Achana na China vuka mpaka Rusumo nenda kigali chukua mzigo wa kutosha simu za smartphones kutoka kiwandani ndani ya kigali, Kahama, mwanza, bukoba, shinyanga kazi kwenu.
Shirika la Afya Duniani |(WHO) limeripoti kwa siku ya pili mfululizo juu ya kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona duniani, huku jumla ya visa vya vipya ikipindukia 259,000 katika muda wa...
Syria inatarajia kufanya Uchaguzi wa Bunge katika maeneo yanayodhibitiwa na Serikali leo, ikiwa ni takriban miaka 20 ya Rais Bashar al-Assad kuwepo madarakani
Zaidi ya wagombea 2,000 wakiwemo...
Hivi ni kwanini makundi ya kigaidi hayaishambulii Russia ukilinganisha na yanavozishambulia nchi za Ulaya German, France na hata Marekani
Russian ni moja ya nchi ambayo pia ina control au...
Kama mtakumbuka mwanzoni mwa ugonjwa wa Corona nchi ya Madagascar ilijinai kugundua dswa ya kutibu Corona na kuanza kuuza nje ya nchi ambapo hata Tanzania tulituma ndege ya Rais kwenda kuzoa...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amepongeza familia ya Rais wa kwanza wa nchi hiyo Nelson Mandela kwa kusema wazi kwamba binti yao, Zindzi, alikufa kwasababu ya ugonjwa wa virusi vya corona...
Uongozi wa Mtandao huo umekiri kuwa Wadukuzi walifanikiwa kuingilia akaunti za watu maarufu wakiwemo Barack Obama, Elon Musk, Kanye West pamoja na Bill Gates
Akaunti hizo zenye idadi kubwa ya...
Chama cha wamiliki wa bunduki wa Marekani, National Riffle Association kimetangaza kumuunga mkono Rais Donald J. Trump au maarufu kama Tarrif Man kwenye uchaguzi mkuu ujao wa November 3, 2020
NRA...
Hivi karibuni Umoja wa Mataifa UN umetoa ripoti ya mwaka 2020 ambayo inaonesha hali ya chakula na lishe sio ya kuridhisha hata kidogo.
Ripoti hiyo ya hali ya usalama wa Chakula na Lishe...
Ayatollah mwaka huu analo[emoji1313] badala ya kutibu watu wake Corona yeye anawaza waza tu kufadhili magaidi wa Kishia tu huko mashariki ya kati na huku
Virusi vya corona : Watu milioni 25...
.....
Hii ndio AC-130, Ni dege la mashambizi mazito kutoka katika jeshi la marekani na makazi yake ya kudumu ni HURLBURT FIELD, Fla. Na linahudumu kutoka Kikosi cha 4 cha Operesheni Maalum...
An Iranian power plant has been hit by an explosion, the country’s official news agency has reported.
There were no casualties after the blast in the central Isfahan province, according to IRNA...
Naibu Mkuu wa Kamati ya Kisiasa ya Baraza la Mpito la Uongozi nchini Sudan amekanusha madai kuwa nchi hiyo inahusika katika mapigano yanayojiri nchini Libya au kutuma mamluki nchini humo.
Luteni...
CNN)The US has "several" intelligence indications that Iran has put portions of its air defense system on "high alert" in recent days, following unexplained explosions at key facilities tied to...
Licha ya ongezeko la visa vya COVID19, Rais Donald Trump amesema hakubaliani na kuwekwa amri ya wananchi kuvaa barakoa kwakuwa anaamini watu wanapaswa kuwa na uhuru fulani
Kauli yake inakuja...
Waziri wa digitali wa Taiwan amesema Huawei ni kirusi cha kichina au Trojan horse kutoka China na ni hatari kuitumia kwenye mfumo wa mawasiliano ya nchi
Waziri huyo ambae zamani alikua muiba...
Utawala wa Bwana Donald Trump unafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye manunuzi ya aina yoyote au wanaita dollar decoupling.
Dollar ya kimarekani ndio sarafu maarufu inayotumika...
You can repeat a lie over and over again but it doesn't make what you say true, and US President Trump has been lying through his teeth his entire career as a real estate mogul, reality TV star...
Makampuni makubwa ya mitandao yanatarajia kuwekeza zaidi ya Dollar Billion 30 za Kimarekani nchini India ndani ya miaka 5 ijayo
Facebook inatarajia kuwekeza zaidi ya Dollar Billion 6, Google...
The leaders of EU27 countries wore face masks as they greeted each other with elbow bumps, nods, bows and some variations at a summit to thrash out a deal on a multibillion coronavirus recovery...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.