International Forum

News and Stories from rest of the World
Taarifa kwa mujibu wa BBC Other documents show how Azerbeijan's ruling Aliyev family have secretly acquired UK property using offshore companies. The files show how the family - long accused of...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Serikali ya Ghana imesema kwamba wasafiri wote wanaoingia nchini humo kuanzia saa sita usiku jumapili hii, wanastahili kuwa wamepokea chanjo dhidi ya virusi vya Corona. Wizara ya huduma za afya...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Shirika la afya duniani WHO, leo limeelezea wasiwasi kwamba mataifa tajiri yanayotishiwa na kuzuka kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron huenda yakahodhi chanjo za ugonjwa wa COVID-19 na kutatiza...
0 Reactions
3 Replies
966 Views
Abiy Ahmed akisaidiwa na Eritrea wanapigana na muungano wa waasi ambao unaongozwa na TPLF. Wamarekani wamepeleka ndege nyingi za mizigo Djibouti kusaidia evacuation ya Addis. Ndege nyingi za...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Takriban watu 53 wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya lori walilokuwa wakisafirishwa kupata ajali Kusini mwa Nchi hiyo. Mamlaka zinasema zaidi ya watu 100 wanaosemekana kuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Bangladesh imewahukumu adhabu ya kifo wanafunzi 20 wa chuo kikuu kufuatia mauaji ya mwaka wa 2019 ya kijana mmoja aliyeikosoa serikali kwenye mitandao ya kijamii. Mwili uliokuwa umepigwa vibaya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Marekani haitatuma wawakilishi rasmi kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi huko Beijing. Kwa mujibu wa Ikulu ya Marekani, njia mojawapo ya kukemea ukandamizaji wa jamii ya Uyghur nchini...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kiongozi wa Myanmar aliyetolewa Madarakani na Jeshi amehukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani, ikiwa ni mwanzo wa kutolewa hukumu ambazo zinaweza kupelekea afungwe jela maisha Aung San Suu Kyi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ripoti iliyotolewa na Reporters Without Borders (RSF) inasema China ni mkamataji mkubwa wa Waaandishi wa Habari Duniani, ikielezwa takriban Wanahabari 127 wanashikiliwa hivi sasa. Imeeleza, China...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa inayohusika na amani SIPRI inasema watengenezaji wakubwa wa silaha duniani kwa kiasi kikubwa waliepuka anguko la kiuchumi lililosababishwa na janga la Covid-19...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
The effects of H. E. Samia Suluhu Hassan Royal Tour has started rapidly showing an extraordinary impacts on tourism sector and tourists attractions all over the country, The World biggest...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakimbizi kadhaa wa Rohingya waliopo Uingereza na Marekani wamefungua Mashtaka dhidi Facebook ambao wanaushutumu kuruhusu maneno ya chuki dhidi yao kusambaa Wanadai Fidia ya Dola za Marekani...
1 Reactions
6 Replies
974 Views
Mabibi na mabwana tuna cha kujifunza hapa: Fact Sheet: President Biden to Announce All Americans to be Eligible for Vaccinations by May 1, Puts the Nation on a Path to Get Closer to Normal by...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Rais Cyril Ramaphosa anasema Hospitali Nchini humo zinaandaliwa kulaza wagonjwa zaidi hospitalini, wakati Kirusi cha Omicron kikiendelea kuenea na kupelekea Wimbi la Nne Rais Ramaphosa anasema...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Habari za Mda huu, Nimeona Habari nyingi za kimataifa lakini sijawahi kukutana na taarifa za Somaliland. Somaliland ni jamhuri kamili ambayo ilikua ndani ya Somalia lakini muda Sasa imejitenga...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Serikali ya Ethiopia imetangaza kuidhibiti tena miji miwili ya kimkakati ya Dessie na Kombolcha, mwezi mmoja baada ya kushikiliwa na wapiganaji wa Tigray Hatua hiyo ni ya hivi karibuni katika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vikwazo katika Huduma ya Afya vilivyotokana na janga la COVID-19 vimepelekea vifo 69,000 zaidi vya Malaria mwaka 2020, ikilinganishwa na mwaka uliopita...
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Kwa wasafiri waendao Marekani wanatakiwa kupima covid-19 siku moja kabla ya safari na kupewa kibali. Kwa wanaosafiri kwenda Uingereza wanatakiwa kupima covid-19 siku mbili kabla ya safari na...
1 Reactions
8 Replies
756 Views
Mamlaka Nchini humo zimemtangaza Rais Adama Barrow kuwa mshindi wa Uchaguzi Mkuu, akipata takriban 53% ya Kura huku Mpinzani Ousainou Darboe akipata 28% Awali, Darboe na Wagombea wengine walisema...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika ziara yake nchini Misri, Rais Samia alipewa ofa na Wamisri waboreshe plan nzima ya mji wetu mkuu Dodoma, iwe na ubora wa plan ya mji mkuuu mpya wa Misri. Kwa watu waliotembelea Misri hivi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom