Ripoti katika gazeti la New York Times inasema kwamba watengenezaji wa chanjo ya Moderna wamekuwa wakitoa chanjo zao kwa mataifa tajiri tu.
Ripoti katika gazeti la New York Times inasema kwamba...
Waendesha mashtaka nchini Misri wametoa amri ya watu watatu kukamatwa baada ya maelfu ya dozi za chanjo za corona kutupwa katika mji wa Minya, ambao uko kilomita 200 kutoka kusini mwa mji wa...
Siku moja baada ya kutangazwa kuwa Hati za Kusafiria (Passport) zitaanza kutolewa, mamia ya wananchi wamejitokeza katika Ofisi hiyo
Huduma hiyo ilisitishwa baada ya Taliban kuchukua madaraka...
Takriban watu 20 wameuawa katika eneo la Sokoto baada ya watu wenye silaha kuvamia soko na kuchoma magari. Tukio hilo ni mwendelezo wa ghasia za magenge ya uhalifu Nchini humo
Tangu Desemba 2020...
Kansela wa Austria Sebastian Kurz amesema anapanga kujiuzulu kutokana na shinikizo la tuhuma za ubadhirifu, na nafasi yake itajazwa na waziri wa mambo ya nje.
Kurz amekuwa akikabiliwa na tuhuma...
Mlipuaji wa kujitolea muhanga amelenga msikiti mmoja kaskazini mwa mji wa Afghanistan wa Kunduz wakati wa ibada ya Ijumaa na kuwaua takriban watu 50.
Picha katika mitandao ya Kijamii zimeonesha...
Rais Muhammadu Buhari amesema Serikali imepanga kukopa zaidi ya Dola za Marekani Bilioni 10 ili kusaidia kufadhili Bajeti ya takriban Dola Bilioni 40 kwa mwaka 2022
Kumekuwa na malalamiko kuhusu...
Marekani itafanya mazungumzo rasmi na wanamgambo wa Taliban kwa mara ya kwanza, tangu Marekani ilipoondoa vikosi vyake nchini Afghanistan.
Hayo yamethibitishwa na wizara ya mambo ya nje ya...
Taifa hilo limerekodi zaidi ya vifo 600,000 vya COVID19, ikiwa ni Nchi ya pili duniani kufikisha idadi hiyo baada ya Marekani ambayo imerekodi vifo 672,196 tangu kuanza kwa mlipuko
Brazil...
Waziri wa Afya, Jean Jacques Mbungani amethibitisha kisa kimoja cha Ebola Mashariki mwa Taifa hilo, ikiwa ni miezi 5 baada ya mlipuko wa hivi karibuni kuisha
Bado haijafahamika ikiwa kisa hicho...
HUYU NDIYE ASKOFU MKUU DESMOND TUTU
Happy Birthday kwako Profesa Emeritiusi Muadhama Askofu Mkuu Dkt. Desmond Mpilo Tutu, Askofu Mkuu mstaafu wa Capetown, Kanisa Anglikana Afrika Kusini na Katibu...
Umoja wa Mataifa umesema fedha hizo zinahitajika kuhakikisha Chanjo dhidi ya CoronaVirus zinasambazwa kwa usawa duniani kote ili kutoa fursa kwa Nchi zote kupambana na janga hilo ambalo...
Shirikisho la vyama vya wafanyakazi nchini Afrika Kusini Cosatu, limeitisha mgomo wa jumla wa saa 24 Alhamisi hii, Oktoba 07. Shirikisho hili la vyama tofauti linatoa wito kwa wafanyakazi wote...
Ripoti za awali zinasema takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa kufuatia tetemeko la ukubwa wa 5.7 lililotokea mapema leo Kusini mwa Pakistan.
Imeelezwa, idadi kubwa...
Kanali Mamady Doumbouya ambaye wiki iliyopita aliapishwa kuwa Rais wa Mpito amemteua Mohamed Beavogui kuwa Waziri Mkuu. Mtumishi huyo wa zamani wa Umma atasimamia mabadiliko ya Utawala wa Kiraia...
Mwimbaji wa Marekani R Kelly amepatikana na hatia ya kutumia hadhi yake ya kuwa nyota wa muziki wa R&B kuendesha mpango wa kuwadhulumu kingono wanawake na watoto kwa zaidi ya miongo miwili...
Je, wamarekani wana damu chungu?
======================================
Update: 30/06/2021
China wamefanikiwa kutokomeza Malaria baada ya kutumia dawa jamii ya DDT. Wakati huo huo wako busy...
Habari zenu.
Baada ya mwanaume Ethiopia kupuuza vitisho na mikwara ya mbu nje ya net iliyokuwa ikitolewa na Egypt kwa Ethiopia Kuhusu kujaza maji kwenye Bwawa la Umeme,jamaa sasa wameamua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.