International Forum

News and Stories from rest of the World
Wakati watu huhangaika kupata Uraia Serikali ya Saudi Arabia imelipa Uraia li Robot linalojulikana kama Sofia. Hilo hapo
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mamlaka ya Iran imafikiria kusitisha adhabu ya kifo iliyotolewa kwa waandamanaji watatu waliokuwa wanapinga Serikali kupandisha bei ya Petroli 'Hashtag' ya #do_not_execute ilitumika mara Milioni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mohammad Shahed (42) anashikiliwa na Polisi baada ya kutuhumiwa kutoa majibu feki kuwa wagonjwa hawana maambukizi ya COVID19 katika hospitali zake mbili Shahed alikamatwa akiwa kwenye harakati za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
The Israeli Air Force is expected to have as many as twenty-seven F-35s by November of this year, bringing upgraded electronic warfare technology and new dimensions of aerial combat power to the...
1 Reactions
1 Replies
610 Views
Takriban askari 33 wa Uturuki wameuawa katika mashambulio ya anga ya "vikosi vya Syria" Kaskazini-Magharibi mwa Syria, amesema afisa wa ngazi ya juu wa Uturuki. Wengi waliumizwa katika jimbo la...
7 Reactions
68 Replies
8K Views
Waziri wa Sheria wa Sudan, Nasredeen Abdulbari amesema nchi hiyo itazifuta Sheria zote ambazo zinakiuka Haki za Binadamu Sudan imetangaza mabadiliko mbalimbali ikiwemo kufuta Sheria ya Uasi na...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Brussels (AFP) - A European court will decide Wednesday whether Apple must obey an EU order that the iPhone-maker reimburse Ireland 13 billion euros in back taxes. Reversing the decision would be...
1 Reactions
0 Replies
536 Views
Kufuatia ongezeko la visa na vifo nchini humo, Polisi pamoja na Mamlaka zitaendesha msako wa nyumba kwa nyumba kwa lengo la kuwatafuta wagonjwa wa COVID19 ili kudhibiti maambukizi zaidi Waziri wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Marekani yadai Iran ndio imehusika katika mashambulizi hayo Msafara wa kijeshi wa Marekani washambuliwa kwa mabomu Iraq Msafara wa magari ya kijeshi ya Marekani umeshambuliwa kwa mabomu ya...
6 Reactions
67 Replies
6K Views
Habari zenu waungwana. Naomba kufahamishwa kuhusu Course za Masters zisizo za Kielimu, ambazo anaweza kusoma mtu mwenye Shahada ya Elimu ( BED).
0 Reactions
2 Replies
786 Views
Ryanair flight to Dublin makes emergency landing after note warns of explosives A Ryanair flight travelling from Krakow, Poland to Dublin was forced to make an emergency landing on Monday evening...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Polisi wa West Midlands wamemkamata mtoto wa kiume wa miaka 12 baada ya winga wa Crystal Palace, Wilfried Zaha kutumiwa ujumbe wa kibaguzi Baada ya mechi ya Jumapili kati ya timu hiyo na Aston...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kituo cha SABC kimeripoti kifo cha mtoto wa Nelson Mandela na Winnie Madikizela-Mandela, Zindzi Mandela (59) kilichotokea asubuhi ya leo jijini Johannesburg Kwa mujibu wa SABC, taarifa ya kifo...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Siku chache baada ya kifo cha ghafla cha Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly, Makamu wa Rais wa nchi hiyo Daniel Kablan Duncan amejiuzulu Imeelezwa kuwa, Makamu huyo anaachia nafasi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Here is USA army force Vs RUSSIA army force 1.USA army force 2.RUSSIAN army force IS THE RUSSIA ,NOW MORE POWERFUL THAN EVER To Deal with WEST/USA UNDER PUTIN Intervention in...
11 Reactions
279 Replies
34K Views
Shambulio la Marekani ambalo lilimuua Jenerali Qasem Soleimani lilikiuka sheria za kimataifa, wataalamu wa Umoja wa mataifa wamesema. Soleimani alikufa pamoja na watu wengine tisa katika...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Viongozi wa upinzani nchini Mali wamemtaka rais Ibrahim Boubacar Keita kujiuzulu , baada ya kukataa makubaliano yaliolenga kuzuia machafuko yanayoendelea nchini humo. Takriban watu wanne waliuawa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi Mimi ni kati ya watu nayempenda Yesu kupita maelezo na huniambii kitu. Ila dah kumfananisha Yesu na wamatumbi hiii nakataa aisee. Dunia kweli haishi vituko. Leo ndege ya Alaska...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa, Jumapili alitangaza kwamba serikali yake itarudisha marufuku iliyokuwepo ya uuzaji wa pombe na curfew ya kutoka nje...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
THINKING ON SOUTH AFRICA CHANGES by DON NALIMISON. Changing a name of Rulling Political Party AFRICAN NATIONAL CONGRESS (ANC) to be ARENA FOR CORRECTION OF AFRICA(ACA). I DON NALIMISON a...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom