International Forum

News and Stories from rest of the World
Queen Elizabeth II spent a night at the hospital for 'preliminary investigations,' says palace spokesperson By David Wilkinson and Max Foster, CNN Updated 6:37 PM ET, Thu October 21, 2021...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mamia ya wanafunzi wamelivamia bunge nchini DRC wakitaka walimu wao waongezewe mshahara. Wanafunzi hao walikuwa wanapeperusha matawi na kuimba "tunataka kusoma" na "ikiwa hatutasoma, tutatumia...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
KUFANYA MAPENZI HADHARANI INA RUHUSIWA KATIKA JIJI LA AMSTERDAM katika nchi ya Uholanzi. [emoji117]Ndio unaruhusiwa kufanya mapenzi hadharani ukiwa katika jiji la Amsterdam Nchini Uholanzi...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Colin Powell, the former secretary of State and chairman of the Joint Chiefs of Staff, has died from Covid complications at the age of 84. Powell was previously diagnosed with multiple myeloma, a...
6 Reactions
178 Replies
13K Views
Hawa jamaa walitangaza siku 60 tu za kuishambulia Tumehesabu leo ni siku ya 50 bado siku kumi tu Na wanasema maana walidai ndani ya siku 60 iran atakua na bomu kamili Sasa na Iran alivyo kichaa...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Watu waiojihami kwa silaha wamevamia gereza la Oyo lililoko Kusini Magharibi mwa Nigeria na kuwatorosha wafungwa 12 Tukio hilo limetokea Ijumaa usiku ambapo linafanya jumla ya matukio ya kuvamia...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Docs said I couldn’t have kids… now I'm one of the world's oldest mums at 70 At the time Dr Sanakayyala Umashankar, director of Ahalya Hospital in Kothapet, said the surgery went “smoothly, both...
2 Reactions
4 Replies
806 Views
Wabunge nchini Benin wamepiga kura kuhalalisha utoaji mimba na kuongeza wigo wa jambo hilo ambalo tayari lilikuwa likifanyika. Wanawake sasa wanaweza kutoa mimba katika miezi mitatu ya mwanzo ya...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Shirika la Usalama wa Taarifa za Mtandaoni nchini Italia linachunguza jinsi wadukuzi walivyofanikiwa kuiba taarifa za wafanyakazi na watumiaji waliosajiliwa wa Shirika la Hakimiliki la Taifa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Dunia ina double standard sana. Hivi karibuni USA ilitoa tenda Kwa nchi ya Australia kuunda Submarine Nuclear na Korea Kusini wanafanya jaribio la kombola kutoka kwenye nyambizi. Mpaka sasa ni...
8 Reactions
66 Replies
6K Views
Polisi wamelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji wanaotaka Tume Huru ya Uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo Waandamanaji zaidi ya 10,000 walitapakaa katika mitaa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Idara ya udhibiti wa bidhaa za afya nchini Afrika Kusini Sahpra , imezuia matumizi ya chanjo ya Urusi ya Sputnik V kwa hofu kwamba huenda ikaongeza hatari ya maambukizi ya virusi vya HIV miongoni...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Watu 16 wameuwawa baada ya waasi kutoka Uganda ADF kukishambulia kijiji cha Kalembo katika wilaya ya Beni nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo usiku wakuamkia leo Alhamisi. Kisa hicho...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Brazil's president will be accused of a series of crimes over his handling of the country's COVID-19 pandemic, a draft of a major inquiry report says. The report is the culmination of a six-month...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kiongozi wa upinzani nchini Urusi aliye gerezani ambaye pia ni mkosoaji mkubwa wa rais Vladmir Putin, Alexei Navalny leo ametunukiwa tuzo ya juu kabisa inayotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu haki za...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump amemtaka mrithi wake, Joe Biden ajiuzulu baada ya wanamgambo wa Taliban kudhibiti Mji Mkuu wa Afghanistan, Kabul, pamoja na Ikulu ya Rais siku ya Jumapili...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Pfizer-BioNTech wamesema utafiti umeonesha ufanisi wa dozi ya tatu ambayo ni ya ku-boost chanjo ni 95.6% ambapo huweza kudhibiti hadi virusi vya Delta Dozi mbili za awali zina ufanisi wa 84%...
0 Reactions
0 Replies
701 Views
Mohseni-Eje'i : Iran itawafuatilia na kuwatia adabu waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani Mkuu wa Idara wa Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itawafuatilia na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Maelfua kwa maelfu ya raia wa Brazil waliandamana jana tena nchini humo wakitaka rais wa nchi yao Jail Bolsonaro, aondolewe madarakani, kuhusiana na namna ambavyo anashughulikia janga la COVID-19...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila Jumamosi alasiri, Levin Chama mwenye umri wa miaka 11 anakwenda kwenye Kituo cha Mtandao cha Konnect Hub kilicho kwenye mtaa wa 44 wa Githurai wa mji mkuu wa Kenya, Nairobi, ili kusikiliza...
1 Reactions
0 Replies
854 Views
Back
Top Bottom