Israeli imefanya la kustajaabisha huko Syria
Imeshambulia ngome (bezi) za Syria kwa 80% kwa mashambulizi 250 ambayo yameharibu meli, ndege, vifaru na maghala yote ya makombora na silaha...
Ghadaffi alikataa kukimbia nchi akapambana mpaka tone la mwisho. Alipambana akafa akipambana. Hakukimbilia kwa mabeberu, alipambana akashinda.
Saddam Hussein naye alikataa kukimbia. Alipambana...
Kwa Wayahudi, Nchi waloahidiwa, kihistoria inaenda mpaka kuchukua sehem za Syria,Jordan, Uturuki ,Misiri, Lebanoni.
Mnaweza msiamini, ila Israel tayari ndo kaifuta Palestina, Baada ya Trump...
Wizara ya Katiba na Sheria imemwekea Rais Yoon Suk Yeol, zuio la kutosafiri nje ya nchi hiyo kwa maelezo kuwa inachunguza madai ya Uasi yaliyoambatana na Amri ya kuiweka nchi chini y Utawala wa...
Shirika la Habari la Serikali ya Syria,SANAA limeripoti kwamba,Msafara wa wanajeshi kadhaa wa Urusi pamoja na vifaa vya kijeshi vimeanza kuondoka nchini Syria.
Video kadhaa zimeonesha msafara wa...
Katika hali ambayo inaonesha kuwa ni kudhibiti bidhaa za China nchini Russia. Serikali ya Putin imeongeza kodi ya bidhaa za China ili kulinda bidhaa zake. Jambo ambalo limeshtua kidogo watu...
Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel.
Israel imetwaa eneo hili...
NATO wamecheza mchazo mkali sana wa kisiasa dhidi ya MRUSI.
Mosi, wameanzisha mtafaruku Lebanon kwa kumtumia mshirika wao mkubwa Israel, jambo ambalo limepelekea vikosi vingi vya Hizbullah...
Kiongozi wa waasi, Abu Mohammed al Jolani, ambaye kundi lake lilikuwa kitovu cha mashambulizi ya muda mfupi yaliyomaliza miongo ya udikteta nchini Syria mwishoni mwa wiki hii, ametumia miaka mingi...
Wakuu,
Hivi huyu baba Trump ana washauri kweli?
Hivi karibuni akiwa anaongea kwenye kipindi cha Meet The Press, amesema kuwa kwa sababu nchi wanachama wa NATO hawanunui bidhaa kutoka Marekani...
Sweden leo itatuma ndege pamoja yenye watu wenye asili ya Iraq Kwenda Iraq ambao WATAFUKUZWA KWA NGUVU (deportation) kutoka Sweden hadi Iraq. Baadhi ya Wairaq ambao watafukuzwa leo wamekuwa...
Wadau hamjamboni nyote?
Haya ni maoni yangu binafsi kwa Rais wa Iran
Naamini anakubalika na wote kuanzia mashariki hadi magharibi, kaskazini hadi kusini!
Mwenyezi Mungu azidi kumpa hekima...
Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa...
Haya mambo kiukweli yananichanganya Bado sijaelewa picha inayochezwa hapa.
Leo katika Hali inayoonesha kuwa Urusi imeutambua rasmi uongozi wa mpito wa waasi wa Syria imepokea mabadiliko ya...
Wanaukumbi.
🚨#BREAKING: Israel imezidisha uchokozi wake kwa kuingia katika miji mitano katika Milima ya Golan ya Syria.
Miji mitatu kati ya hii iko ndani ya eneo la buffer lililosimamiwa na UN...
Sheria mpya inayopendekezwa nchini Iraq inayolenga kupunguza umri wa ridhaa ya Ndoa kwa Wanawake hadi miaka tisa, jambo linalolenga kuruhusu Wanaume Nchini humo kuoa Wanawake wakiwa na Umri mdogo...
Utawala wa bashar al assad umeanguka
Utawala wa assad ungetakiwa uanguke miaka zaidi ya 10 iliyopita sema kilichokua kinamsaidia ni msaada wa russia na iran ulimfanya kuweza kudumu kwa mda wote...
Rais wa Uturuki katikati ya vita vya Gaza alitangaza ataingia Israel ili kuizuia Israel isiendelee kuwaua wapalestina,
Hilo jambo hakulifanya kamwe.
Anachokifanya sasa kuwapa silaha waasi na...
Ni rahisi muislam kushawishika na kua na nia, kuatayari kujitolea au kupigania dini bila ya kua na mpango unaoeleweka. kwa sababu hiyo, watu wenye mipango wanawatumia sana waislam kwa kigezo cha...
Russia walishaonesha kuwa hawawezi peleka wanajeshi kule Syria sababu nao wana kibarua kigumu na Ukraine.
Irani wamekuwa paralysed na israel hasa kile kipigo cha mwisho cha ndege za kuendeshwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.