Pentagon officials 'baffled by Chinese hypersonic missile technology' (msn.com)
A hypersonic weapon test carried out by China in July featured a missile fired at five times the speed of sound -...
Mawaziri 12 wamewasilisha barua za kujiuzulu kwa Waziri Mkuu Abdalla Hamdok aliyerejeshewa Madaraka siku kadhaa zilizopita. Wamefanya hivyo kupinga Makubaliano ya Kisiasa kati ya Waziri Mkuu na...
Ndege ya kwanza ya moja kwa moja kutoka Saudia kutua Israel
Kwa mara ya kwanza, ndege ya moja kwa moja kutoka Saudi Arabia inatazamiwa kutua usiku huu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa...
Maafisa wa afya nchini Afrika kusini wamesema serikali imeomba makampuni ya Johnson and Johnson na Pfizer kuchelewesha utoaji wa chanjo za Covid 19 kwa sababu kwa sasa inazo nyingi kwenye maghala...
UTANGULIZI
Upo mpango muovu wa the NWO wa kukamata mfumo mzima wa upatikanaji wa chakula na maji duniani.Nia ni kuleta njaa,vita vya kugombania maji na kuingiza kwenye mfumo wa upatikanaji...
Uholanzi imeanza hii leo kuwapeleka wagonjwa wa Covid 19 nchini Ujerumani kutibiwa ili kupunguza shinikizo kubwa linalozizonga hospitali za nchi hiyo zilizoko katika hali mbaya ya kukabiliana na...
Raisi: Kuna udharura kwa jamii ya mwanadamu hii leo kumtilia maanani Mwenyezi Mungu na umaanawi
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kutoa mazingatio kwa Mola Muumba na suala la...
Maelfu ya watu wameandamana katika Mji Mkuu wa Sudan, Khartoum pamoja na Miji mingine. Vikosi vya Usalama vimetumia mabomu ya machozi dhidi ya Waandamanaji katika Mji wa Omdurman.
Wananchi...
Kampuni ya Telecom ya China ni moja ya kampuni tatu kuu ya TEHEMA nchini China. Katika miaka ya hivi karibuni kampuni hiyo pia imeanzisha shughuli katika nchi mbalimbali barani Afrika, na kutoa...
BREAKING: Martyr Malcolm X's daughter, Malikah Shabazz, was found dead in her Brooklyn home.
Cause of death is unknown
May God bless her soul[emoji257]
===
MIDWOOD, Brooklyn (WABC) -- Malikah...
Afrika Magharibi na kati zimerekodi idadi kubwa ya watoto wanaoandikishwa katika mizozo ikilinganishwa na nchi nyingine zozote duniani na idadi inaongezeka, shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa...
Baada ya PM Abiy Ahmed kutangaza kwenda msitari wa mbele wa mapigano vitani. Kumekuwepo na wimbi kubwa la watu maarufu kutangaza kwenda vitani pia.
Vita ni propaganda hapa tayari Watgray...
Sheria ya kuitambua bangi kwa matumizi ya dawa na viwandani imepitishwa rasmi nchini Malawi
Sheria ilitungwa 2020 Augusti ambapo kwa sasa imepitishwa na inatambulika kama Kanuni za Bangi 2022
Chemba ndogo ya bunge au "Lower House" ya Ujerumani imepitisha kwa pamoja uamuzi wa kumfanya bwana Olaf Scholz kuwa Kansela mpya wa Ujerumani.
Vyama vya SPD cha Scholz, Green na FDP kwa pamoja...
Serikali Nchini Burkina Faso imeongeza muda wa kusitishwa Huduma za Intaneti, ikielezwa hatua hiyo inatokana na sababu za Usalama na Ulinzi wa Taifa.
Huduma za Intaneti zilikatwa kutokana na...
MAKALA IFUATAYO INAELEZEA TUKIO HILO KATIKA NCHI KAMILI. UKISOMA MARA NYINGI, NDIO MAHALI PA KUSOMA TENA. NI UJUMBE WA THAMANI SANA WENYE MATOKEO YA THAMANI SANA.
TAFADHALI SHARE NA WAPENDWA...
Meet Ange Kagame the giant Daughter of Africa's Tallest President Paul Kagame of Rwanda
Ange Kagame was born in Brussels, Belgium on the 8th of September, 1993 as the second child and only...
Kampuni ya Apple imeifungulia mashtaka kampuni ya nchini Israel ya NSO iliyotengeneza programu ya Pegasus kwa madai ya kuathiri watumiaji wa vifaa na huduma zake.
Mashtaka ya Apple dhidi ya NSO...
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble ametangaza Hali ya Dharura kutokana na Ukame mbaya, akiwataka Wananchi na Jumuiya ya Kimataifa kusaidia wahanga.
Ukame mbaya umeripotiwa sehemu...
Mataifa kadhaa yametoa wito kwa Raia wake kuondoka Nchini Ethiopia kutokana na mvutano kati ya Vikosi vya Serikali na vile vya Tigray kuonekana unashika kasi.
Ufaransa imewataka Raia wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.