International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais wa Ecuador Guillermo Lasso ametangaza “hali ya hatari” katika magereza yote ya Ecuador, siku moja baada ya mapigano kati ya magenge hasimu ambayo yalisababisha vifo vya zaidi ya watu 100...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ulishawahi kusikia japo kwa uchache kuhusu Emanuel Macron Rais wa sasa wa ufaransa? Je ushawahi kusikia kuhusu mke wake? Ni hivi Rais Emanuel Macron wa ufaransa ana miaka 43 ndio rais kijana...
10 Reactions
76 Replies
9K Views
Kambi ya wapiganaji wa ASWJ ya Chitama Jimbo la Cabo Delgado imesambaratishwa katika operasheni ya SADC Msumbiji (SAMIM) Magaidi 17 wameuawa. Askari 1 aliokuwa katika operasheni hiyo amefariki na...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
4 August 2021 Maputo, Mozambique Chama kikuu cha upinzani RENAMO chahoji katiba kutofuatwa kwa majeshi ya kigeni ya nchi za Afrika kuingia nchini Mozambique. Hoja hiyo imewasilishwa na kiongozi...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Nimesikia Jeshi la Rwanda limeenda Msumbiji na limefanikiwa kurejesha miji iliyokuwa imemilikiwa na waasi huko msumbiji ila katika historia kuna ukweli kwamba kuna majeshi yalisha kwenda huko...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Asante Ndugu Raisi, Asante Katibu Mkuu. Wacha nikukumbushe jambo ambalo wote hapa, natambua mnalikwepa kama hamlijui vile mabwege, Kundi la Hamas lilishaadhimishwa kidunia kuwa ni Kundi la...
7 Reactions
86 Replies
9K Views
Wanachuo Wanawake na Wahadhiri Wanawake wamekatazwa kuingia Chuo Kikuu cha Kabul Afghanistan, ni utekelezaji wa sheria za Kiislamu ndani ya Nchi hiyo yenye Watu milioni 32+, taarifa imesema...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkubwa ni mkubwa tu. A large explosion damaged an Iranian drone factory in Iran’s Isfahan province last week wounding at least nine people, The Guardian reports. Local residents said the massive...
2 Reactions
155 Replies
12K Views
Kanali Mamady Doumbouya akitoa hotuba kwenye mji mkuu wa Guinea wa Conakry Kundi la kijeshi lililofanya mapinduzi kwenye taifa la Afrika magharibi la Guinea Jumanne limetoa wakaraka unaoahidi...
8 Reactions
7 Replies
1K Views
Kinyang'anyiro cha kuamua ni nani atakayemrithi Kansela wa Ujerumani, maarufu na ambaye amehudumu kwa muda mrefu zaidi Angela Merkel kinaweza kuwa kikali huku Wajerumani wakianza uchaguzi wa...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
More than 80 aid workers including some employed by the World Health Organization (WHO) were involved in sexual abuse and exploitation during an Ebola crisis in the Democratic Republic of Congo...
1 Reactions
0 Replies
753 Views
Jamii ya kabila ya banyamulenge waishio Europe, USA na kwingineko wanaandamana na kulalamika juu ya Maimai na jeshi la congo FARDC inafanya mauaji ya kimya kimya juu ya banyamelenge (Congolese...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukipata uongozi kwa njia ya Haki kila mtu atakuheshimu, utaalikwa na kila mwenye akili timamu na hasa kama Utawasamehe wote waliokufanyia unyama, huku ukisisitiza Demokrasia ya kweli kwenye Nchi...
30 Reactions
95 Replies
6K Views
Diplomacy Image by the courtesy of Google EAC economy creeps to doldrums and steering to recession if meltdown in Somalia isn’t subdued. Disorder in the GLR and horn of Africa should swiftly...
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Kampuni kubwa ya kutengeneza dawa ya hapa Marekani ya Pfizer imesema kwamba imeanza majaribio ya dawa inayolenga kulinda watu wanaoishi na mtu aliyeambukizwa Covid. Dawa hiyo inalenga kuwazuia...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
South Korea imesema kuwa North Korea (NK) imetesti kombora ambalo bado halijafahamika wakati ambao balozi wa NK wa Umoja wa Mataifa (UN) bwana Kim Song akizungumzia/akitetea haki ya nchi yake ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Maonesho ya pili ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya nchi 40 za Afrika na karibu kampuni 900 kutoka China na nchi...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Shule za sekondari zimefungua milango tena nchini Afghanistan, lakini kwa wavulana tu, bila wasichana. Watawala wapya wa nchi hiyo, Taliban wameamuru wavulana na walimu wa kiume tu ndio warejee...
3 Reactions
155 Replies
11K Views
Meet the Ghanaian official who is supposed to be the most grounded warrior in the entire of West Africa, in his straightforward yet enthusiastic moves as he was spotted wearing his uniform. One...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Karamba Diaby alishinda jimbo la Halle (Saale) kwenye uchaguzi mkuu nchini Ujerumani tarehe 26 Septemba. Dk Karamba alizaliwa Senegal akafika Ujerumani akiwa mwanafunzi mnamo mwaka 1986. Baada ya...
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Back
Top Bottom