Rais Yoon Suk Yeol ameondoa Utawala wa Kijeshi nchini humo baada ya maandamano ya wananchi na wabunge kupiga kura za kufuta amri yake
Aidha, Msemaji wa chama cha Upinzani cha 'Democratic'...
Wadau hamjamboni nyote?
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amedai kwamba Tehran inayo ushahidi unaoonyesha kuwa Marekani na Israel walipanga njama ya kuuangusha utawala wa Rais Bashar...
Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza baada ya wanamgambo kuuangusha utawala wa Assad huko Syria;
Kwanza, kimetokea kitu gani hadi Israel iivamie Syria bila uoga wowote.
Pili, kwa nini Israel...
Iran apo Jana umeanza kuandaa makombora yake matano ya NYUKLIA katika mji wa isfarahan kama kukaa tayari KUISHAMBULIA ISRAEL iwapo Israel itajibu shambulio lao la apo juzi.
Iran IMESEMA ipo...
Ujasiri na Uhodari wa Benjamin Netanyahu kwenye ulimwengu wa kivita ni copy and paste ya King David.
Mfalme David alikuwa hodari na jasiri Sana linapokuwa suala LA Vita. Utawala wa mfalme David...
Habari za muda huu ndugu zangu wa JamiiForums
Je, idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiislam (99%) inaweza kuwa ndio kikwazo kikuu cha nchi ya Uturuki kutokuwa mwanachama kamili/rasmi wa E.U mpaka...
Allah amesema kisasi ni haki, sasa Iran baada ya kupokea kichapo toka kwa marubani wakike wa ISRAEL, eti mpaka sasa ni zaidi ya mwezi wanaogopa kulipa kisasi.
Mwanzo walikuwa na mbwembwe sana...
Mahakama ya Rufaa ya D.C. imetangaza uamuzi wa kuunga mkono sheria inayotaka ByteDance, kampuni mama ya TikTok kutoka China, kuuza hisa zake za programu hiyo ifikapo Januari 19, 2025, la sivyo...
Mahakama imeamuru Matokeo ya Uchaguzi Mkuu yahakikiwe ikiwa ni uamuzi unaotokana na Kesi ya kupinga Matokeo hayo iliyofunguliwa na Vyama vya Independent Patriots for Change (IPC) na Landless...
Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea...
Habari inayosambaa Mitandaoni: Wadruze wa Syria wanaomba wao wenyewe kuunganishwa eneo la Milima yao ya Golan yote iwe ndani ya taifa la Israeli.
Jumuiya ya Wadruze wa al-Hader nchini Syria...
Wadau hamjamboni nyote?
Mpango maalumu tayari umeshaandaliwa unaitwa "maximum pressure 2.0” plan, ndani kuna njia kadhaa ikiwemo ya kuishambulia Iran kwa ndege za kijeshi.
Taarifa kamili hapo...
Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.
Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime...
Habari za wakati huu waungwana wa jamiiforums.
Ni nani alikuwa nyuma ya kuvunjika kwa taifa la Sudan? Je, ilikuwa ni vita ya mabeberu dhidi ya uchumi (mafuta) wa Omar al-Bashir?
Ni kweli kwamba...
Wadau hamjamboni nyote?
Kazi ya kusafisha magaidi ya Hamas haijapoa na inakwenda spidi ya kasi kubwa!
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
==========
Live Update arrow right icon From the...
Mwana anasisitiza watu wazaliane unlike yule mwenzie wa makompyuta anaeshadadia depopulation.
Heko kwa huyu mwamba, dunia inahitaji watu.
The future of humanity is through birth.
Mapigano ndani ya Damascus kwa sasa!!!
Rebel forces have declared Syria "free", saying the "tyrant" President Bashar al-Assad has left.
It is the end of a dark era and the beginning of a new...
Uwepo wa Ukristo barani Afrika unaendelea kuendana na hali za kijamii, kisiasa na kiuchumi za bara hili. Hotuba inayozunguka taasisi ya Kikristo barani Afrika ni ngumu, yenye viwango tofauti vya...
Sawa, Tupe data za kweli sasa.
Unajua inahitaji research ya kweli independently Hao wazungu ni kawaida Yao kupigia chapuo uwongo wao na kuwalisha jamii.
Hivyo Elon Anataka utajiri uongezeke na...
Israel imeingiza vifaru kwenye eneo la kijiografia la Syria.
Kinyume cha utaratibu.
Inashambulia uti wa mgongo wa jeshi lililoshindwa la Syria. Kana kwamba wanataka serikali itakayokuja hata kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.