Rwanda imesifiwa kufikia lengo la dunia ambapo kila nchi itapaswa kuchanja walau 10% ya watu wake na hivyo imeondolewa katika orodha ya nchi zilizokuwa katika orodha nyekundu ya kuingia Nchi za...
Kiongozi wa wanajeshi waliofanya mapinduzi nchini Guinea Kanali Mamady Doumbouya, anatarajiwa kuapishwa kuwa rais wa mpito wa nchi hiyo katika mji mkuu Conakry.
Kwa mujibu wa katiba ya mpito...
Mahakama ya Haki za Binadamu ya Canada ambayo mwaka 2016 iliituhumu serikali ya nchi kuwa imefanya ubaguzi wa kimbari, kutumia mabavu na kuua Wahindi Wekundu wenyeji wa nchi hiyo imeitaka serikali...
Majeshi ya Marekani yaliamua kuondoka Afghanistan kwa kile walichosema kuwa wamekuwa kule kwa miaka 20 lakini wanajeshi wa serikali ya Afghanistan wako weak na hawako tayari kupigana na Taleban...
Magaidi wamesha ukimbia muji wa afungi kwa sasa! Hari iko shwari,soon raia watarudi kwenye makazi yao. SADC bado wana panga mabegi kwenda ku saidia mwanachama.
Mkosoaji wa utawala wa Rais Paul Kagame aliyejizolea umaarufu mkubwa kutokana na video zake kupitia mtandao wa Youtube amehukumiwa miaka 15 jela mjini Kigali.
Yvonne Idamange mwenye umri wa miaka...
Taifa la Afrika Kusini limetikiswa na habari ya Nomia Rosemary Ndlovu (46) baada ya kupanga njama na kuua ndugu zake sita, huku akiwa anaandaa vifo vya ndugu wengine, akiwemo mama yake mzazi...
Wakati viongozi wengine kutoka nchi za kidikteta barani Africa wakirejea makwao mikono mitupu , kutokana na kupuuzwa na Jumuiya za kimataifa kwa sababu ya unyama unaotendwa nchini mwao na...
Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria ameamuru kuondolewa marufuku ya utumiaji wa ukurasa wa mtandao wa Twitter nchini mwake lakini ikiwa tu kampuni hiyo kuu ya teknohama inatekeleza masharti fulani...
Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa ametangaza cheti kipya cha chanjo ya COVID-19 ambacho amesema kitarahisisha kusafiri na kuhudhuria matukio ambayo yanahitaji uthibitisho wa chanjo.
“ Wizara...
Jeshi la Marekani limesema limewaua wapiganaji 62 wa kundi la kiislamu la al-Shabab kwa mashambulizi sita ya anga nchini Somalia.
Mashambulizi manne yaliyotekelezwa siku ya Jumamosi yalisababisha...
Kamanda wa vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa tangu uje utawala wa Kizayuni karibu na mipaka ya nchi, Iran imezidi kuguswa na suala la usalama wa mpaka...
Katika miaka ya hivi karibuni Syria imekuwa ikikabiliwa na vita na harakati kubwa za makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na Marekani na sehemu ya ardhi ya nchi hiyo ikadhibitiwa na kukaliwa kwa...
June 15, 2010
‘Is torture ever justified?’: The European Court of Human Rights decision in Gäfgen v Germany
Natasha Simonsen is a Rhodes Scholar at the University of Oxford. Previously, she...
Rais Vladimir Putin wa Russia amesisitiza kuendelezwa mashirikiano ya pamoja baina ya nchi yake na China.
Putin ametoa sisitizo hilo katika salamu alizomtumia Rais Xi Jinping wa China kwa mnasaba...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ameshtushwa sana na kitendo cha serikali ya Ethiopia kuwafukuza maafisa wa umoja huo wanaohudumu nchini humo.
Kupitia taarifa iliyotolewa...
Duru za habari zimeripoti kuwa, shirika moja la kizayuni linalotengeneza vifaa vya intaneti vya ujasusi limefungua ofisi yake mjini Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu.
Kwa mujibu wa duru...
Mwaka 2015 nchi zote za EAC zilikubaliana kuwa ifikapo mwaka 2019 nchi zote zipige marufuku uagizaji wa nguo na viatu vya mtumba kutoka nje. Sababu walisema kuwa ni fedheha watu kuvaa mitumba na...
Gary Dennis aliwaambia wanahabari kuwa alionelea ni ''wajibu wake'' wa kimaadili kuwafahamisha maafisa wa usalama.
Mtu mmoja nchini Marekani anadai kuwa amepata kanda ya video inayomuonesha...
Rais wa Rwanda Leo ni mgeni rasmi kwenye sherehe za kuadhimisha miaka 57 ya jeshi la Msumbiji (FADM)
Ikumbukwe kuwa jeshi la Rwanda ndio linalopewa kila aina ya sifa kwenye mapigano ya kuwakimbiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.