International Forum

News and Stories from rest of the World
Jeshi la Anga la Marekani limetangaza kuwa, huenda maafisa 12,000 wa jeshi hilo wakafutwa kazi baada ya kukataa chanjo ya COVID-19. Kwa mujibu wa msemaji wa Pentagon John Kirby, amri ya...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwakilishi wa Wazayuni achana ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za Israel Oct 30, 2021 12:31 UTC [https://media] Mwakilishi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika Baraza Kuu la...
2 Reactions
7 Replies
947 Views
Kumbe IRAN walivyosema wapo kwenye mchakato wa kutengeneza hypersonic missile hawatanii ni muda si mrefu wanaenda kutest Pia tayari kitambo tu RamJet Engine tena ni vijana wadogo tu huko Iran...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Hatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Mabeberu wanalenga kuvuruga usalama duniani 22:06 - October 29, 2021 TEHRAN (IQNA)- Hatibu wa Sala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, harakati...
0 Reactions
4 Replies
767 Views
Mkuu wa Kamati ya Nishati ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) upo chini ya mashinikizo makubwa ya Marekani na utawala wa Kizayuni wa...
0 Reactions
1 Replies
632 Views
Ijumaa Rais Joe Biden wa Marekani alikutana na kuzungumza na mwenzake wa Ufaransa Rais Emmanuel Macron kuhusu mkataba wa mauzo ya nyambizi kati ya Washington na Canberra, ambao umeikasirisha sana...
0 Reactions
1 Replies
574 Views
Ripoti iliyotolewa na Shirika la Hali ya Hewa Duniani (WMO) imesema Matukio kama joto kali na mafuriko makubwa sasa ni hali ya kawaida. Utafiti umebaini miaka saba iliyopita ukiwemo wa 2021 ina...
1 Reactions
0 Replies
822 Views
Taifa hilo limesema Ripoti ya hivi karibuni ya Marekani inayosema huenda janga la COVID-19 lilianzia maabara sio ya kisayansi na inakosa uaminifu. China imekuwa ikikataa madai kuwa Virusi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kundi la Taliban limeitaka Marekani na Mataifa mengine kutambua Serikali yao, likisema kushindwa kufanya hivyo na kuendelea kusitisha Misaada kutaleta matatizo sio tu kwa Afghanistan, bali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jaribu kuangalia hii makala iliyoandaliwa na chombo cha habari cha WION . Tatizo langu halipo kwenye news outlet hii but nashangaa pale serikali inapoamua kuchukua hatua kudhihiti machafuko...
0 Reactions
5 Replies
853 Views
Biden apewa ushauri hatari wa kupeleka mabomu ya atomiki Taiwan ili kukabiliana na China Oct 19, 2021 07:44 UTC [https://media] Taasisi moja ya wanafikra wenye misimamo ya kufurutu mpaka nchini...
3 Reactions
70 Replies
6K Views
Israel ilikua inataka kuishambulia Iran kupitia Azerbaijan ambayo ni nchi jirani ni Iran Tayari inasekemana ndege za Israel za F-35 zipo ndani ya Azerbaijani tayar kuishambulia Iran Wakati huo...
6 Reactions
40 Replies
4K Views
Waziri wa biashara wa Marekani Gina Raimondo ameviambia vyombo vya habari vya nchi hiyo kuwa nchi hiyo inapaswa kushirikiana na washirika wake wa Ulaya ili kuzuia China kupata teknolojia ya hali...
9 Reactions
44 Replies
5K Views
Wanaopinga Jeshi kuchukua Madaraka wameitisha maandamano ya Nchini nzima wakitaka kurejeshwa kwa Serikali inayoongozwa na Raia ili kurejesha Taifa hilo katika Demokrasia. Maelfu ya wananchi...
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Kesho Afrika kusini itafanya uchaguzi wa serikali za mitaa(LGE). Ushindani mkubwa ni kati ya ANC, DA na EFF . Licha ya kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali Kama madini nchi hii ya bondeni mwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kuwa Kundi la mataifa 20 yaliostawi na yanayoinukia kiuchumi G20 yana uwezo wa kuzuia janga la virusi vya corona kuenea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa Alhamisi ameiomba Marekani kuondoa vikwazo dhidi ya Zimbabwe akisema kwamba vimeongeza janga la kibinadamu pamoja na kudorora kwa uchumi, wakati akipendekeza...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Mwanaharakati Rémy Daillet ashtakiwa kwa kupanga njama ya mapinduzi dhidi ya serikali ya Ufaransa Mwanaharakati maarufu wa mrengo wenye siasa kali wa kulia nchini Ufaransa ameshtakiwa kwa tuhuma...
0 Reactions
0 Replies
499 Views
Duniani kuna aina za nchi kulingana na mfumo, nguvu zake kiuchumi, kijeshi na kisiasa: 1. Super powers Hizi ni nchi zinazoitawala dunia. Ndiyo zinashikilia mfumo unaoendesha dunia (ideology)...
10 Reactions
60 Replies
6K Views
Mamlaka nchini Belarus imefungia tovuti ya shirika hili la utangazaji Deutsche Welle, DW, linalomilikiwa na serikali ya Ujerumani. Haya yametangazwa leo na shirika hili katika makao yake makuu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom