Gazeti la New York Times la Marekani hivi karibuni limetoa ripoti inayoema, katika miaka ya hivi karibuni, operesheni za kijeshi za nchi hiyo katika Mashariki ya Kati zimesababisha idadi kubwa ya...
Halmashauri kuu ya Umoja wa Ulaya leo imepitisha sheria ambazo zitafanya cheti cha covid-19 cha Umoja huo kuwa halali kwa usafiri miezi tisa baada ya kukamilika kwa ratiba ya kimsingi ya chanjo...
Huang Wei
China imefuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo.
Huang Wei, anayejulikana kwa jina maarufu la Viya, ni mmoja wa...
Mamlaka ya Udhibiti wa Majanga ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza kuzuia ndege kutoka Tanzania kutua kuanzia Desemba 25 kutokana na kuongezeka kwa visa vya Kirusi cha Omicron.
Nchi...
Wagombea kadhaa wa ubunge nchini Libya leo wametoa wito wa kufanyika maandamano ya nchi nzima kulaani hatua ya kufutwa kwa uchaguzi wa rais uliosubiriwa kwa muda mrefu na ambao ulipangwa kufanyika...
Uhuru wa kupata habari na ule wa kutoa maoni nchini Rwanda bado ni tatizo, hii ni kwa mujibu wa ripoti mpya ya Mtandao wa Mashirika ya Kupigania Haki za Binadamu nchini Rwanda.
Akielezea sheria...
Imarati yaitishia Marekani, yasema itajitoa katika makubaliano ya kununua ndege za F-35
Dec 15, 2021 07:47 UTC
[https://media]
Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) imeamua...
Rais Moon Jae-in wa Korea Kusini ametangaza kumsamehe Rais wa zamani wa nchi hiyo, Park Geun-hye aliyekuwa anatumikia kifungo cha miaka 22 jela kwa kosa la kula rushwa.
Rais Moon ambaye ni Rais...
Shirika la haki za binadamu nchini Syria, limesema machafuko nchini humo yalisababisha vifo vya watu 3,746 mwaka huu wa 2021 pekee. Idadi hiyo ni ya chini ikilinganishwa na hali ilivyokuwa mwaka...
Kamati ya bunge la Libya imesema leo kuwa haitawezekana kuandaa uchaguzi wa rais uliosubiriwa kwa muda mrefu katika siku mbili zijazo kama ilivyopangwa.
Hilo ni pigo kubwa kwa juhudi za kimataifa...
Tume ya uchaguzi nchini Libya imeagiza kuvunjwa kwa kamati za uchaguzi nchini humo na kutilia mashaka uwezekano wa kuandaliwa kwa uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika mnamo Disemba 24.
Ijumaa ya...
Share
The “Plan” is for the betrayed vaccinated to revolt and create a state of anarchy, such as seen in the Mad Max movies, left. The global government will ride in and restore order.
The...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Chanjo dhidi ya COVID19 ambazo tayari zipo bado zinapaswa kuwalinda watu wanaopata maambukizi ya Kirusi cha Omicron, na hakuna dalili aina hiyo mpya inakataa...
Nauliza tu: Baina Tanzania na Benin, nani alibuni mbinu huu, nani alikopi ???
Benin opposition leader Reckya Madougou has been sentenced to 20 years in jail for terrorism by a special court in...
Mahakama moja Nchini humo imemhukumu mmoja wa Wapinzani wakuu wa Rais Patrice Talon kwa kuhusika katika vitendo vya ugaidi
Reckya Madougou ambaye amewahi kuwa Waziri wa Sheria katika Serikali ya...
Nchini Chile, Gabriel Boric amechaguliwa kuwa Rais mteule wa Chile.
Boric, kiongozi wa zamani wa wanafunzi anakuwa Rais mwenye Umri mdogo zaidi kuchaguliwa.
Gabriel Boric mwanasheria wa mrengo...
Wizara ya Afya ya India imeripoti kuwa na jumla ya maambukizi 200 ya Omicron na maambukizi ya aina nyingine za COVID-19 yakiwa 5,326 yaliyorekodiwa saa 24 zilizopita
Aidha vifo vipya 453...
Fraudsters are directing people on Facebook to sites claiming to sell fake Covid vaccine passes for those haven't been jabbed, the BBC has found.
People in the UK are required to prove their...
There is no celebration of any kind in North Korea.
The ban comes on the eve of the 10th anniversary of the death of former North Korean leader Kim Jong Il. With the ban, North Korea will not be...
At least 375 people are now known to have died after a powerful storm struck the Philippines on Thursday, police say.
Super Typhoon Rai - with winds of about 195km/h (120mph) - sent some 400,000...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.