International Forum

News and Stories from rest of the World
Uingereza imerekodi takribani maambukizi mapya laki 5 kwa wiki mbili zilizopita, na vifo 223 vimerekodiwa Oktoba, 19 idadi kubwa kurekodiwa tangu mwezi Machi Uingereza imeongoza kwa maambukizi...
0 Reactions
1 Replies
824 Views
North Korea imefanya jaribio la kurusha kombora la balistiki la masafa mafupi toka kwenye nyambizi (submarine) jana October 19, 2021. Jaribio hilo limefanyika ktk kipindi ambacho wajumbe maalumu...
0 Reactions
4 Replies
36K Views
Nchini Korea kaskazini, watu walo zaliwa tarehe 8 mwezi wa 7 na tarehe 17 mwezi wa 12 hawaruhusiwi kusherehekea siku yao ya kuzaliwa kwa sababu viongozi wao Kim jong I na Kim II_sun walikufa.
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa(UN) umetahadharisha kuhusu mabadiliko ya Tabia Nchi ambayo yanahatarisha maisha waafrika milioni 118 ambao ni masikini wanaoishi chini ya dola 1.9. Imekadiriwa kufikia 2030 watu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Misri imewateua kwa mara ya kwanza wanawake 98 kama majaji katika moja ya vyombo vikuu vya idara ya mahakama nchini humo - Baraza la kuu la serikali. Majaji waliapishwa mbele ya jaji mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
544 Views
Waingereza na watu kutoka mataifa mbali mbali duniani wanaionea huruma Tanzania na watanzania kwa ujumla wake mara baada SSH kumteua aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingerea Tony Blair kuwa mshauri...
0 Reactions
1 Replies
626 Views
Zaidi ya watoto 10,000 wameuawa au kujeruhiwa nchini Yemen katika vurugu zinazohusiana na vita vya muda mrefu katika taifa hilo masikini. Msemaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
Misri itawazuia wafanyikazi wa umma ambao hawajachanjwa dhidi ya kuingia katika majengo ya serikali kutoka katikati ya mwezi ujao. Ilani ya baraza la mawaziri Jumapili ilisema wafanyikazi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Bei za mbolea hazishikiki dunia nzima kufikia hadi wakulima wa Ufaransa wanasema kuwa Mahindi yanakula mbolea nyingi watalima mazao tofauti na zao la mahindi zao linalokuka sana mbolea Mbolea...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Mkuu wa Jeshi la Myanmar amesema atawaachilia huru zaidi ya watu 5,000 waliofungwa jela kwa kushiriki maandamano ya Februari ya kupinga mapinduzi ya kijeshi yaliyoiondoa madarakani serikali ya...
1 Reactions
2 Replies
817 Views
liyekuwa Rais wa Ivory Coast Laurent Gbagbo Jumapili amezindua chama kipya cha kisiasa kwa matarajio kwamba kitamrejesha madarakani tena. Gbagbo ambaye amekuwa uhamishoni mwa muongo mmoja...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Serikali ya Zimbabwe imepata dola milioni 85 kujenga barabara yake ya kwanza ya ubadilishanaji (Interchange Road), Mbudzi Interchange Road jijini Harare. Serikali ilitangaza mipango na usanifu uko...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Mjumbe maalumu wa Marekani kwa Afghanistan, Zalmay Khalilzad ametangaza kujiondoa katika wadhfa wake kufuatia kile kinachoelezwa namna mbaya ya Marekani katika kujiondoa kwake nchini Afghanistan...
2 Reactions
2 Replies
819 Views
Mvutano wa China-Taiwan: Xi Jinping asema 'muungano' lazima utimie; Taiwan yapuuza matamshi yake Rais Xi Jinping wa China amesema kuwa, "muungano" na Taiwan "lazima utimizwe", huku mvutano juu ya...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
10/10/2021 Kitendo cha Ikulu ya Kremlin kuinyakua Crimea kutoka mikononi mwa Ukraine mwaka 2014 kumeiongezea hamasa zaidi Beijing kuungana na Taiwan, Kwa miongo kadhaa sasa Beijing imekuwa...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Until such time, Tanzania and Kenya’s candidates should be endorsed and appointed by this Council for the position.
0 Reactions
1 Replies
612 Views
Waziri Mkuu wa Ethiopia amekuwa akikabiliwa na shinikizo za kimataifa juu ya vita kaskazini mwa nchi hiyoImage caption: Waziri mkuu wa Ethiopia amekuwa akikabiliwa na shinikizo za kimataifa juu ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Inakuwaje Wanajamvi! Imethibitika mwanaume MSOMALI mwenye miaka 25 ndo alimuua Tory MP Sir David Ammes kwa kuchoma kisu mara nyingi kifuani huku mashuhuda wakipigwa mayowe ya hatarii. Hii...
13 Reactions
161 Replies
12K Views
Wizara ya Sheria, Marekani (DOJ), imetangaza kuwa fedha ambazo zimepatikana kwa kupiga mnada mali za Makamu wa Rais wa Equatorial Guinea, Teodoro Nguema Obiang Mangue, zitatumika kununua chanjo na...
5 Reactions
53 Replies
6K Views
Katika miongo kadhaa iliyopita, ujenzi wa reli umekuwa sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Kuanzia Reli maarufu ya TAZARA iliyojengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita hadi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom