Makundi 9 yanayopiga vita serikali ya Ethiopia, yametangaza kuunda muungano hii leo ili kulazimisha mabadiliko ya kisiasa nchini humo.
Hatua hiyo inaongeza shinkizo dhidi ya Waziri mkuu Abiy...
Mtoto wa kiume wa kiongozi wa zamani wa Libya Muammar Gaddafi ametangaza rasmi nia yake ya kuwania urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika mwezi Desemba wenye lengo la kumaliza miaka kadhaa ya...
Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema watoto katika bara la Afrika wanatelekezwa linapokuja suala la matibabu yanayohusiana na virusi vya ukimwi VVU.
Ripoti moja ya Umoja wa Mataifa inasema...
Idadi ya waliouawa tangu jeshi kuchukuwa tena madaraka nchini Sudan imefikia watu 23 kufuatia wengine wanane kupoteza maisha ndani ya siku tatu zilizopita, huku raia wakiendelea kuandamana...
Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo
Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia...
JOHN FRANCIS RAIA WA MAREKANI ALIYETEMBEA KWA MIGUU MIAKA 22 AKIIZUNGUKA MAREKANI KUHAMASISHA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Umewahi fikiri kuwa unaweza kukaa kwa siku au miaka mingapi bila kuzungumza...
Bwana Sani Dangote mdogo wa tajiri nambari moja Africa ameaga Dunia huko Marekani.
===
Sani Dangote, the vice president of theDangote Group and brother to Aliko Dangote, is dead.
Mr Dangote...
Wakuu salaam! Mara ya mwisho mwaka jana huyu mtoto wa pili wa marehemu Col. Muamar Gadaffi nilisikia amefutiwa hukumu yake ya kifo kule Libya, baadaye ikasemekana alitolewa gerezani lakini bado...
Mzuka wanajamvi!
Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia.
Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu...
Serikali ya Austria imeweka 'Lockdown' ya Nchi nzima kwa watu wasiopata chanjo dhidi ya CoronaVirus. Hatua hiyo inalenga kupunguza kasi ya maambukizi katika Taifa hilo.
Mamlaka zimekuwa na...
Watu watano wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa wakati wa maandamano ya kudai utawala wa kidemokrasia nchini Sudan hapo jana Jumamosi. Haya ni kwa mujibu wa kamati kuu ya madaktari nchini Sudan...
Kiongozi wa waasi anayepambana na wapiganaji wa serikali, amesema vikosi vyake vipo karibu na mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, na vinatayarisha mashambulizi mengine, akitabiri kwamba mapigano...
Maelfu waandamana mji mkuu wa Ethiopia “Addis Ababa “ kupinga propaganda dhidi ya nchi yao, wakivitaka vyombo hivyo kuacha kuitangaza vibaya nchi hiyo. Huku wengi wakiahidi kuwa wapo teyari...
Jenerali mwandamizi aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi hivi karibuni nchini Sudan Abdel-Fattah Burhan amejiteua tena kuongoza baraza tawala la mpito ikiwa ni hatua inayoashiria nia yake ya...
Malawi's President Mutharika treated for cardiac arrest
Malawi's President Bingu wa Mutharika has been admitted to hospital after suffering a cardiac arrest.
Mr Mutharika, 78, is...
Julian Assange amepatiwa ruhusa kumuoa mpenzi wake Stella Moris katika jela ya Belmarsh, BBC imeambiwa.
Mwanzilishi huyo wa mtandao wa Wikileaks na bi Moris wana watoto wawili wa kiume , ambao...
Inakuwaje wanaJF!
Ni miezi michache mwaka huu tu ilikuja kugundulika kumbe Bill Gates alilazimishwa kujiuzulu kwenye board ya Microsoft na kujikita zaidi katika faundesheni yake na aliyekuwa mke...
Wimbi la 4 la corona laitikisa Ujerumani watengenezaji wa chanjo Pfizer
11.11.2021
Ujerumani imeripoti kiwango cha juu kabisa cha maambukizi ya virusi vya corona kwa siku moja, baada ya zaidi ya...
FW de Klerk, rais wa zamani wa Afrika Kusini na mzungu wa mwisho kuiongoza nchi hiyo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.
Bw de Klerk, ambaye pia alikuwa mhusika mkuu katika kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.