Mkutano wa mwaka 2024 wa Kazi ya Uchumi wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China unafanyika hapa Beijing. Mkutano huo utachambua hali ya sasa ya uchumi wa China, na kuamua mwelekeo wa sera...
Wanajamii waswahili walisema kikulacho kimo nguoni mwako, usemi huu umedhihirika baada nyaraka kuvuja zikionyesha utawala wa aliyekuwa rais wa Syria Asad alikiuwa akishirikiana na serikali ya...
Amani kwenu waungwana
Baada ya wakristo wa south Sudan kuwaachia wasudan nchi yao Mambo yanaendelea kuwa Mambo
Watu wa Sudan waliwaita wasudan kusin kuwa ni makafiri na wakaitangaza Sudan kuwa...
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa
Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
Hii ni elimu ya juu Sana. Kama uelewa wako ni mdogo, utabaki kupolomosha matusi.
Taifa LA Israel limejengwa juu ya watoto 12 wa Yakobo.
Miongoni mwa wale watoto, alikuwepo mtoto kwa jina la...
Wanaukumbi.
Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad.
Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa...
Syrian rebel fighters have destroyed the tomb of late president Hafez al-Assad, father of ousted president Bashar, in the family's hometown.
Videos verified by the BBC showed armed men chanting...
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa...
Behold what the West and Israel has done by overthrowing Assad in Syria
America, Europe, Israel, Turkey, Saudi Arabia et.al., the three brief videos below demonstrate what YOU have done, by...
Kaburi hilo limelipuliwa na kuharibiwa vibaya mno na waasi waliochukua nchi kwa kumfurusha bashar al assad
Ikumbukwe hafez al assad aliwaua wasunni wengi sana wakati akitawala syria kwa mkono wa...
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir
Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amefanya mabadiliko makubwa ya uongozi kwa kumfuta kazi mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi, na gavana wa benki kuu, kwa mujibu wa...
Ukraine wana vita/machafuko lakini wana muda wa kupanga, kulima, na kulisha Afrika 😭😭😭
Ukraine iko vita na kwenye machafuko kwa miaka kadhaa sasa lakini wana mipango dhabiti, wana muda wa kulima...
An Israeli security source tells local media that the country’s military has carried out “one of the largest attack operations in the history of its air force” in Syria following al-Assad’s...
Hamjamboni Watanzania wenzangu
Siku za hivi karibuni, nimekuwa sina furaha, kila nikifungua mitandaoni, Kwenye luninga na sehemu mbali mbali za mitandao nakutana na tarifa za ugaidi zikiwa...
Wakuu,
Mara baada ya Assad kupinduliwa na kukimbia nchi yake kwenda Urusi huku vikundi vya waasi vikiwa vimechukua mambo yameanza kubadilika kwa wana-Syria duniani kote.
Hivi karibuni nchi...
Hii ni taarifa isiyotajwa sana katika vyombo vyetu vya habari nchini.lakini ni tukio linalo-trend nchini Marekani.
kijana Msomi na anayetoka kwenye familia tajiri Ndg.Luig Mangione anatuhumiwa...
Matamshi ya kutaka kuliaangamiza taifa la Israel hayakuanza Leo. Viongozi wengi Wamefanya hivyo tangu zamani.
Baadhi ya hao viongozi ni
1) Pharaoh
2) Haman
3) Nebuchadnezzar
4) Belshazzar
5)...
The United States Air Force has begun bombing Syria.
After the fall of the Syrian government, and the resignation of President Bashar al-Assad, who fled to Moscow, Russia earlier today, the...
Kumba Urusi ndio kinara wa kuuza silaha Africa baada ya China
Silaha hizi ndio zinatumika kuvuruga amani Africa
Siku zote tunalaumi nchi za Magharibi kumbe wachawi halisi ni Urusi na China
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.