NETANYAHU AIONYA MAREKANI NA ISRAEL
Aliyekuwa Waziri mkuu wa zamani wa Israel Benjamin Netanyahu amezionya Marekani na Israel kuhusiana na mpango wake wa kuishambulia Iran.
Netanyahu amesema...
Kampuni inayotoa chanjo ya Johnson&Johnson imetangaza chanjo yake ya pili ama booster vaccine ambayo itatolewa kwa watu wote waliochanjwa dozi ya awali ili kuupa mwili nguvu zaidi kupambana na...
Corona inaua Wamarekani takribani 1300 kwa siku
Dec 18, 2021 13:16 UTC
Idadi ya watu wanaofariki dunia kutokana na COVID-19 nchini Marekani ni takribani watu 1,300 kwa siku.
Kwa mujibu wa...
Sergei Tikhanovsky ambaye aliongoza maandamano makubwa dhidi ya Rais Alexander Lukashenko amehukumiwa kifungo cha miaka 18 jela kwa hatia ya kuandaa machafuko na kuchochea chuki
Tikhanovsky...
Waziri Mkuu Abdalla Hamdok amesema utulivu na umoja wa Sudan uko hatarini.
Hamdok ametoa wito wa kuwepo kwa makubaliano ya kisiasa, ili kulinda nchi siku zijazo, wakati taifa hilo likiwa...
Since the start of the Tigray conflict in November 2020, warring parties in Ethiopia have used internet and telecommunication shutdowns as a weapon to control and censor information. The Tigray...
Jeshi la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), na washirika wake wa Uganda, Jumapili wamesema wamefanikiwa kuharibu ngome muhimu za waasi katika eneo la mashariki mwa DRC wiki hii katika...
Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Marekani Anthony Blinken alitembelea nchi tatu za Afrika, Kenya, Nigeria na Senegal. Katika ziara hiyo, alijaribu tena kuichafua matope China ili kuimarisha...
Trump: Mayahudi wa Marekani hawaipendi tena Israel
Dec 19, 2021 08:18 UTC
[https://media]Donald Trump
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa Mayahudi wa Marekani hawaipendi tena...
Mungu hajawai kuumba vyeo vya watu bali aliumba watu na watu wanayao bila kujali vyeo wala nafasi zao
VATICAN CITY (Reuters) - Cardinal Peter Turkson, seen by some as a candidate to become the...
Kikao cha nne cha Kamisheni ya Pamoja ya JCPOA mjini Vienna; kukubaliwa rasimu mbili za mapendekezo ya Iran kama msingi wa mazungumzo yajayo
Dec 19, 2021 10:35 UTC
[https://media]
Kikao cha nne...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepimwa na kukutwa na Covid-19 na anatibiwa kwa dalili zisizo kali.
Bw Ramaphosa alianza kujisikia vibaya siku ya Jumapili baada ya kuondoka katika ibada ya...
Expo huwa inafanyika kila baada ya miaka 5 katika mji ambao uliachaguliwa
Julia zaidi kutoka link ya Wikipedia
Hivyo baada ya miaka michache itafanyika katika jiji la Dubai, na tunapenda...
Mwanafunzi katika Chuo kikuu cha Nigeria kilichopo katika Osogbo, mji mkuu wa jimbo la Osun alichomwa moto na wanafunzi wenzake.
Msemaji wa polisi katika jimbo Osun Yemisi Opalola ameithibitishia...
Mashambulizi hayo yasababisha mlipuka mkubwa!
Syria’s military said Israeli warplanes fired missiles on the port of the coastal city of Latakia early Tuesday without inflicting any human losses...
Maafisa nchini Ghana wamesema kuwa ndege ambazo zinawasafirisha raia wa kigeni ambao hawajachanjwa ndani ya taifa hilo zitapigwa faini ya dola$3,500 (£2,600) kwa kila msafiri.
Makamouni ya ndege...
Majuzi nilisoma uzi wa ndugu yetu Mayala Pascal unaoelezea namna tulivyoingia mikataba ya hovyo kabisa ya Gas yetu ya Mtwara kwa wageni kijinga kabisa.
Nimejiuliza sana haya;
1. Nini kilitokea...
hatimaye ikulu ya marekani imetoa tamko kwa maandishi juu ya kurudishwa kwa justine bieber kwako, wamesema hawawezi kuwavumilia watumia madawa ya kulevya wanao kuja kuleta sifa mbaya juu ya...
Naona wameanza tena....Israel anataka kuishambulia iran...
Iran yatoa ramani ya jinsi itakavyo iangamiza Israel iwapo nchi hiyo ya kiyahudi watafanya kosa la kushambulia Vituo vya nyuklia vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.