Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema Jeshi litaacha kujishughulisha na Siasa baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 2023
Kamati za Upinzani na Vyama vya Siasa...
Wanakijiji wenye hasira leo wameyachoma moto magari ya jeshi baada ya wanajeshi kuwauwa watu kadhaa waliodhaniwa kuwa wanamgambo katika jimbo la kaskazini mashariki mwa India.
Kiongozi wa jimbo...
Hivi karibuni, shirika maarufu la uchunguzi wa maoni la Afrika la Afrobarometer limetoa ripoti ya uchunguzi wa maoni, ikionesha kuwa ushawishi wa China barani Afrika unashika nafasi ya kwanza...
Watu wenye silaha wamewateka nyara zaidi ya vijana 100 kutoka kijiji cha Naulala katika Mkoa wa Niassa kaskazini mwa Msumbiji, Shirika la Habari la Lusa limeripoti.
Niassa inapakana na Cabo...
Wananchi wa Gambia leo wanapiga kura katika uchaguzi wa kihistoria, ambao kwa mara ya kwanza rais wa zamani Yahya Jammeh hayumo kwenye kinyang'anyiro hicho.
Rais wa sasa Adama Barrow...
Katika kile kinachoonekana kama athari za ugonjwa wa kisukari ama matumizi ya teknolojia za AI katika matibabu ya bwana Kim hatimaye ameweza kupungua uzito zaidi ya kilo 40 toka mwanzoni mwa mwaka...
Taifa la Iran halitokubali chochote ghairi ya kuondolewa vikwazo vyote
Dec 03, 2021 11:52 UTC
[https://media]
Khatibu wa Muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesisitiza kuwa, taifa la Iran...
(CNN)US Secretary of Defense Lloyd Austin addressed recent Chinese military advancements Saturday, including the test of a hypersonic weapon system and strengthening of nuclear capabilities...
Wizara ya Elimu ya Ethiopia imetangaza kufungwa kwa shule zote za sekondari kwa muda mfupi, ili kuwaruhusu wanafunzi kusaidia katika kuvuna chakula katika mashamba ya Waethiopia wanaopigana vita...
● Ujerumani itapiga marufuku watu ambao hawajachanjwa kupata huduma madukani na baa, isipokuwa kama wamepona hivi karibuni kutoka kwa Covid
● Kansela Angela Merkel anasema agizo la chanjo ya nchi...
Vyombo vya usalama vya kimataifa na dunia nzima macho yao yote yapo Mashariki ya kati.
Baada ya dunia kushuhudia unyama na ujasusi wakutisha ktk mashariki ya kati sasa mimba imefika miezi tisa...
Viongozi wa kitaifa na wa kikanda wa Ujerumani wamekubali kuwazuia watu ambao hawajachanjwa kushiriki pakubwa katika maisha ya umma kwa nia ya kuzuia wimbi la nne la Covid-19.
Kansela...
🇨🇩🏦Unlocking secrets from Africa’s biggest banking data leak, #BBCAfricaEye reveals how millions of dollars of public funds ended up in the private bank accounts of businesses based in Democratic...
Mkutano wa 8 wa Mawaziri wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) umefanyika hivi karibuni mjini Dakar, Senegal. Tangu kuanzishwa kwa jukwaa hilo, ushirikiano kati ya China na...
Korea Kusini imerekodi maambukizi 5,266 ya COVID-19 kwa Desemba 1, maambukizi ambayo ni makubwa, ikiwa ni wiki mbili baada ya kuripotiwa kwa kirusi cha Omicron.
Wasafiri wote watatakiwa kukaa...
President Joe Biden on Tuesday ordered a record 50 million barrels of oil released from America's strategic reserve, aiming to bring down gasoline and other costs, in coordination with other major...
Afrika Kusini imerekodi ongezeko kubwa la maambukizi ya virusi vya corona ambayo yameongezeka maradufu kote nchini humo tangu Jumatatu.
Maafisa wa afya wanasema aina mpya ya Omicron...
Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO) limeonya kuwa aina mpya ya kirusi cha corona Omicron c ina hatari kubwa ya maambukizo kuongezeka kote ulimwenguni.
Aina hiyo inaweza kusababisha athari mbaya...
Taarifa za kushtusha na kushangaza sana
Wakenya 89 wanaoishi na kufanya kazi nchini Saudi Arabia wamepoteza maisha ndani ya kipindi cha miaka 2
Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa bungeni...
Zimbabwe imerejesha marufuku ya kutotoka nje na karantini za lazima kwa wasafiri wote huku kukiwa na ongezeko la visa vya Covid ili kuzuia kuenea kwa aina mpya ya kirusi cha Omicron.
Nchi hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.