International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Honestly, kuanguka kwa huyu mwamba kiboko ya mataifa ya magharibi kumenihuzunisha sana. Was it coincidence or planned. Mbona imekuwa haraka sana wakati jana tu nimeskia Hezbollah wametuma maelfu...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
% kubwa ya hawa makamanda walioongoza haya mapinduzi ni tawi la Al- Qaeda (Kikundi cha Waislam wenye itikadi kali) ambacho Us alisema ni MAGAIDI. Al- Qaeda ingawa kwa sasa hawavumi sana lakini...
0 Reactions
5 Replies
485 Views
Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imelalamikia shambulizi la anga linaloshukiwa kufanywa na Israel, ambalo limepiga jengo la ghorofa katika kitongoji cha Mezzeh mjini Damascus na kusababisha vifo...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Amani iwe nanyi ndugu zangu Mimi huwa najua waarabu ndo watu matajiri zaidi duniani nikiamini Mansour wa Man City atakuwa hata tajiri wa tatu au nne duniani kumbe hata kwenye matajiri mia mbili...
8 Reactions
59 Replies
2K Views
Baada ya utawala wa Assad kuondolewa, wananchi wa Syria wamevamia ubalozi wa Iran mjini Damascus na kuharibu mali ikiwemo Samani na komputa. Je mahusiano kati ya Iran na Syria yanaendelea Kama...
9 Reactions
15 Replies
769 Views
Kampuni ya Orano ya nchini Ufaransa imepoteza udhibiti wa mgodi wa Uranium wa Airlit wa nchini Niger uliokuwa ukiendeshwa na Kampuni tanzu ya Orano iitwayo Somair. Orano ambayo ni kampuni...
0 Reactions
1 Replies
213 Views
Afichua fununu za nia ovu za Rwanda Asema hatuziamini, lakini hatuzipuuzi Rais Jakaya Kikwete Rais Jakaya Kikwete, ameeleza kuhuzunishwa na jinsi serikali na viongozi wa Rwanda...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, Katika tukio la kihistoria la uchaguzi mkuu wa Ghana, John Mahama, Rais wa zamani na kiongozi wa chama cha upinzani cha National Democratic Congress (NDC), amerejea madarakani baada ya...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Nimeona beberu Trump yupo kwenye ikulu ya ufaransa wanagonga mvinyo na kina macron na zelewensk Kwanni wanamruhusu huyu mtu kufanya vikao wakati Biden hajakabidhi kijiti? Wajuzi mniambie kwann...
1 Reactions
10 Replies
662 Views
Wakuu, Waasi sio kwamba wameamua ku-deal na Bashar Al Assad tu, sasa hivi wamemkamata hata Wazri Mkuu wa nchi hiyo. Kwenye video inayosambaa kwa kasi mtandaoni, Waasi wa kundi la Dara...
5 Reactions
107 Replies
4K Views
UTAWALA WA SASA IRAN UNAMULIKWA KWA KURUNZI KALI, NA SABABU ZA IRAN KUFADHILI VURUGU MASHARIKI YA KATI Interview na Crown Prince Reza Pahlavi mwana wa Shah wa mwisho wa Iran Shah Mohamed Reza...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Tumesimama kando ya ikulu ya rais, moja ya jumba alimokuwa akiishi Assad. Watu wengi, wengi wakitoka vijijini, walivamia ikulu na wamekaribia kuharibu kila kitu. Kufikia wakati tunafika, mahali...
2 Reactions
4 Replies
624 Views
Shambulio la IDF Leo Gaza huko eneo la Beit Lahia limeua wapalestina 106 na kuacha maelfu wakijeruhiwa. --- Raia takriban 34 wa Palestina wameuwawa kufuatia shambulio la lililolenga jengo moja la...
6 Reactions
97 Replies
1K Views
HTS wametwaa madaraka kwa mtutu wa bunduki. Huu ndio uliokuwa msimamo wa marekani. Je, utaendelea kuwa ule ule au utabadilika ?
1 Reactions
14 Replies
543 Views
Ndege ya Assad aina ya Ilyushin II ilianguka mashambani mwa Homs ilipokuwa ikiruka kutoka Damascus kuelekea kutua Tartus. Ilikuwa imepotea kwenye rada kwa kasi ya kilomita 40 kwa saa. Ripoti za...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Mambo yameendelea kushika kasi huko Syria. Waandamanaji na wananchi wameingia kwenye Benki ya Syria (Central Bank Of Syria) na kuanza kubeba maburungutu na maboksi ya fedha. Kwenye video...
2 Reactions
12 Replies
912 Views
Si vyema kumtegemea bin adam tumche mola pekee ndugu zanguni. Huyu member ritz tumekuwa mara nyingi tukiandika nyuzi na kushare ideas kuhusu ukubwa wa Iran,Syria,Yemen, Hamas, Hizbullah na baba...
11 Reactions
22 Replies
703 Views
Wakuu, Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka. Huyu jamaa alikuwa anakula...
5 Reactions
55 Replies
2K Views
Baada ya 2015:, Game likaenda kuazishiwa Ukraine, then likahamishiwa October 7, 2023. Unaona kabsa jinsi gamela uvamizi lililofanywa na Hamas vile lietengenezwa. Haiingii akilini kwamba Shinbet...
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Back
Top Bottom