Hapa sasa nachanganyikiwa niwe upande upi. Maana Uturuki ndo Ottoman Empire yenyewe na movies zake zinaoneshwa sana Azam. Sasa wanapopambana na Syria... Napata kigugumizi. Putin safi sana.
Update: Nimeleta habari za kisomi nashangaa kuna watu wameanza kuingiza mihemko ya kidini, Tatizo nini ?
Katika kampuni za teknolojia, idara ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design) inahusika...
Marekani inataka sana Israel isimamishe mapigano huku juu juu. Lakini kwa ndani ni kama inawaambia endeleeni kushikilia hapo hapo. Israel inaendeleza kipigo huko Lebanon ni kama haitaki mapigano...
Israel ni nchi yenye maajabu mengi Sana ya kushangaza.
Nchi ya Israel ipo Katikati ya dunia ki geography. Ni karibu na Africa, Asia, Europe.
Ukufika Israel, kuna bahari inaitwa dead Sea. Bahari...
Wababe wa kivita kutokea pande za redsea "Yemen", Wanamgambo wa Houthi wameenda Urusi kusaidia mapambano.Ripoti inasema idadi kubwa ya wanamgambo wamechukuliwa na Urusi kwenda kupigana na vikosi...
Na kweli ukiangalia kipindi chake Iran ilifulia vibaya mno, walibanwa kisawa sawa kwenye uchumi, Ni kipindi ambacho Iran na vikundi vyake walikuwa wanajifikiria mara nne nne kuishambulia Israel...
Katika kudhihirisha unafiki wake nchi ya Ufaransa ilitumia neno "Rais" wakati wa kuripoti habari iliyomuhusu Rais wa Gabon aliyeingia madarakani baada ya mapinduzi ilihali nchi hiyo hutumia neno "...
Rais wa mpito wa Chad, Mahamat Deby Itno
Serikali ya Chad imeamua kusitisha makubaliano ya ushirikiano wa ulinzi na Ufaransa, ikiwa ni hatua ya kihistoria ya kujipambanua upya kuhusu uhuru wa...
Baada ya Donald Trump kuchaguliwa tena kuwa Rais, tunaweza kutarajia maendeleo makubwa kutoka kwa Elon Musk, hasa kwa sababu ya ushawishi wake mkubwa katika sekta za teknolojia, nishati, na anga...
Bunge la Uingereza (House Of Common) leo limepigia muswada kura muswada wa “assisted - dying” wa wagonjwa ambao wana terminal illness kuweza kusaidiwa kujiuwa.
Wabunge 330 wamepiga kura ya ndio...
Wanaukumbi.
⚡RNN: Vyombo vya habari vya Kizayuni vinaripoti: "Siku ngumu kaskazini mwa nchi... maroketi yanaruka kama ndege, na tahadhari zinaendelea. Hezbollah inawadhihirishia wafuasi wake...
Mataifa ya Ulaya na Amerika yanaendelea kutoa onyo kwa Gaidi Benyamini Netanyahu zitamtia mbaroni na kumpiga tanganyika jeki atakapo gusa ardhi zao
Pia, soma: Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu...
Ni wazi kuwa Iran ilishambulia makombora ya balistiki takriban 200 Jumanne jioni hii, kuelekea kwenye vituo vya kijeshi na kijasusi vya taifa la Israel kama shambulio la kulipiza kisasi lililoitwa...
Viwanda vya kusafisha mafuta ( oil refineries) vya barani Ulaya vimeanza kuonja joto la jiwe baada ya kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote kuanza kufanya kazi.
Kiwanda hicho cha Dangote...
Unaweza kuiita njia nyepesi ama ngumu kutokana na mtazamo wako ambayo Urusi yampasa au anaweza kuichukua ili kumdhibiti marekani dhidi ya hatua zake anazo chukua kupitia vita vya Ukraine katika...
Katika mgogoro wa Israel na Wapelestina ni wazi mpango wa mataifa mawili kama umeshakufa kimya kimya. Fursa moja kubwa iliyobaki ni uwepo wa taifa moja lenye kujumuisha jamii zote mbili za...
Kwa mara ya tatu katika historia ya mazayuni wanasalimu amri bila kupenda kwa Hezbollah.
hdezbollah ni kikundi cha mgambo lkilichoanzishwa mwaka 1982 kwa lengo moja tu. Kuhakikisha mazayuni...
Utawala wa Saddam na Gaddafi ulichelewesha Sana Maendeleo ya haya mataifa.
Kuondolewa Madarakani kwa Saddam Hussein na Gaddafi Kulionekana kwamba kungeleta Machafuko. Cha ajabu mataifa haya...
Wanaukumbi.
Maafisa wa Hamas 'wanakaribia kufikia makubaliano ya mapatano' na Israel na kundi hilo limetoa majibu yake kwa wapatanishi wa Qatar, Ismail Haniyeh alisema katika taarifa.
Taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.