International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge ! Huyu Rais...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Ndani ya white house. Picha zifuatazo ni ndani ya Kremli Pitia hii link kwa picha zaidi za white house ya marekani A look inside the White House Pitia hii link kwa picha zaidi za Kremlini...
9 Reactions
82 Replies
15K Views
Wataalamu wa mambo naomba kuuliza hivi zipi zilikua sababu za Uingereza kujitoa EU? Soma pia Kwa ushindi wa chama cha Labor, je luna uwezekano wa Uingereza kurudi European Union?
1 Reactions
14 Replies
560 Views
Updated - Kura zaidi ya milioni 4 na laki 3 zimepigwa TRUMP ANAONGOZA KWA ASILIMIA 74 Pia soma: LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
5 Reactions
76 Replies
2K Views
Huko Georgia kwa wiki moja sasa raia wanaandamana na kupambana na polisi baada ya chama tawala kusitisha kwa muda mpango wa nchi yao kujiunga na umoja wa Ulaya(EU). Kura mbalimbali za maoni za...
5 Reactions
16 Replies
910 Views
Marekani imesema kuwa haina mpango wa kuirudishia Ukraine silaha zake za nuclear ilizozichukua kufuatia mkataba kati yake na Urusi baada kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Ndugu zangu Ayatollah, najua mnafurahia makubaliano ya kusitisha vita, ila nawapa Pole. Hivi kweli Israel anawadanganya nanyie mnaingia King? Alafu Trump naye akawazuga, Et ohoo nitasitisha...
6 Reactions
39 Replies
1K Views
Kuanzia siku ya Alhamisi barabara kuu za zinzoeleke katikati ya jiji la Maputo na mji wa Matola zilikuwa kimya na zenye utulivu mno. Chawa na waandamanaji wanaomuunga mkono mgombea wa Urais...
11 Reactions
28 Replies
1K Views
Balozi wa Iran Lebanon aibuka Beirut baada ya matibabu, alijeruhiwa vibaya shambulizi la pager Septemba, atembelea eneo ambalo kiongozi wa Hezbollah hassan nasrallah aliuawa Wadau hamjamboni...
1 Reactions
2 Replies
436 Views
U.S. President Joe Biden arrived in Luanda Monday and was welcomed by Angola foreign minister Tete Antonio on an official state visit to the southern African nation. This is the first visit by a...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Leo katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Rand Corporation 2019. Hii ni ripoti yénye kuelezea mbinu ambazo Marekani na washirika wake wanaweza kutumia kwa ajili ya kuidhoofisha Urusi...
5 Reactions
16 Replies
959 Views
U.S. Government COVID-19 after action report is out .It clearly shows those who were called "Conspiracy Theorists" were RIGHT,and everyone else was wrong Hal Turner World December 02, 2024 The...
0 Reactions
3 Replies
302 Views
Mahakama ya Ubelgiji imeiamuru serikali ya nchi hiyo kuwalipa fidia wanawake watano waliochukuliwa kwa lazima kutoka katika familia zao katika enzi ya ukoloni wa Ubelgiji nchini DR Congo...
5 Reactions
27 Replies
718 Views
Mimi sijui kusimulia vyema. Ila habari imekaa kiutata sana hasa ukizingatia BBC wanavyojua kuconceal information. Wanadai alisababisha "disturbance" kwenye ndege iliyotakiwa kumrudisha baada ya...
2 Reactions
13 Replies
833 Views
Rais Joe Biden ametoa msamaha " kwa mtoto wake Hunter Biden, dhidi ya mashitaka yanayomkabili katika taarifa iliyotolewa na Ikulu Desemba 1, 2024. Hunter Biden alikua akisubiri kusomewa...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Wafanyakazi wa ngono nchini Ubelgiji sasa wanapata ulinzi sawa na wafanyakazi wa sekta nyingine kupitia sheria mpya ya kihistoria iliyopitishwa mwezi Mei mwaka huu na kuanza kutekelezwa siku ya...
4 Reactions
5 Replies
392 Views
Zaidi ya watu 76 wamefariki dunia na wengine 240 wamejeruhiwa kwa risasi nchini Msumbiji wakati wa siku 41 za maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi, kwa mujibu wa shirika lisilo la kiserikali...
1 Reactions
4 Replies
705 Views
Ukiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko...
2 Reactions
12 Replies
626 Views
Wanaukumbi hizi Imani za kumpigania Mungu zinaitesa Dunia, vita nyingi zinazohusisha vikundi vya kigaidi kama Hayat Tahrir al-sham inayoshusha kipondo kwa mashia ya Irani na Syria ni ya kidhehebu...
12 Reactions
65 Replies
2K Views
Habari njema kutoka Angola ni kwamba Bilionea raia wa Nigeria Aliko Dangote anatarajiwa kuwekeza kwenye ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta cha Lobito ( Lobito Refinery). Hayo yameelezwa...
1 Reactions
10 Replies
466 Views
Back
Top Bottom