International Forum

News and Stories from rest of the World
Kwa mujibu wa Kituo cha Al-Hadath TV, Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdallah Hamdok amewekwa katika kifungo cha nyumbani huku Viongozi kadhaa wa Utawala wa Kiraia wakikamatwa Hali Nchini humo imekuwa...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Marekani jana imesitisha msaada wa dola milioni 700 kwa Sudan, baada ya jeshi kuchukuwa madaraka, huku ikitaka utawala wa kiraia urejee. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani, Ned Price...
0 Reactions
3 Replies
827 Views
*Tony Blair aogopa kuharibu maslahi yake ya kibiashara huko Liberia *Aruka kimanga *Suala la ushoga sina taim nalo, asema *Mashoga wamkasirikia mtandaoni na kumtuhumu kuwa ni ndumilakuwili. Blair...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Until recently, Tony Blair had never visited Malawi. Last summer there was a lot of international press coverage on the discovery of oil under Lake Malawi. Since then he’s developed an interest in...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Huyu jamaa wamemtunuku kwa kupigania haki za gays wakati wa utawala wake!! Mungu tuepushe na balaa hili!! Source: BBC World News
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu saba wameripotiwa kuuawa na wengine 140 kujeruhiwa katika mvutano baina ya Wanajeshi na Waaandamanaji. Watu walikusanyika Mitaani baada ya kuvunjwa kwa Utawala wa Kiraia na kutangazwa Hali ya...
0 Reactions
2 Replies
789 Views
Dalali wa silaha za magaidi nchini Syria afilisika, Canada yampa kinga ya ukimbizi Mmoja wa madalali aliyekuwa akiyauzia silaha magenge ya kigaidi nchini Syria likiwemo la Daesh (ISIS)...
2 Reactions
2 Replies
915 Views
Shirika la Kimataifa la Amnesty limesema litafunga Ofisi zake zilizopo Hong Kong Nchini China kutokana na Sheria mpya ya Usalama wa Taifa. Amnesty ambayo imefanya kazi Jijini humo kwa zaidi ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mfanyabiashara wa mashuhuri wa dawa za kulevya aliyekuwa akisakwa huko nchini Colombia na kiongozi wa genge kubwa la uhalifu nchini humo amekamatwa. Dairo Antonio Úsuga, anayejulikana kama...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Serikali ya Mpito Nchini Mali imetoa saa 72 kwa Mwakilishi wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) kuondoka Nchini humo kufuatia vitendo visivyoendana na hadhi yake. ECOWAS...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Turkey declares US, French ambassadors ‘persona non grata’ (msn.com)...
6 Reactions
8 Replies
947 Views
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) limeonya kuwa Mamilioni ya Raia Nchini Afghanistan watakabiliwa na baa la njaa msimu wa baridi ikiwa hatua za haraka hazitachukuliwa. Imeelezwa...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Vikiibuka Vita kati ya Iran dhidi mwingereza pamoja na mfarasa wakiungana bado Iran atawatwanga mchana kweupe Chukua Ufaransa na mwingereza dhidi ya Iran. Hao mabeberu watachapwa mpaka washangae...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
HAMAS yapongeza jitihada za kupokonywa Israel uanachama wa AU Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imepongeza na kuunga mkono jitihada zinazoendelea za kuupokonya utawala wa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Shirika la Afya Ulimwenguni - WHO limetoa wito kwa nchi tajiri kuachana na usambazaji wa chanjo za virusi vya corona kwa faida ya nchi maskini. Akizungumza katika Mkutano wa Kilele wa Afya...
0 Reactions
1 Replies
885 Views
KHARTOUM– Military forces arrested several members of Sudan’s civilian leadership early on Monday, Al Hadath TV reported, as a prominent pro-democracy group called on Sudanese to take to the...
0 Reactions
6 Replies
797 Views
IS (Islamic State) inatoa upenyo sawia kwa majeshi ya NATO na Marekani kuwepo na kuendelea kuafanya ‘kazi’ zao ndani ya Mashariki ya Kati. Kila aina ya vita ya Ugaidi, inazalisha mamia kwa maelfu...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Mfanyakazi wa zamani wa Facebook, Frances Haugen amewaambia Wabunge Nchini Marekani kuwa App za Kampuni hiyo kuleta athari kwa Watoto. Facebook ni Mtandao wa Kijamii unaotumika zaidi duniani...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hii habari nimeisoma Yahoo, na nimeC&P baadhi ya habari yenyewe ====== Jennifer Lopez, 58, had jumped at the chance to get the Johnson & Johnson vaccine last March, but soon began feeling...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
The Queen, Charles and Prince William warmly welcomed the business leaders and members of the Government including Foreign Secretary Liz Truss, who donned a cobalt blue ensemble, and International...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom