It goes without saying that the reason Africa will face the worst of Covid-19 last is because we are very poorly connected to the rest of the world.
We do very little business with the rest of...
Serikali ya uingereza inafikiria kuanza kuwataka wapelelezi wote wa kigeni(foreign spies) wanao ishi nchini humo kusajiliwa kwenye register ya wapelelezi wa kigeni.
Wapelelezi wote wanaishi kwa...
17 people dies in Delta tanker explosion
17 people have reportedly died in the petrol tanker explosion which occurred at Koko Junction on the Benin/Sapele Expressway in Ethiope West...
Urusi yatarajia kupunguza matumizi kwa jeshi lao kwa 5% kwa mwaka 2021 hadi 2023 kutokana na kupungua kwa bei za mafuta na janga la COVID19 lilivyoathiri uchumi wa nchi hiyo
Kwa takwimu za mwaka...
Nimeshangazwa na habari kuwa Madagascar inaoma msaada wa kupambana na corona wakati wana dawa. Nikafuatilia dawa yao iliyoletwa Tanzania kujua utafiti ulionyesha nini juu ya dawa hiyo - sikupata...
| Jamhuri ya Panama, Republic of Panama au República de Panama ni taifa linalopatikana Amerika ya Kaskazini na kwa kiasi Amerika ya Kati. Panama yenye ukubwa wa 78,200 Square Kilometers sawa na...
Huko Afrika Kusini lori lililokuwa limebeba sampo za vipimo vya Virusi vya Corona ambalo lilikuwa limepaki maeneo ya packing za magari mengine wezi wameliiba hilo lori na kutokomea nalo...
Urusi Yakataa Ombi La Irani Kuuziwa Mfumo Wa Ulinzi Wa Makombora Wa S-400
Urusi imekataa ombi la Irani kuuziwa mfumo wa ulinzi wa anga wa S-400, kukiwa na wasiwasi kuwa uuziwaji huo ungeweza...
Baada ya India kuingia kwenye mgogoro wa China, kampuni ya mawasiliano ya Airtel inatarajia kuachana na kampuni ya Huawei.
Airtel imeikaribisha kampuni ya Errickson kutoka Sweden kupata vifaa vya...
An explosion was reported Sunday at the Islamabad power plant in Iran’s central Isfahan province, the latest in a mysterious set of explosions and blazes that have rocked the Islamic Republic...
Bunge la Zambia limelazimika kufungwa baada ya Msajili wa Bunge, Rogers Mwewa kufariki baada ya kupatwa na CoronaVirus
Mwewa aliugua na kufariki, ameshazikwa Julai 21. Makamu wa Rais, Inonge Wina...
Rais Donald Trump amewataka wamarekani watumie barakoa. Awali, Rais Trump alikuwa havai barakoa kwa madai kuwa hazina msaada wowote, ila sasa amesema ataanza kuvaa
Nchi hiyo imerekodi vifo 1,000...
Kwa hii kasi ya maambukizi naanza kuamini kabisa kuwa china walidanganya. inawezekanaje ugonjwa uanzie kwao wadhani ni ugonjwa wa kawaida watu wajichanganye mitaani kwa miezi miwili ndipo mgundue...
Mkanganyiko wa elimu uliosababishwa na janga la COVID-19 unawazuia watoto kuanza kupata elimu yao wanayostahili ilisema taarifa ya UNICEF
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya...
Hivi karibuni, Marekani imefanya kila iwezalo kwa kisingizio cha “usalama wa taifa” kuidhoofisha kampuni ya teknolojia ya Huawei, hata kuikashifu kuwa “mkiukaji wa haki za binadamu” na kutangaza...
Historia ipo clear kabisa.tuelewe mgogoro wa israili na Palestine unashinikizwa na mataifa makubwa.
Mnafahamu nchi nyingi zimekuwa na mgogoro wa ardhi na mipaka mnafahamu India na Pakistani...
Angry EU leaders struggle to save deadlocked COVID-19 recovery summit
Squabbling EU leaders battled on into the early hours of Monday to try and break the deadlock as their summit on a huge...
Mafanikio ya Taiwan dhidi ya Corona yamesababisha iongeze umaarufu duniani na kutambulika zaidi, hii imefanya China inune sana maana huwa haitaki dunia kuitambua Taiwan kama taifa huru.
========...
Mahmoud Mousavi Majd amehukumiwa kufa kwa tuhuma za kupeleka taarifa za kiusalama za Iran kwa wamarekani na kufanikisha mpango wa kumuua Qassem Soleimani. Majd ameuawa Julai 20, kwa amri ya...
Africa wazungu humshangaa mfalme mswati na kuoa kwake kila mwaka, Bulgaria kuna mnada ambao wazazi wenye watoto wa kike kila mwaka mwezi wa kumi huwapeleka watoto wao mnadani kwenye mnada mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.