Mkutano wa 15 wa kilele wa viongozi wa nchi zilizosaini makubaliano ya bioanuwai (COP 15) umefanyika hivi karibuni katika mji wa Kunming, mkoani Yunnan, China. Rais Xi Jinping wa China alishiriki...
Makundi yanayotetea demokrasia katika taifa la kusini mwa Afrika, Eswatini, yanaeleza kwamba serikali imepeleka wanajeshi na polisi katika shule ambazo wanafunzi wamekuwa wakiendelea na maandamano...
Mamlaka za Afya Mashariki mwa Taifa hilo zimeaza kampeni ya utoaji wa Chanjo ya Ebola baada ya kifo cha Mtoto wa miaka miwili kuibua hofu ya kutokea Mlipuko mwingine mkubwa.
Watumishi wa Afya...
King Mswati III wa eSwatini amewazawadia wakeze (zaidi ya 10) magari mapya aina ya Rolls-Royce. Hatua hiyo imekosolewa kutokana na nchi hiyo kuwa na hali mbaya kiuchumi. Mwaka 2009 Forbes ilimtaja...
Habari mpya kutoka kwa POPE Francis kuhusu scandals zinazoendelea huko .
Tumeona mengi na tutaendelea kuona mengi zaidi.
=======
Pope Francis has admitted that clerics have sexually abused nuns...
Raisi wa mpito wa Guinea aliyetwaa madaraka baada ya kufanya mapinduzi nchini Guinea, ameanza kutoa masomo ya kizalendo kwa taifa hilo, Afrika na duniani kote.
Siku ya Ijumaa, Kanali Doumbouya na...
Marekani imesema itafungua Mpaka wake wa Ardhi na Mataifa ya Mexico na Canada kuanzia Novemba kwa Wasafiri waliopata Chanjo dhidi ya CoronaVirus.
Taifa hilo lilibana masharti ya kusafiri kutoka...
Nigerian doctor, Dr. Richard Okoye rejected an offer of 20 million US dollars from a corporate group in Dubai in 2012 who wanted to take over his “Save A Life” mission in 2012 and yet went on to...
Baada ya kuchezea kipigo cha Wapalestina Gaza, Israel iliiomba Marekani iingilie kati
Jun 06, 2021 02:31 UTC
Gazeti moja la Kizayuni limefichua kuwa, utawala haramu wa Israel uliiangukia miguuni...
Sasa, unaweza kupata nakala za Kitabu changu cha "NYUMA YA ULIMWENGU WA SIRI NA UJASUSI".
kitabu kina kurasa 442 na ndani yake kuna makala 17.
Bei ya kitabu hiki ni Tsh 50,000/-
Pia waweza kupata...
Mzuka wanajamvi!
Hizi ajali za ndege binafsi na Helicopter zinaua sana matajiri sasa hivi.
Ajali mbaya ya ndege binafsi The single-engine Cessna P210N ilianguka DeKalb-Peachtree Airport...
Washington Post: Ukoo wa Aal Saud ulimpa zawadi 'feki' Donald Trump
Oct 12, 2021 02:30 UTC
Gazeti la Washington Post la nchini Marekani limefichua kuwa, familia ya kifalme ya Saudi Arabia ilimpa...
Hawa taliban walifikiri kuongoza nchi ni sawa na kuvaa kanzu, vilemba, kubeba bunduki na kupiga hovyo?
Unambiwa sasa wanadaiwa mabilioni yanayotokana na malipo ya bill ya kununu umeme toka kwa...
Israeli Government on Monday approved the appointment of the clandestine security agency Shin Bet new Director, Ronen Bar.
Ronen Bar, 55, holds a Bachelor’s Degree in Political Science and...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN), Antonio Guterres amekosoa ahadi hewa zilizotolewa na Taliban kwa Wanawake na Wasichana wa Afghanistan, akihimiza Mataifa kutoa fedha kwa Nchi hiyo ili kuepusha...
Katika Ripoti iliyotolewa leo, Wabunge wameikosoa Serikali kwa namna ilivyoshughulikia mlipuko wa CoronaVirus katika hatua za mwanzo, ikisema ilishindwa kuchukua hatua za haraka na kupelekea...
Mkutano wa mwaka 2021 wa Shirika la fedha la Kimataifa IMF na Benki ya dunia unafanyika wiki hii (Oktoba 11 - Oktoba17) mjini Washington nchini Marekani. Kama kawaida mkutano huu unakutanisha...
Gavana wa jimbo la California Gavin Newsom amesaini sheria inayopiga marufuku utoaji wa mipira ya kondomu bila makubaliano iliyowasilishwakatika muswada ulioitwa "stealthing".
Sheri ampya...
Takriban Wiki 11 baada ya Rais Kais Saied kumfukuza kazi Waziri Mkuu na kusitisha shughuli za Bunge, kitendo kilichofanya ashikilie Madaraka yote, Taifa hilo limetangaza Serikali mpya
Waziri Mkuu...
Muqawama wa Palestina wafanyia majaribio kombora jipya
Chaneli ya televisheni ya Quds imetangaza kuwa muqawama wa Palestina umefanyia majaribio kombora jipya katika kujizatiti na kuimarisha zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.