=======
By James McClain | Variety
The landlocked African country of Rwanda is poor. Nearly 40% of the population still lives below the poverty line, though the mostly rural nation is now in an...
Nichukue nafasi hii kwaniaba ya watanzania wezangu wanaojitambua na wanaojua thamani ya mtu mweusi(mwafrika) kuwapongeza ndugu zetu wa Ethiopia kwa kujitambua kwao hakika tungekuwa na nchi Kama...
Idadi ya kila siku ya maambukizo mapya ya virusi vya corona nchini Ujerumani imefika kileleni. Taasisi ya kudhibiti magonjwa ya kuambukiza, Robert Koch, imerikodi maambukizi mapya 33,949 ndani ya...
Jeshi la Nchi hiyo limewataka Wanajeshi wa zamani kujiunga nao wakati linapambana na Waasi. Wito huo unakuja baada ya Vikosi vinavyoongozwa na TPLF kuendeleza nia ya kwenda Mji Mkuu, Addis Ababa...
I trust If moïse katumbi become a leader of my country DRC, Kongo will become one of the Best developed countries in africa and our economie will grow up saana. Ndani ya uyu jamaa Kuna power...
Costa Rica yaiorodhosha Corona kama ugonjwa ambao chanjo zake zinatolewa kwa watoto kwa mujibu wa sheria ambapo wazazi wanaweza kuadhibiwa kwa kutotii amri hiyo
Utoaji wa chanjo kwa watoto...
Jeshi la Yemen ladhibiti ngome ya mwisho ya wavamizi Wasaudi huko Ma'rib
Nov 06, 2021 05:04 UTC
[https://media]
Jeshi la Yemen limeendelea kusonga mbele katika mkoa wa Ma'rib na kuchukua...
Zaidi ya Viongozi 100 wa Dunia waahidi kukomesha ukataji miti ifikapo mwaka 2030, ikiwa ni makubaliano makubwa ya kwanza kwenye Mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa kuhusu athari za Mabadiliko ya...
Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa...
Heshima sana wanajamvi,
Katika nchi ya Guyana Mwanasiasa machachari apata kipigo cha Paka Mwizi.
Nasisitiza kipigo hiki kimetokea katika magareza ya Nchi ya Guyana 🇬🇾 na bendera nimeweka kabisa...
- Binadamu hua tunaitwa SELF DESTRUCTIVE specie, maana yake ni viumbe wenye uwezo wa kujimaliza wenyewe ukilinganisha na viumbe wengine wote basi binadam tuna sifa hizo, kila nkiwaza vita ya...
Watu kadhaa wamejeruhiwa na wengine wapatao 99 kupoteza maisha kufuatia mlipuko mkubwa katika Mji Mkuu wa Sierra Leone, Freetown baada ya lori la mafuta kugongana na lori lingine
Ripoti za awali...
Mkuu wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, amekubali kuharakisha mchakato wa kurejesha Serikali ya Mpito kufuatia mazungumzo na Marekani na Umoja wa Mataifa (UN)
Mjumbe Maalum wa UN, Volker...
Maonyesho ya Nne ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa China (CIIE) yamefunguliwa mjini Shanghai, tayari kwa mikusanyiko ya wanaviwanda, wafanyabiashara na wajasiriamali zaidi ya elfu tatu kutoka nchi...
Ulaya imetajwa kuwa kitovu cha mlipuko wa Virusi vya Corona kwa mara nyingine, huku Shirika la Afya Duniani (WHO) likionya kuwa Bara hilo ambalo linashuhudia ongezeko kubwa la maambukizi linaweza...
Ijumaa hii Shangahi inafungua milango yake tena kwa Maonyesho ya Kimataifa ya Uagizaji ya China, ( CIIE).
Ikiwa sasa ni mwaka wake wa nne, maenesho hayo yamekuwa jukwaa muhimu la kwa bidhaa za...
Taifa hilo limetangaza maombolezo ya siku mbili kuanzia leo Novemba 05, 2021 baada ya takriban watu 69 kuuawa kwenye shambulio lililotokea karibu na Mpaka wake na Mali
Serikali imesema miongoni...
Marekani hawajawahi kupata rais mpuuzi, mpumbavu na kichaa kama Donald Trump
Huyu Bwana akili zake hazikua nzima, ni Rais aliyeitia dunia hasara, na aliyewatia Marekani hasara
Jamaa alianzisha...
Ikiwa kama hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, mataifa mengi yanayotumia makaa ya mawe Alhamisi yameahidi kupunguza matumizi yake ingawa kwa kasi ndogo, ili kupunguza uchafuzi wa...
Simon Mulungo anayeiwakilisha Tume ya Umoja Afrika nchini #Somalia amepewa siku saba awe ameondoka nchini humo
Simon amelaumiwa kujihusisha na vitendo ambavyo haviendani na Mipango ya Kiusalama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.