hussein Roble siku moja baada ya wawili hao kutuhumiana kuchelewesha Uchaguzi wa...
Takriban watu 12 wamefariki dunia na wengine wapato 13 kujeruhiwa mapema leo kufuatia mkanyagano katika jumba la kidini la Mata Vaishno Devi huko Kashmir ambalo hutembelewa na maelfu kila siku kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.