Bunge la uganda limeanza kuhoji kwanini Museveni kapeleka wana Jeshi wa Uganda UPDF Congo kwa kisingizio cha kutafuta wa asi wa ADF bila ruhsa ya Bunge. Wabunge wengi wana hofia huenda Jeshi la...
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump, ameiomba Mahakama ya rufaa kuwazuwia wabunge wanaofanya uchunguzi wa ushiriki wake kwenye ghasia za Januari 6 dhidi ya jengo la bunge, Capitol, kupata...
Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda South Africa, Zambia na Zimbabwe na kurejesha masharti ya karantini ya siku 7 kwa wote wanaotoka kwenye Nchi hizi baada ya kirusi kipya...
Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya...
Rais wa China Xi Jinping ameahidi kutuma barani Afrika dozi bilioni moja za chanjo ya Covid-19 ili kusaidia kuziba "pengo la chanjo". Rais alitoa ahadi hiyo wakati wa mkutano wa kilele wa China na...
30/11/2021
Hatua hii ya Rwanda kuweka marufuku ya usafiri dhidi ya Afrika Kusini kwa kisingizio cha aina mpya ya kirusi cha Uviko-19 kinachojulikana kama "Omicron" ambacho kimegunduliwa nchini...
Karibu Nchi zote za Africa, kasoro zile zinazopatikana kaskazini mwa Africa (Northern African countries) zimepigwa ban na taifa la Israel ijumaa ya tarehe 26 Novemba 2021 kutokana na hatari ya...
Wizara ya mambo ya nje ya Morocco imesema kwamba kuanzia Jumatatu itasitisha safari za ndege kuingia nchini humo kwa muda wa wiki mbili.
Hatua hiyo ni kutokana na aina mpya ya virusi vya corona...
Serikali ya Australia imepanga kutunga sheria itakayolazimu mitandao ya kijamii kuonesha utambulisho wa watumiaji wasiotumia majina halisi watakaochapisha maudhui yenye kuudhi, au kulazimu...
Serikali ya kijeshi ya Chad imetoa msamaha kwa karibu waasi 300 pamoja na wapinzani, ikiwa hatua kubwa kuelekea shinikizo kutoka kwa makundi ya upinzani yaliyoalikwa kuhudhuria kikao cha pamoja...
Wizara ya afya ya Rwanda imetangaza kuwa itaanza kutoa dozi ya tatu kwa wazee na wale ambao wana maradhinyemelezi kuanzia leo Jumanne.
Wizara hiyo inasema utekelezaji huo utafanywa kwa awamu na...
Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Bilionea mmoja nchini Japan anatafuta watu 8 kutoka kote duniani watakaomsindikiza kwenda mwezini mwaka 2023 katika safari ya kibinafsi.
Bilionea huyo...
Mamlaka nchini Afrika Kusini zimeripoti kuwepo kwa aina mpya ya Virusi vya Corona, B.1.1.529, ambavyo ni tofauti na aina zingine za virusi vinavyofahamika.
Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Mlipuko...
Wakati vita ya mwaka mzima kati ya Serikali ya Ethiopia na Vikosi vya TPLF ikikaribia Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa, Waziri Mkuu Abiy Ahmed amesema ataongoza Vikosi vya Usalama.
TPLF imeunda...
Wakati idadi ya nchi zinazotangaza marufuku ya safari za ndege kwa mataifa ya Kusini mwa Afrika ikiongezeka kutokana na hofu ya aina mpya ya virusi vya COVID-19 vya Omicron, shirika la afya la...
Tume ya Uchaguzi Nchini Libya imekataa maombi ya Urais ya Wagombea 25 akiwemo Mtoto wa aliyekuwa Kiongozi wa Taifa hilo, Muammar Gaddafi wakidai ni kutokana na sababu za kisheria
Tume hiyo...
Baada ya kusambaa kwa video inayomuonesha mchuuzi wa Senene aliyekuwa akiuza bidhaa zake ndani ya Ndege ya Shirika la Ndege la Uganda, Shirika hilo limesema linafikiria kuongeza Senene (Nsenene)...
Hadi pale kirusi cha Corona kitakapo tokomezwa inafahamika kuwa zitakuja variants hatari zaidi za kirusi hiki.
"Dhana kamili ya kuwa hakuna aliye salama hadi sote tuwe salama."
"Omicron" ndiyo...
Kwa wale wajuzi em share unachofahamu kuhusu magereza ya nchini Ecuador, maana kila mara ni mapigano na vifo. Na hii sio mara ya kwanza kutokea machafuko ndani ya magereza yao.
How comes a well...
Kirusi cha COVID19 aina ya Omicron kilichogundulika Afrika Kusini ambacho awali kilitambulika kama B.1.1.529 kimeonekana hatari zaidi ya virusi vilivyotangulia
Ili kupambana na kirusi hicho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.