International Forum

News and Stories from rest of the World
Na Jumaa Kilumbi, Kama umekuwa ukifuatilia Mitandao ya Habari, Televisheni au Redio katika wiki za hivi karibuni ni dhahiri utakuwa umeona mfanano wa vichwa vya habari katika vyombo vingi vya...
24 Reactions
162 Replies
14K Views
Jamhuri ya Chile | Republic of Chile au República de Chile Chile ni taifa linalopatikana bara la Amerika Kusini likiwa na mipaka baina ya Ajentina, Bolivia, Peru, milima ya Andes na bahari ya...
15 Reactions
50 Replies
5K Views
Mzuka wanajamvi! Nilidhani ni maskini wa bongo tu wenye roho mbayaaaaaa! Uchumi wa Chile ulikuwa unapaa kwa kasi ya ajabu. Na kuzalisha tabaka kubwa la middle class kwa serikali kuweka mazingira...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi ameamuru kuwa wabunge na wafanyakzi wote wa chombo hicho watapaswa kuvaa barakoa katika kipindi chote cha janga la virusi vya corona. Akizungumza bungeni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa Vikosi Vyote vya Majeshi ya Iran amepuuzilia mbali vitisho vya Marekani kuhusu kuishambulia kijeshi Iran na kusema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kwa vita vya kuamua mshindi na mshindwa...
2 Reactions
252 Replies
44K Views
Kiongozi wa Hong Kong, Carrie Lam ameonya kuwa Jiji hilo lipo mbioni kukumbwa na mlipuko mkubwa wa CoronaVirus ambao unaweza kupelekea hospitali kuzidiwa Taarifa ya Lam imesema mlipuko huo...
1 Reactions
0 Replies
978 Views
Mwaka 2013 akiwa nchini Indonesia, rais Xi Jinping wa China alipendekeza rasmi kuanzishwa kwa Benki ya Uwekezaji wa Miundombinu ya Asia (AIIB) kwa lengo la kuboresha mazingira ya kijamii na...
2 Reactions
0 Replies
708 Views
Bolivia, Estado Plurinacional de Bolivia, Plurinacional States of Bolivia au Tetã Hetãvoregua Mborivia Jamhuri ya watu wenye asili mbalimbali katika Bolivia ikifahamika kama BOLIVIA ni taifa...
7 Reactions
47 Replies
4K Views
China imetangaza leo kuwa inasimamisha mkataba wa kubadilisha wahalifu kati ya kisiwa chake cha Hong Kong na mataifa ya Canada, Australia na Uingereza, kama ulipizaji kisasi kwa maamuzi ya nchi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mahakama nchini humo imewahukumu Wanawake 5 wenye ushawishi katika mitandao ya kijamii kifungo cha miaka 2 jela kila mmoja kwa kosa la kukikuka maadili ya umma Hukumu iliyotolewa kwa Haneen...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shirika la Fedha Duniani (IMF) limeidhinisha mkopo wa Dola za Marekani Bilioni 4.3 kwa Afrika Kusini ili kuiwezesha nchi hiyo kupambana na janga la CoronaVirus Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia, Najib Razak amekutwa na hatia katika mashtaka 7 ya ufisadi yaliyokuwa yakimkabili na kuhukumiwa kifungo cha miaka 12 pamoja na faini ya Dola Milioni 49 (zaidi ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
The young man you are seeing in the picture below is Shakirudeen by name, and his nick name is Boneyics, he is a British contortionist of Nigeria decent. This young man took part in the...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
West Africa leaders take tough decisions on Mali, ask 31 MPs to resign Hollywood A-Listers' biggest box office flops West African leaders on Monday adopted a tough...
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Wakati Marekani ikiwa na raia wa kutoka mataifa mbalimbali Kama Hispania,Ureno,Mexico Africa Uingereza n.k Urusi ina raia kutoka nchi yenye watu wa jamii ya Kichina au kimongolia,Raia wenye asili...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya masaa 72 waliyopewa kuisha, Watumishi wa Ubalozi mdogo wa Marekani wameondoka na Wizara ya Mambo ya Ndani ya China imesema Watumishi ambao ni raia wa nchi hiyo wameingia na kuchukua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
LET US RE-ELECT Hon.DONALD TRUMP for 2nd TIME for PROFIT of AMERICANS(US) and THE WORLD at ALL. We have to look on US citizens life and not Political matters. Trump solved some difficult issues...
3 Reactions
8 Replies
993 Views
Morocco imepiga marufuku safari zote za ndani na nje ya Miji ya Tangier, Tetouan, Fez, Meknes, Casablanca, Berrechid, Settat na Marrakesh kudhibiti maambukizi ya #CoronaVirus Taarifa ya pamoja ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Uingereza ametoa wito kwa wananchi kupunguza uzito na kufanya mazoezi ili kuepuka hatari za kiafya na vilevile kujikinga na COVID19 Serikali imezindua kampeni ya Afya Bora ambapo...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais wa Rwanda, Paul Kagame ametangaza siku 3 za maombolezo kuanzia leo hadi Julai 29 kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Benjamin William Mkapa (81) Rais Kagame ambaye pia ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom