International Forum

News and Stories from rest of the World
Taiwan [emoji1239] yaionya China iwapo ndege zake zikipita anga yake zitadunguliwa. Kiongozi mmuu wa jeshi la Taiwan ameionya china iwapo ndege zake za kivita zitapita kwenye anga ya Taiwan na...
10 Reactions
25 Replies
3K Views
Kiongozi wa North Korea pamoja na maafisa wa juu serekalini na jeshini wakiangalia makomandoo wakionesha ukakamavu na mbinu za mapigano ya aina yake. Maonesho hayo ya kipekee ni yalijumuisha...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wenye msimamo mkali wamewauwa wanakijiji 10 katika shambulizi la msikitini mapema wiki hii magharibi mwa Niger. Tukio hilo limetokea katika eneo la Tillaberi kwa...
3 Reactions
76 Replies
5K Views
Kagame Drums of War Beating Loudly Against Uganda! ("We have only four neighbour's but we have issues with only one Neighbour With Burundi we are on the way to understand one another, With DRC...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Kumetokea Milipuko mitatu Katika Msikiti Mmoja wa Kishia na kusababisha Mauaji ya watu 32 na kujeruhi zaidi ya watu 45. Kundi la Wapiganaji wa Kijihad la ISS-K limedai kuhusika na Mashambulizi...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani unajiandaa kutuma kikosi maalumu cha jeshi Congo DRC kupambana na wanamgambo wa ADF na ISIS waliopo mashariki. Balozi wa Marekani Congo DRC amesema kwa sasa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwanza naomba niseme wazi kabisa Mimi ni kati ya binadamu wanaochukia uonevu na unyonyaji wa binadamu mmoja dhidi ya mwingine. Ile hali ya kuhisi kwamba wewe ni bora na mtu wa maana kuliko...
11 Reactions
39 Replies
3K Views
Na Tom Wanjala Ripoti ya maonyesho ya pili ya kibiashara kati ya Afrika na China yaliyofanyika kuanzia tarehe 26 hadi 29 mwezi Septemba mwaka huu katika mjini Changsha mkoani Hunan, inaonyesha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Maonyesho ya kimataifa ya biashara ya Guangdong awamu ya 130 ambayo ni maarufu kwa jina la Canton Fair yamefunguliwa tarehe 15 Oktoba mjini Guangzhou. Maonyesho haya yanatajwa kuwa ni maonyesho ya...
2 Reactions
3 Replies
761 Views
Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa...
10 Reactions
62 Replies
5K Views
Mamlaka Nchini humo zimewakamata watu sita akiwemo Mwandishi wa Habari kwa tuhuma za kuchapisha uvumi uliodaiwa kuwa na nia ya kuanzisha ghasia. Miongoni mwa waliokamatwa ni Theoneste Nsengimana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Said Bouteflika ambaye ni mdogo wa Abdelaziz Bouteflika aliyekuwa Rais wa Taifa hilo kuanzia mwaka 1999 hadi 2019 amehukumiwa kifungo cha miaka miwili gerezani kwa kukwamisha Sheria kuchukua...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
By BhejangethunaKmedia Published 3 hours ago - 4308 views The Zulu king is a man of controversy, when he was speaking at a Pongolacommunity meeting in March 2015, he said he acknowledges that...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Mamlaka zimesema Watumishi wa Serikali ambao hawajapata Chanjo dhidi ya CoronaVirus hawataruhusiwa Ofisini kuanzia mwezi Desemba Hadi sasa Nigeria imefanikiwa kutoa chanjo kikamilifu kwa 1% ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali ya Uingereza hivi karibuni imetoa muongozo mpya wa udhibitishaji wa Covid19 nchini humo kwa kuongeza masharti kwa baadhi ya a nchi/wananchi watakaotembelea nchi hiyo. === Uingereza...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Urusi imerekodi idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na Virusi vya Corona kwa siku ya pili mfululizo. Nchi hiyo inakabiliwa na Wimbi la maambukizi na vifo, hali iliyopelekea Serikali kuamuru kasi ya...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Iran yadukua technology ya Ulinzi wa Marekani na Israel. Iran imedukua makampuni yenye technology ya Microsoft ya Ulinzi wa Marekani na Israel. Microsoft Treat Intelligent Center (MSTIC) imetamka...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Picha: Mwila Musonda (Slapdee) Mwanamuziki Mwila Musonda maarufu kama Slapdee amejiondoa kwenye kuwania Tuzo baada ya kushambuliwa mtandaoni kwa kusherehesha shughuli za kilichokuwa Chama Tawala...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Timu yake mpya iliyoundwa kubaini asili ya Virusi vya Corona linaweza kuwa fursa ya mwisho kupata majibu hayo, huku ikisisitiza China kutoa Data za Visa vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom