International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

02 December 2024 Washington DC na Luanda Angola ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya...
2 Reactions
44 Replies
2K Views
Dkt. Panduleni Itula, mgombea urais wa chama cha Independent Patriots for Change (IPC), ametangaza kuwa chama chake hakitakubali matokeo ya uchaguzi mkuu unaoendelea, akidai kuwa kuna kasoro kubwa...
0 Reactions
8 Replies
391 Views
Wana report Al Jazeera. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa. Sisi huku tunasema Hezbollah wameshinda. Wao kule tena Al Jazeera wanasema tofauti kuwa Israel ilipiza kwa kuua watu wengi kuliko.
2 Reactions
54 Replies
1K Views
Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya...
16 Reactions
163 Replies
8K Views
Waziri Mkuu wa Ufaransa Michel Barnier ambae yupo njiani kurejea Ufaransa kutoka katika ziara nchini Saudi Arabia, anatarajiwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge la nchi hiyo na...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu Kuna video hii ikimuonesha Mwanajeshi wa Rwanda, ambaye amejikuta matatani nchini Msumbiji baada ya wananchi kumshtukia akiwa amevaa sare za jeshi la polisi wa Msumbiji na kumzonga wakitaka...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Nchi ya Botswana inatarajia kuanzisha kituo cha kufanya ithibati ya almasi zinazouzwa kwenye nchi za G7 ifikapo mwakani 2025. Hii inakuja kutokana na hatua ya nchi za G7 kuamua kutonunua almasi...
4 Reactions
9 Replies
694 Views
Ijumaa ya tarehe 27 September 2024, katikati ya makao makuu ya Hezbollah yaliyopo kwenye mtaa uitwao Danieh kwenye viunga vya jiji la Beirut nchini Lebanon: Kikao cha kimkakati kilikuwa...
25 Reactions
48 Replies
3K Views
Baada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya...
10 Reactions
78 Replies
2K Views
Mke wa Rais wa Korea Kusini Bwana Yoon amekuwa na kashfa nyingi za Rushwa hapo Korea Kusini. Moja ya kashfa ni kutoa upendeleo kwa mgombea nafasi ya ubunge na kushirikiana na makampuni...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
NATO wana ofisi( liaison officer) kwenye makao makuu ya Umoja wa Afrika ( AU) yaliyopo Addis Ababa Ethiopia. Ofisi za NATO ziko hapo tangu mwaka 2015. Viongozi wanaouhusika na masuala ya kijeshi...
0 Reactions
7 Replies
591 Views
Silaha za nyuklia ni mojawapo ya uvumbuzi wenye nguvu kubwa zaidi uliofanywa na binadamu. Tangu majaribio ya kwanza ya bomu la nyuklia mnamo 1945 huko New Mexico na matumizi yake katika Hiroshima...
7 Reactions
13 Replies
677 Views
Wanajamvi kuna suala la USA kutowaamin vijana kwa upande wangu nimeshuhudia masenators wengi ni wazee ha hata viongozi mbalimbali wa mataasisi na hata pia cabinet secretaries na member of house of...
1 Reactions
9 Replies
364 Views
Wakuu, Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana. Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji...
1 Reactions
1 Replies
277 Views
Rais Joe Biden wa Marekani wiki hii alifanya ziara ya siku tatu nchini Angola, akihangaika kutimiza ahadi ya “kufanya ziara barani Afrika ndani ya muhula wake” kabla ya kuondoka madarakani muda...
0 Reactions
3 Replies
389 Views
Wakuu wa Majeshi kutoka nchi za Niger, Mali na Burkina Faso zinazounda umoja wa nchi za Sahel ( AES ) wamekutana na kufanya kikao nchini Niger jana tarehe 3 Disemba 2024. Wakuu hao wa majeshi...
4 Reactions
10 Replies
622 Views
Kila inapozungumziwa Cuba mara nyingi sifa zake huwa ni mfumo mzuri wa afya tu ulioweza kuzalisha madaktari wengi hadi wa ku export na sekta ya uzalishaji madawa iliyoshamiri. Huwezi kusikia...
5 Reactions
43 Replies
1K Views
Viwango vya uungwaji mkono wa marais na kupungua ushawishi wao duniani na kwenye nchi zao,tunaweza kutumia vyanzo vya kimataifa vyenye kuaminika kama Morning Consult, ambayo hutoa takwimu za...
4 Reactions
53 Replies
2K Views
Netumbo Nandi-Ndaitwah wa chama tawala cha Swapo nchini Namibia amechaguliwa kuwa Rais, na hivyo kuwa kiongozi wa kwanza mwanamke nchini humo. Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Back
Top Bottom