Kuna vingi na mengi yaliyokuwepo, yapo na yatatokea Middle East, Hebu weka kinachokukera, kufurahisha, kusikitisha na kukukereketa kuhusu hii Mashariki ya kati, nchi, race, zone, politics na future.
Ni hivi Russia iliwatandika na kuwauwa Waislam wengi sana kule Chechnya kwenye harakati zao za kujitenga, hayukusikia kelele kutoka kwa hawa jamaa zetu.
Ingekuwa Marekani au Israel sasa makelele...
PANAGYURISHTE, (BM) – Russian air defense systems S-400 and S-500 are advertised in the press and are in demand in many countries. However, are they effective? Experts wanted to answer this...
Jana zilitoka habari za ndani au chini ya kapeti kua nchi ya Italia inafikiria kuitenga Huawei kwenye mfumo wake wa mtandao wa 5G.
Juzi pia zilitoka habari kua Marekani inaishinikiza Brazil...
Kwa walioskiza hotuba yake Leo, ni ukweli kwamba ni itaingia katika Historia kama hotuba ya kipekee katika karne ya 21. Mambo aliyotaja, kama Magufuli angemsikiliza angejiuma kidole lakini pia...
Wanasema Nigeria vituko na matukio yasiyo ya kawaida ni vitu ambavyo sio vipya na vinatokea mara kwa mara
Mkurugenzi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa bwana Ibrahim Magu amekamatwa kwa...
Marekani imetangaza rasmi kujitenga na Shirika la Afya Duniani, WHO. Rais wa Marekani Donald Trump amekuwa akililaumu shirika hilo kwa kushindwa kudhibiti CoronaVirus
Mei 29, Rais Trump...
COVID-18 has exposed the emptiness of popularism. The emptiness of popularism is being laid bare
Those who purposely lie and misinform in a pandemic are worthless, they bring nothing good to the...
Hii hatari sana kuwa na kinu cha nyuklia ambacho kinashambuliwa kizembe hivi, yaani ni kama huwa wanatumiwa ujumbe wa salamu, kwamba muda wowote wanaweza kusambaratishwa kwa kutumia vitu vyao...
Serikali ya ufaransa imesema haina mpango wa kuipiga marufuku Huawei kufanya kazi ndani ya nchi hiyo ila imesisisitiza kampuni za simu kuepuka Huawei.
Kuna kampuni tayari zilishapewa kibali cha...
Ripoti za Umoja wa Mataifa zimesema takriban Raia 800 wameuawa Mashariki mwa Congo na wapiganaji wa ADF kwa miezi 18 ukianzia Januari mwaka 2019
Kesi zinazohusika na Uvunjaji wa Haki za...
F-22 Raptor CRASHES, pilot in stable condition
----
Ndege ya Jeshi la Marekani imeanguka wakati wa mafunzo huko Florida, Rubani amepona baada ya kutua salama
---
A US Air Force F-22 Raptor jet...
Mkurugenzi wa shirika la FBI nchini Marekani amesema kwamba vitendo vya upelelezi na wizi unaotekelezwa na serikali ya China ni tishio la muda mrefu kwa Marekani
Akizungumza katika Taasisi ya...
Liberia ilikuwa nchi ya kwanza barani Afrika kuwa na raisi mwanamke.
Raisi ambaye aliifanya Liberia kujivunia kwa rekodi hiyo.
Bi. Elen Jonhson mshindi wa tunzo ya kimataifa ya Amani ya Nobel...
Since Covid-19 introduced itself to us, in middle November last year,
The world tried it very best to suffocate the virus as quickly as possible,
But despite these effort, the virus still went...
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly amefariki dunia ghafla baada ya kuzimia, Bw Coulibaly alizimia ghafla wakati akiwa kwenye kikao cha Mawaziri
Baada ya kuzimia alichukuliwa ni...
Kundi la waandamanaji nchini Marekani limeangusha sanamu la Christopher Columbus na kulitupa majini kwenye bandari ya mjini Baltimore hapo jana usiku, baada ya Rais Donald Trump kuahidi kulinda...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya China Bw. Zhao Lijian amesema, serikali ya China imekubali Shirika la Afya Duniani WHO kutuma wataalamu kuja China kutafuta chanzo ya virusi vya Corona.
Bw...
Wanasayansi wameonya juu ya uwezekano wa kuwepo kwa uharibifu wa ubongo kunakohusiana na #CoronaVirus baada ya vithibitisho vipya kuonesha hatari hiyo
Utafiti uliofanywa na Watafiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.