Bilionea Elon Musk amewataka wanaoshughulika na Mradi wa Chakula Duniani (WFP) kuonesha namna dola Bilioni 6 itakavyoondoa tatizo la njaa duniani.
Mkurugenzi wa WFP, David Beasley aliomba fedha...
Pichani Ni Raisi wa Ufaransa Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady), Brigitte Macron.
Hawa wawili wanapishana kwa miaka 25. Mama amezaliwa 1953.
Macron ndiye mdogo kabisa nyumbani...
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi amewafuta kazi mawaziri wa ulinzi na mambo ya ndani, akihoji uwezo wao wa utendaji kazi wakati nchi hiyo ikipambana na uasi wa wanamgambo wa kiislamu kwa miaka minne...
Vyombo vya habari vya Palestina vimeripoti kuwa, Mahakama ya Kijeshi ya Ukanda wa Gaza imewahukumu kifo majajusi sita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
Mahakama ya Kijeshi ya Ukanda wa Gaza...
Afisa wa afya katika Jimbo la Kwilu, takriban kilomita 680, mashariki mwa Mji Mkuu wa DRC, Kinshasa alimeviambia vyombo vya habari kuwa karibu watoto 7,000 waliambukizwa na kwa sasa wanatibiwa...
CONGO REFUGEES IN UGANDA...
Just like we predict the start of the rainy season, the WAR season has started in the eastern part of DRC. Fighting has erupted in Eastern Congo leading to a heavy...
Tanzania we have PEACE. That is our brand!
Nchi nyingi za Africa zinafanana. Nahisi ndio maana hata nje ya Africa wengine hudhani Bara lote ni nchi moja tu.
Kwanini zinafanana? Ukiondoa zile...
Ikiwa imepita miezi 18 sasa tangu serikali ya muda ya Sudan iafiki kumkabidhi mtawala wa zamani wa nchi hiyo, Omar Hassan al Bashir, kwa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Waziri wa Masuala ya...
Zion Clark is a wrestler and athlete who dreams of becoming a multi-time Olympic champion.
He was born without legs as a result of a rare genetic disorder called Caudal Regression Syndrome...
Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera amewaomba Wananchi kuwajibika linapokuja suala la Maendeleo ya Taifa, badala ya kupeleka madai hayo kwa Wanasiasa
Amesema anapokea mamia ya SMS kwenye simu yake...
Watoto wapatao 25 wenye umri kati ya miaka mitano na sita wamefariki baada ya darasa lao kuungua moto
Wengine kadhaa walijeruiwa wakati wa ajali hiyo ya moto ambayo ilitokea Jumatatu asubuhi...
Mkutano wa 26 wa Nchi Zilizosaini Makubaliano ya Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP26) ulifanyika mjini Glasgow, Uingereza, na ulijadili masuala ya hali ya hewa yanayofuatiliwa...
Na Fadhili Mpunji
Mwaka huu China inaadhimisha miaka 20 tangu ijiunge na Shirika la Biashara Duniani WTO. Tangu mwaka Novemba 2001 China ilipojiunga na Shirika hilo mjini Doha, uchumi wa China...
Na Tom Wanjala
Tofu inayotengenezwa kutokana na maharagwe ya soya inapendwa sana na wachina, ni chakula kinachopatikana kwa rahisi na chenye faida nyingi za kiafya mwilini, na upendo huo wa...
Makundi ya kutetea demokrasia ya Sudan yameanzisha mgomo na kutofuata sheria Jumapili ikiwa ni hatua ya kupinga mapinduzi ya kijeshi ya mwezi uliopita.
Washiriki walionekana wachache kwa sababu...
Data mpya zilizotolewa Nchini Marekani zinasema Watu wanaokwenda hospitali kupata huduma za kawaida (sio za CoronaVirus) wanakuwa kwenye hatari ya kupata Maambukizi ya Virusi hivyo
Data hizo...
Hizi habari niliziona mtandaoni nikahisi labda si kweli ila imethibitisha kimataifa, hii ni aibu mno kwa marekani hawa jamaa ni majambazi hivi kumbe
Kikosi cha IRGC cha Iran chazima uharamia wa...
Boris Johnson ajiunga na Biden, watwanga usingizi katikati ya mkutano wa tabianchi, Glasgow
Nov 03, 2021 10:48 UTC
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amejiunga na Rais wa Marekani Joe Biden...
Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari za nchi za magharibi vimejaribu kuibeza China kwa kusema sasa itabaki peke yake kwenye iliyokuwa ngome ya nchi zinazotekeleza sera ya maambukizi sifuri ya...
Magavana wa chama cha Republican wanatarajiwa kuishitaki serikali kuu ya Marekani hii leo kukomesha utawala wa rais Joe Biden kutekeleza amri ya kutaka wafanyakazi wa serikali kupata chanjo dhidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.