International Forum

News and Stories from rest of the World

JF Prefixes:

Kati ya kazi nzito bwana Donald Trump alizo nazo ukiondoa changamoto za ndani ni kupambana na haya mataifa yanayo tishia usalama wa marekani kwa miaka mingi ijayo. Moja kati ya kazi tukufu...
1 Reactions
54 Replies
2K Views
Dollar ni sarafu ya Marekani na inayotumiwa na Dunia nzima licha ya kuwepo sarafu mbali mbali zinazoundwa na baadhi ya umoja wa nchi mbalimbali kama Africa Mashariki, Umoja wa Ulaya n.k na lengo...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna watu hakuna Jema la Russia duniani kama ilivyo watu wengine wanaoamini Marekani haina Jema hata Moja hufanya duniani. Sasa kwa watanzania wenzangu, huwa mnatumia kigezo gani kuamua kuwa...
0 Reactions
26 Replies
577 Views
Ndoto ya kujaribu kuondoa ushawishi wa sarafu ya dola ya Marekani katika mfumo wa biashara duniani unaofanywa na Russia na China inaonekana haitazaa matunda yoyote kama inavyo chambuliwa hapa na...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Siku ya tarehe 20 Novemba 1979. Ilikuwa ni tarehe ya kwanza ya Muharram. Msikiti mkubwa zaidi wa Makka ulijaa mahujaji wa Pakistani, Indonesia, Morocco na Yemen pamoja na wenyeji. Katika umati...
5 Reactions
35 Replies
1K Views
🚨HABARI: Donald Trump kumuekea vikwazo jaji mkuu wa mahakama ya ICC Karim khan kwa maamuzi ya mahakama hio ya kutoa hati ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu 🚨NEWS: Donald...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Habari Wandugu, Mbona sioni mada yoyote jinsi Urussi alivyochakazwa na ukraine juzi? 24 Nov 24? Nasikia mpk machuma sijui S400 chakazwa vibaya, kambi ya jesh na top leader wanne wame R.I.P sa hiv...
1 Reactions
7 Replies
600 Views
Wahindi wengi wanaikubali Sana Israel. Wahindi huwambii kitu kuhusu Israel. Wanaikubali Sana Israel. Kumbuka India ina watu 1.4 billion na Israel 10 million lakini wako obsessed Sana na Israel...
11 Reactions
99 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Sauti ya Kimamlaka anayotumia Donald Trump, ni lazima ukubaliane namimi kua, Mungu aliyanusuru Maisha yake Kwa Kazi maalumu. Jamaa hata hajaapishwa, lakini tayari kaanza Kazi mara...
43 Reactions
236 Replies
9K Views
Hezbollah ilithibitisha "kupata ushindi" dhidi ya Israel, ambayo iliitaja kuwa "adui wa kufikirika", kwa zaidi ya miezi 13, baada ya usitishaji mapigano kuanza kutekelezwa na maelfu ya watu...
17 Reactions
131 Replies
3K Views
Jeshi la Israel limesema limeharibu kituo kikubwa zaidi cha kutengeneza makombora cha Hezbollah huku ikiwa wameingia makubaliano ya usitishwaji wa mapigano kati yao Hii hapa animation ya kituo...
7 Reactions
57 Replies
2K Views
Familia imenogewa na kiti cha Urais baada ya Mume sasa Mke naye akitamani kiti hicho! =================== Mke wa Rais wa zamani wa Ivory Coast, Simone Ehivet Gbagbo ametangaza kuwa atagombea...
1 Reactions
3 Replies
333 Views
Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, amesema kuwa Ufaransa inapaswa kufunga kambi zake za kijeshi nchini humo, wakati taifa hilo linajiandaa kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 80 ya mauaji ya...
5 Reactions
77 Replies
2K Views
Akitembea kwenye red capet
1 Reactions
13 Replies
517 Views
Mkurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Upelelezi wa Fedha (ANIF) nchini Equatorial Guinea, Baltasar Ebang Engonga, ameonekana akiwa amefungwa pingu na kupelekwa kituo cha polisi baada ya video za...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
Salaam, Shalom!! Mikwara ni mingi duniani Kwa sasa, mashariki, magharibi, kaskazini na kusini. Silaha nzito za maangamizi Kila Taifa kubwa linazo, ni kutishana tu, haitakuwepo vita kuu ya tatu...
5 Reactions
61 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Rais Biden siku ya Ijumaa alichukua nakala ya kitabu ambacho kilielezea Israeli kama nguvu ya kikoloni katika kukabiliana na upinzani wa Wapalestina licha ya kuunga mkono...
5 Reactions
15 Replies
938 Views
Wakuu, Rais wa Urusi Vladimir Putin anadaiwa kuwa na mtoto wa siri ambaye anaishi Ufaransa na kufanya kazi kama DJ kwa kutumia jina bandia. Elizaveta Krivonogikh, mwenye umri wa miaka 21...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Kim Jong Un Alihudhuria shule ya serikali ya Liebefeld Steinhölzli huko Köniz, karibu na Bern, chini ya jina "Pak-un" au "Un-pak" kutoka 1998 hadi 2000 kama mtoto wa mfanyakazi wa ubalozi wa Korea...
8 Reactions
15 Replies
855 Views
Back
Top Bottom