International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Syrian rebel advance brings exiled Aleppo residents back to city Syrian opposition fighters have pushed Assad’s forces out of Aleppo, allowing exiled residents to return for the first time in...
4 Reactions
77 Replies
3K Views
Wakuu. Hata baada ya kusema kuwa this time around hatohusisha wanae kwenye uongozi wake, Trump inaonekana ameendelea kuteua watu wake wa karibu. Hivi karibuni Donald Trump amemteua Massad...
0 Reactions
5 Replies
361 Views
Waziri Mkuu wa Ufaransa Michel Barnier anakabiliwa na kura ya kutokuwa na imani dhidi ya serikali yake ya wachache baada ya kutumia mamlaka maalum kupitisha muswada wa bajeti ya hifadhi ya jamii...
0 Reactions
1 Replies
241 Views
Wanaukumbi. NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi." "Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na...
5 Reactions
65 Replies
2K Views
Toka mwanzo nlisema hawa Israel suala la watu wao kutekwa walikuwa wanatafuta tu sababu. Now wamezidi imega Gaza. Wame advance kuchukua eneo kubwa zaidi Gaza. Wamejiongezea maeneo zaidi. Hawa...
7 Reactions
82 Replies
2K Views
Jeshi la Mali limefanikiwa kumuua kiongozi wa juu wa kundi la kigaidi linalowashambulia raia katika eneo la kaskazini la nchi huyo. Katika taarifa iliyotolewa kupitia televisheni ya taifa, jeshi...
4 Reactions
18 Replies
687 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kazi kazi IDF hawajapoa Hadi wamalize shughuli Kituo cha kijeshi cha kutengeneza silaha za kemilali na makombora ya kisasa ya masafa marefu kikiwa huko Syria...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Katika muhula wa Biden na Harris, wahamiaji haramu zaidi ya milioni 20 wameingia Marekani, wengi wakitumia mpaka wa Mexico na baadhi Canada, wahamiaji haramu wengi hasa wa wanaoingia kwa mpaka wa...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Biashara ya kukodisha Wachumba feki Nchini Vietnam imezidi kushamiri na kuendelea kukua siku hadi siku ambapo Vijana wamekuwa wakikodisha Wachumba hao na kwenda nao katika sherehe za familia ili...
1 Reactions
0 Replies
190 Views
Wow!The one World Digital Currency is almost here, but first they have to collapse the global financial system to make way for it.The collapse is done right in front of our eyes,but It is so...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Waziri Mkuu, Choguel Maiga, ameondolewa Madarakani na Utawala wa Kijeshi akidaiwa kuikosoa Serikali kwa kutofanya Uchaguzi ndani ya miaka miwili kama ilivyoahidi tangu ilipofanya mapinduzi. Maiga...
2 Reactions
6 Replies
679 Views
Vita nchini Lebanon ilipokuwa inaelekea mwisho, mzozo mwingine mkubwa umezuka Mashariki ya Kati - au labda si mpya sana. Waasi wa Syria wanaopinga serikali wameanzisha mashambulizi ya haraka dhidi...
19 Reactions
435 Replies
12K Views
wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua. Israel...
13 Reactions
132 Replies
4K Views
Dua, maombi, mifungo ya Mara kwa Mara ndiyo Siri ya mafaniko ya Israel. Taifa la Israel linaombewa Sana duniani na mataifa yote. Jambo la kushangaza hata wa Palestina na wairan wakristo wanaomba...
3 Reactions
38 Replies
790 Views
Rais mteule wa Marekani Donald Trump, bado kuapishwa kwa ajili ya kuanza kazi yake ya urais katika nchi hiyo; lakini kuna vikao huwa vinafanyika kati ya yeye na viongozi mbali mbali kutoka nchi...
0 Reactions
9 Replies
565 Views
Committing your all to Jesus Scripture: Romans 12:1-2 Romans 12:1-2 [1]Therefore, I urge you, brothers and sisters, in view of God’s mercy, to offer your bodies as a living sacrifice, holy and...
3 Reactions
11 Replies
524 Views
Jana, rais mteule Donald Chizz Trump, aliwateua vivyele vyake yaani mkwe wa mwanae wa mwisho Tiffany mwarabu aitwaye Boulos kuwa mshauri wake wa masuala ya mashariki ya kati na mkwe mwingine wa...
2 Reactions
4 Replies
356 Views
Waislamu wa Hamas wafanya ibada ya mazishi ya Kiongozi wao aliyeuawa Sinwar bila maiti yake kuwepo je kiislamu iko sawa? Kufanya ibada ya mazishi bila mwili kuwepo? Wanazika hewa au? Halafu cheki...
11 Reactions
67 Replies
4K Views
Kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Aviation & Aerospace huko China, almaarufu Zhuai Air Show jamaa wamefanya yao. Wametuletea fighter wanaiita Baidi kwa lugha nyepesi “White Emperor” ambayo...
27 Reactions
142 Replies
5K Views
Back
Top Bottom