Picha ya Hwasong-8, kombora la hypersonic liliorushwa na North Korea
North Korea imesema kuwa imefanikiwa kufanya jaribio la hypersonic missile, kombora linalosafiri maradufu kuliko sauti...
Watu wake wa karibu wanasema kuwa Ban Ki Moon ni moja kati ya watu poa sana. Alizaliwa mwaka 1944 huko South Korea na mwaka 2007 akawa Katibu Mkuu Wa Umoja wa mataifa akiwa ni mrithi wa Koffi...
Viongozi wa Marekani na Afghanistan walikuwa wakiamini kuwa Mullar aliyeasisi kikundi cha wapiganaji cha Taliban alikimbilia na kufia Pakistan
Kwa miaka mingi, muasisi wa kikundi cha wapiganaji...
Asilimia 80 ya madawa yote ya kulevya duniani kwa mujibu wa shirika la umoja wa mataifa la kupambana na dawa za kulevya huzalishwa Afghanstan
Taleban chini ya Osama ndio maana waliamua kuiteka...
Waziri wa Ulinzi wa Taiwan ameonya kuwa mvutano wa kijeshi dhidi ya China umefikia hatua mbaya zaidi katika kipindi cha miaka 40 na ametoa tahadhari uwezekano wa mashumbulizi kati ya nchi hizo...
Waasi wamewaua Wanajeshi 14 Kaskazini katika shambulio lililotokea karibu na mji wa Yirgou huku wengine 7 wakijeruhiwa.
Kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi, shambulio la kukabiliana nao lilifanyika na...
Mkuu wa Shirika la Fedha (IMF) Kristalina Georgieva ameonya kuwa Uchumi wa Dunia umeendelea kuathiriwa na janga la Virusi vya Corona
Amesema kikwazo kikubwa ni mgawanyo wa Chanjo kati ya Mataifa...
Mchora katuni wa ufaransa Bwanaaaa Lars Vilks amefariki dunia kwa ajali leo nchini huko.
Bwana Lars Vilks alijipatia umaarufu baada ya kuzua taharukii kwa kuchora katuni ya mtume MOHAMED SAW...
Nchini Afrika Kusini kumekuwa na kesi iliyoteka hisia za watu huku macho na masikio ya watu wengi wakiifuatilia kesi hiyo iliyoanza kusikilizwa katikati ya mwezi Septemba.
Kesi hiyo inamhusisha...
Uchunguzi wa Umoja wa Mataifa umebainisha kuwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya ubinadamu, ikiwemo utumiaji wa wanajeshi watoto, umetendeka nchini Libya tangu mwaka 2016.
Ujumbe huru wa...
Vikosi vya waasi kutoka mkoa uliokumbwa na vita kaskazini mwa Ethiopia wa Tigray, vimeushutumu Umoja wa Afrika kwa upendeleo, siku chache baada ya Jumuiya hiyo kumteua rais wa zamani wa Nigeria...
Korea Kaskazini imefanya jaribio la kombora jipya la masafa marefu linaloweza kupiga sehemu kubwa ya Japan, vyombo vya habari vya serikali vimesema Jumatatu.
Jaribio lililofanywa mwishoni mwa...
Katika muendelezo wa kuimaliza Huawei sokoni, kampuni kubwa ya teknolojia ya Nokia imedai 55% ya vifaa vya Huawei vinadukuliwa kirahisi na hivyo haviaminiki.
Katoka mgogoro wa Marekani na Huawei...
Taifa hilo limerekodi visa vipya viwili pekee, idadi ambayo ni ndogo zaidi ya maambukizi tangu kuripotiwa kwa mlipuko wa CoronaVirus.
Japokuwa idadi ya wagonjwa imekuwa ndogo Nchini humo...
Sudan huenda ikaishiwa na dawa, mafuta na ngano baada ya maandamano ya kisiasa kulazimisha kufungwa kwa bandari kuu iliyopo mashariki mwa nchi, baraza la mawaziri limesema Jumapili.
Watu wa...
Kwa mujibu wa Shirika Rasmi la Habari la Korea Kaskazini (KCNA), Korea Kaskazini imeamua kufungua laini zote za mawasiliano ya simu na Korea Kusini kuanzia leo Jumatatu saa 3 asubuhi.
Ripoti...
North Korea kwa mara ya kwanza imefanikiwa kurusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni. Makombora hayo yalishambulia tageti iliyokuwa baharini umbali wa kilomita 800 toka sehemu...
Wapiganaji wa Taliban wamepiga marufuku , vinyozi katika mkoa wa Helmand nchini humo kutowanyoa au kuwapunguza ndevu wanaume, wakisema hatua hiyo inakiuka sheria ya Kiislamu.
‘’Mtu yoyote...
Marekani yasema itaiwekea vikwazo Ethiopia baada ya serikali ya nchi hiyo kuwafukuza maafisa saba wa mashirika ya kutoa misaada ya Umoja wa Mataifa ambao wanadaiwa kujihusisha na maswala ya ndani...
Many people still believe that visiting Africa will expose them to tribes, wild animals wandering the streets, dirt roads, and temporary dwellings. The following post will provide you a more...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.