International Forum

News and Stories from rest of the World
Umoja wa Mataifa umetoa rai kwa China kumwachia huru Zhang Zhan (38) ambaye alihukumiwa kifungo baada ya kuhoji namna Mamlaka zinavyoshughulikia mlipuko wa COVID19. Zhang alisafiri kwenda Wuhan...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Marais wa dola mbili nguli wa siasa, uchumi na biashara, ulinzi na usalama; wenye nguvu za turufu duniani wamekutana kujadili mustakabali wa diplomasia baina yao zikiwemo agenda za mnyororo wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mamlaka zimerejesha Huduma ya Intaneti takriban Mwezi mmoja tangu isitishwe baada ya Jeshi kuondoa Madarakani Serikali ya Mpito iliyokuwa inaongozwa na Raia. Mahakama iliamuru Kampuni tatu kuu za...
0 Reactions
0 Replies
662 Views
Mahakama ya Juu ya India imeelekeza Mamlaka kufunga Ofisi katika Mji Mkuu wa New Delhi, na Miji ya karibu. Hatua hiyo itaruhusu Mamilioni ya watu kufanya kazi nyumbani wakati Maafisa wakitafuta...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mahakama ya Sudan imeamuru kurejeshwa mara moja kwa huduma za mtandao wa intaneti zilizokatwa wakati wa mapinduzi ya kijeshi zaidi ya wiki mbili zilizopita. Kwa mujibu wa wakili Abdelazim Hassan...
0 Reactions
4 Replies
877 Views
Mazungumzo ya Marais wa Iran na Russia, sisitizo la kustawisha zaidi uhusiano na ushirikiano wa nchi mbili Rais Vladimir Putin wa Russia amefanya mazungumzo ya simu na Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ujerumani hii leo imetangaza idadi ya juu kabisa ya maambukizi ya virusi vya corona wakati ikipambana na wimbi la nne la maambukizi lililoibuka tangu mwishoni mwa mwezi Oktoba. Taasisi ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Vitaly Shishov ambaye ni Kiongozi wa Kundi linalosaidia watu waliokimbia Belarus amekutwa akiwa amefariki dunia karibu na nyumbani kwake Nchini Ukraine, ikiwa ni siku moja baada ya kuripotiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Usiku wa siku kama ya leo miaka mitano iliyopita ndio ulikuwa wa mwisho hapa duniani kwa mtu aliyekuwa anatafutwa zaidi Osama bin Laden. Aliyefanikisha mpango huu kwa sehemu kubwa kwenye kufichua...
8 Reactions
76 Replies
15K Views
Laini za Simu zimedaiwa kufungwa kabla ya Maandamano yaliyopangwa kufanyika katika Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Khartoum kupinga Utawala wa Kijeshi. Huduma za Intaneti zimeendelea kuminywa tangu Oktoba...
0 Reactions
3 Replies
968 Views
Vikosi vya usalama nchini Sudan wamewauwa waandamanaji 15 na kuwajeruhi wengine kadhaa baada ya kutumia risasi za moto kuyakabili makundi ya watu waliokusanyika kupinga hatua ya jeshi kunyakua...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Wale wanazi wa F35, njooni hapa ==== Ndege ya kivita ya Uingereza F-35 imeanguka baharini wakati wa operesheni ya kawaida katika bahari ya Mediterania, Wizara ya Ulinzi imesema. Rubani...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ethiopia kuna vitu vya kujitafakari ila imechelewa kwa sababu fundisho ilolipata sasa ndio saratani ambayo nchi za afrika na sehemu nyingi kuanza kujitokeza. sijui kuna uzi gani ! kama * "...
8 Reactions
226 Replies
19K Views
Na Pili Mwinyi Novemba 16, rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Marekani Joe Biden walifanya mkutano na kuzungumza kwa njia ya video. Huu ukiwa ni mkutano rasmi wa kwanza tangu Biden aingie...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
A toxic haze has blanketed the streets of Delhi since the festival of Diwali Authorities in the Indian capital, Delhi, have shut all schools and colleges indefinitely amid the worsening levels of...
0 Reactions
1 Replies
512 Views
Umoja wa Mataifa (UN) umesema takriban watu 1,000 (wengi kutoka Tigray) wanashikiliwa katika Miji mbalimbali Nchini humo tangu Hali ya Dharura ilipotangazwa Novemba 02, 2021 Maelfu wamefariki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
LONDON — Drugmaker Pfizer Inc. has signed a deal with a U.N.-backed group to allow other manufacturers to make its experimental Covid-19 pill, a move that could make the treatment available to...
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Mahakama ya juu zaidi nchini DRC imeamua Jumatatu (Novemba 15) kwamba haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa waziri mkuu Seneta Augustin Matata Ponyo. Seneta mteule wa bunge la sasa, Augustin Matata...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Huyu bwana mdogo ni mtoto wa Garang,Juzi kati amefukuzwa kwenye kikao cha baraza la mawaziri la Sudan Kusini baada ya kuingia akiwa amevaa swag zisizo na hadhi ya Uwaziri.Rais akamtimua toka...
7 Reactions
279 Replies
97K Views
Bibi Justin ni mkazi wa kijiji cha Bwelanga, wilaya ya Wakiso, nchini Uganda. Siku hizi anafurahi sana, kwani kutokana na mradi wa msaada wa “Wancuntong” uliotolewa na China, kampuni ya China...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom