Serikali ya China imesema inapinga vikali hatua ya Marekani kulenga kuyadhoofisha ama kuyaua makampuni ya kimtandao ya kichina.
China imeitaka Marekani kuendelea kuweka mizania sawa ya kibiashara...
Mfalme wa zamani wa Uhispania, Juan Carlos, ameamuwa kuihama nchi yake katika uamuzi wa aina yake unaolenga kuunusuru ufalme baada ya mkururo wa tuhuma za ufisadi dhidi yake na wakati waendesha...
Zimbabwean President is giving away#Zimbabweto the same colonial settlers who stole it.
Compensating Criminals who violently stole Zimbabwe natural resources, Minerals and Land from Indigenous...
Msemaji wa gavana wa mkoa wa Nangarhar nchini Afghanistan anasema zaidi ya wafungwa 300 bado hawajulikani walipo baada ya shambulizi la kundi la kigaidi linalojiita dola la kiislamu katika gereza...
Update: Multiple Rockets/Mortars were fired from Syria towards Israel causing damage to a civilian car and house in Madjal Shams from what I can tell, this doesn't appear to be an ATGM. Israel...
Mkuu wa zamani wa Kanisa Katoliki, Papa Benedict XVI, anaripotiwa kuumwa sana baada ya kumtembelea kaka yake aliyekuwa mgonjwa nchini Ujerumani mwezi Juni na sasa hali yake ni dhaifu sana...
Mabibi na mabwana moja kwa moja kwenye mada.
Ajabu na kweli pana watu wanakereka mno waonapo tunaandika kuasa na kukumbusha ili kwamba maisha ya watu yakiwamo na yao, yaweze kulindwa. Watu hawa...
Rais wa Brazil Jair Bolsonaro yuko nchini Marekani kwa ziara ya siku mbili. Ziara hiyo inaakisi mabadiliko ya nchi yake kuegemea sana upande wa msimamo wa Marekani. Akiwa MArekani, Rais Bolsonaro...
Rais Donald Trump ametangaza kuwa ndani ya siku 45 zijazo atazuia mitandao ya kijamii ya TikTok na WeChat inayomilikiwa na wachina kama isipouzwa kwa wamarekani ndani ya siku 45 zijazo
Trump...
Huge foreign loans are given to sovereign nations by the World Bank, IMF and the likes. But the conditions that come attached to these loans are seldom told by governments to their citizens.
A...
Hivi karibuni serikali ya Marekani imetishia kuipiga marufuku app ya TikTok ya China, hatua ambayo imezua wasiwasi mkubwa hasa kwa wadau na watumiaji wa app hii duniani.
Inaonekana kuwa Marekani...
Watu wapatao 50 wameuawa kwenye maandamano yanayofanyika katika mkoa wa Oromiya nchini Ethiopia baada ya kuuawa mwanamuziki maarufu nchini humo. Wakati huo huo mwanasiasa wa upinzani Jawar Mohamed...
ADDIS ABABA (Reuters) - Ethiopia has started filling the Grand Renaissance dam, a giant hydroelectric project it is building on the Blue Nile, its water minister said on Wednesday, a day after...
Mwezi uliopita Trump alitangaza kua ataipiga marufuku TikTok na mitandao mingine ya kichina nchini Marekani kwa tuhuma kua inatumika na serikali ya China kuiba data.
Leo Trump ametangaza kua...
Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kutumia mkono wake mrefu na wenye nguvu kuiwekea vikwazo kampuni ya Huawei kutoka China, sasa mbinyo huo umeifikia Brazil.
Balozi wa Marekani nchini...
Meat, is something you are guaranteed to find in each and every food outlet or eateries , provided they are not strictly vegeterian outlets. Meat is consumed by a large percentage of earth...
Blood Money Out Of Africa
[On 6 April, 2001 Congresswoman Cynthia McKinney (D), GA. Boldly sponsored a forum on the totally ignored rape of Africa - a key part of the current headlong rush...
Bwana Duterte akihutubia taifa wiki iliyopita kabla ya kutoa matamshi yake tatanishi
Rais wa Ufilipino Rodrigo Duterte amesema kwa mara nyingine tena kuwa watu watumie petroli kuosha barakoa - na...
This article is about the Top ten alcohol consuming countries in Africa. Drinking alcohol is part of the larger African culture, and we are known to appreciate good food when it is served with...
A lot of young people live their early lives, very wrongly and based on the opinion of friends, books and even influence from social media and this is quite pathetic because they may spend the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.