International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Hali ya upatikanaji wa umeme Nchini CUBA imezorota baada ya shirika la Umeme la Taifa yaani Tanesco ya Cuba kusema halina umeme wa kuweza kuwafikishia Wananchi ambapo umeme unaohitajika ni...
4 Reactions
45 Replies
1K Views
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, amemfuta kazi Waziri Mkuu Apollinaire de Tambela na kuvunja serikali ya nchi hiyo. Tamko lililotolewa na ofisi ya Rais Traore jana, Disemba 6...
0 Reactions
3 Replies
761 Views
Wafanyakazi wa kampuni ya kutengeneza magari ya Volkswagen ya huko Ujerumani walianza mgomo mnamo Jumatatu ya tarehe 2 Disemba 2024. Wafanyakazi hao walianza mgomo kupinga hatua zilizotangazwa...
5 Reactions
6 Replies
459 Views
Wadau hamjamboni nyote? Wahalifu waliovaa mask walichoma moto sinagogi katika shambulio la alfajiri Ijumaa katika jiji la Melbourne, Australia, polisi walisema, tukio lililozua lawama kali kote...
1 Reactions
2 Replies
369 Views
Mfanya biashara wa Vietnam mwanamama aliyehukumiwa kifo na mahakama ya Hoch Min City mwezi wa April kwa kosa la kughushi nyaraka na kujipatia fedha kiasi Cha Trillioni ishirini, na baadaye kukata...
1 Reactions
4 Replies
445 Views
(Representative image only). Chinese President Xi Jinping shakes hands with Russian President Vladimir Putin ahead of their talks in Moscow. Photo: Li Xueren/AFP Russia has secretly set up a...
0 Reactions
9 Replies
822 Views
Wanaukumbi. ⚡️ Vikosi vya Al-Qassam: Picha za shambulio la tatu la kuvizia likilenga askari na magari ya adui karibu na makutano ya Burj Awad katika kitongoji cha Al-Junaina, mashariki mwa Jiji...
5 Reactions
44 Replies
1K Views
Mtoto wa miaka 13 amefungua kesi dhidi ya wazazi wake akiwatuhumu kwa ukatili baada ya kumpeleka nje ya nchi, kisha kumsajili katika shule ya bweni, na kumtelekeza huko. Kwa mujibu wa taarifa...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Makampuni 13 ya Marekani yanayo jihusisha na uuzaji wa silaha yamekumbana na rungu la China kwa kuiuzia silaha Taiwan. == China imewekea vikwazo kwa kampuni zaidi ya kumi na tatu (13) za ulinzi...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Bwana Trump amewaonya wanachama wa BRICS kwamba wanacheza na moto Kwa Kuharibu kuunda sarafu Mpya Ili waepukane na Dola. Trump amesema ataweka vikwazo na kupandisha ushuru wa bidhaa na Huduma...
3 Reactions
9 Replies
412 Views
Wakuu, Tunapoongelea mambo ya demokrasia na uwajibikaji basi bila shaka Marekani inakuwa ni nchi mama. Hivi karibuni Speaker wa Bunge la Marekani amekataa ombi la Rais Joe Biden la kupeleka...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Jeshi la Syria limetangaza hatua ya "kuondoa majeshi kwa muda" katika mji wa kaskazini-magharibi wa Aleppo, ambako makundi ya waasi yalizindua shambulio la ghafla dhidi ya maeneo yanayoshikiliwa...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Joe Biden amefanya ziara ya kwanza Afrika mapema wiki hii kwenye nchi ya Angola mabapo huko amekutana na viongozi wa Afrika kujadili miradi ya kimaendeleo kwenye nchi hizo...
2 Reactions
6 Replies
562 Views
Eti MTU Anaota kuanguka kwa Marekani. Wake up from the Slamber
8 Reactions
19 Replies
765 Views
Think Tank: Simulation Predicts Taiwan Could Defeat China With US-Japan Aid in Invasion Scenario A simulation run by the Center for Strategic and International Studies (CSIS) think tank has...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Huyu alikimbia toka China bara akakimbilia Taiwan baadae akaenda kusaka hifadhi marekani kama mkosoaji mkubwa wa China. Imekuja gundulika alikuwa jasusi wa China ndani ya marekani. Inavyoonekana...
1 Reactions
7 Replies
680 Views
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH" watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni...
31 Reactions
233 Replies
8K Views
Tupate elimu kidogo wana JF: Hamas ni chama cha siasa ambacho kinatawala ukanda wa Gaza. Ingawa ni chama, lakini pia Hamas ni kundi la wanamgambo wenye silaha mfano wa jeshi. Hamas ni ufupisho wa...
2 Reactions
0 Replies
248 Views
Takriban kura 28,000 zilizopigwa katika uchaguzi wa rais na Bunge la Taifa nchini Namibia zimekataliwa na Tume ya Uchaguzi ya Namibia (ECN). Kulingana na matokeo yaliyotangazwa na ECN jana jioni...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Back
Top Bottom